gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,941
- 2,251
Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua
1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia.
2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile namba zimevimba.
3. Katika maeneo kadhaa, lazima ziwe AUTO-DETECTED zikipita kwenye mifumo kadhaa.
4. Wanaotengeneza hizi 3D ni watu ambao wako mitaani tu, ambao wengine hatujui material wanazotumia.
Mawazo huru
Pia soma: Kamata kamata tinted taa za Magari