Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Status
Not open for further replies.
asante kwa ushauri mzuri..but sharing my problens na watu...no!
imetossha.nobody cares
Pole sana. Nakupenda na pia nakuthamini sana.
Tunamuomba Mungu na tunaamini Mungu anaishi. Ushawahi kujiuliza nikifa nitaenda wapi hasa kwa kujinyonga?
Chunguza ni kitu gani kinachokufanya mpaka utake kujiua? Tafuta suluhu lake
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
We mtoto tulia!usiwazie haya mabaya
 
We unapotaka kujiua unapajua huko waendako wanaokufa kukoje kaa hapa hapa duniani ule maisha wewe.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hakika ukimuamini Yesu haya mapito yote yataisha kabisa kabisaaaaaa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mungu tu ndo muweza wa yote, kwann umtangulize yesu ambaye ni kiumbe tu aliyeumbwa na mungu.. !
 
Pole sana nmesoma Psychology wengi wanaofikia fikra za suicide hatua za awali ni kuona kama hawana thamani au kukosa tumaini ......Be strong i wish to exchange a life experience with you....ntaktext inbox just be comfortable...

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Ntafuata ethic zote kama utakua open ikiwemo confidentiality....ntaktext inbox be comfortable

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Unapojihisi kama unapitia magumu yanayoumiza we endelea mbele wala usiyaogope kwakua nimambo yanayokufundisha ukiachilia mbali kukupa ujasiri ,,,, hatima yake nn ?? IPO siku hakuna majaribu yoyote utakayoona kama nikikwazo tena..

Alafu aggy ,, dhahabu ili iwe safi nilazima ichomwe moto mkali sana yaan from nowhere huwezi kua shujaa ikiwa utayakimbia mapambano au kuyaogopa au kuwaachia wengine ,,nahakuna awezaye kufanya Kwa niaba yako !!.

Just do it !!!
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.

Pole sana ndugu.
Jithamini usijishushe thamani wala kumpa mtu nafasi ya kufanya hivyo. Huenda hujakutana na binadamu wanaotambua na kuthamini utu wa mtu ndio maana. Jitahidi kuwa makini na aina ya marafiki..., pia shirikisha hill linalokusumbua wale unaowaamini unaweza ukasaidika sana.

Binadamu tumeumbiwa matatizo hivyo pambana usikate tamaa.

Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Jithamini usijishushe thamani wala kumpa mtu nafasi ya kukutoa thamani. Huenda hujakutana na binadamu wanaotambua na kuthamini utu wa mtu ndio maana

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
sawa..lakini wakonta anexist sababu ya kuzungukwa na watu wanaompa furaha na ansahau yalompata.wanamuinyesha upendo bila kulalama.
im sure kama angekua anaishi na mtu wa kumsaudia lakini huyo mtu analalmika...anafoka..anaonesha kusumbuka..lazima yule angekonda kwa mawazo analia mda wote
imagine mswaki anapigishwa,chooni anapelekwa,chakula analishwa ka mtoto..anaogeshwa..na mengineyo
yote ni sababu ana mihimili yake..wazazi na wanaonesha upendo kwa kila hali.
Ni kweli,..mpuuzie huyo anaekutendea ubaya pia tafta marafiki,kama mkristu tafta kanisan,kama muslim tafta msikitini,pia tafta shuguli ya kiku keep busy,usichague kaz..tafta mpenzi,yoyote yule usichague sana.hayo tuu,niamin mim,hii dunia haijaanza leo,kuna watu wanatabu na wana exist,omba omba vilema wale unawaona?dont kill uaself plz.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
sawa
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Usikate tamaa ndugu hilo ni kosa kubwa, ni wengi mno tunapitia maisha hayo, ila tunayahifadhi mioyoni mwetu hayawekwi wazi, mungu bado anakupendelea sana kwa kukupa afya njema na uwezo wa kumudu km hivi kuwasiliana na wengine hapa JF, jione ni mwenye bahati kubwa kwa kufikia hapo ulipo, wapo wengi muda huu ni wa kusaidiwa kwa kila kitu, je nao wasemeje?
Ni mambo ya mpito ipo siku utasahau yote, kikubwa endelea kupambana na usiache kumlilia mungu wako akuvushe ktk hali uliyo nayo
 
asante mkuu
 
Hujui tu future yako ni bright sana shetani amejua impact yako baadae ndio maana anakutesa,jipe moyo jipende wewe kwanza usijari wengine wanakupenda au la

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: G 6
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Usijiue Kwann unakata tamaa mie nlipitia wakat mgumu sana ila kwa ss Namshukuru Mungu. Cha kufanya hama mkoa au sehemu unayoish nenda kaanze maisha mapya . Kumbuka kusali Na kumshukuru Mungu

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Usijaribu kujiua ndugu yangu. Nina miezi miwili inaelekea mitatu dada yangu alichukua maamuzi hayo na kutuacha katika majonzi na maswali mengi. Kwa kifupi tumeumbwa na ipo siku tutakufa ila si kwakujinyonga.

Sukumaland
pole sana mkuu.
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Mtumaini mungu,utapata amani ya moyo wako,kujiua ni uoga mkui,waoga hawataurithi Tulane wa mbingu,do not compliment life sana,kama Ian Robbie yoyote,it's high time kutumia muda wako katika hilo,usijiue mkuu
NIMESEMA.

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Achana na habari za kujiua huwezi kuteseka maisha yako yote ipo siku tu utaangalia nyuma na utajifurahia nafsi yako kwa mitihani uliyoipitia na kushinda.. kuna watu wamepitia mitihani migumu zaidi ya binadamu anavyoweza kufikiri lakini Leo bado wapo na wana furaha licha ya makovu waliyopata kutokanana mikasa mbalimbali kwenye maisha
kujiua ni kumpa shetani ushindi Wa mezani jua tu kama wewe una karama kubwa basi changamoto nazo zitakuwa nyingi vile vile nothing come easy aisee keep fighting
 
Ivi kwanini WaAfrika tunakiogopa na kukitukuza sana kifo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom