Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,908
4,771
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.

1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.

2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai

3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo

4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos

5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.

6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.

7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow

8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto

Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.

Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.

Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
 
Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia.
Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele.
Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.
Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.
Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Jambo lililijibiwa na TANU mwaka 1973; yaani miaka 51 iliyopita. Je bado kuna wasiojua tofauti ya capital city na commecrial center?
 
Tunamshuku mama kizimkazi kwa makao makuu madogo kuliko jiji la biashara. Natumai umefurahi sasa mtoa mada.
 
Ni kweli lakini tunaangalia hadhi ya jiji hata kama limezidiwa na jiji la kibiashara

Dodoma bado ni mji kwa uhalisia uliofosiwa kuwa jiji
 
Jambo lililijibiwa na TANU mwaka 1973; yaani miaka 51 iliyopita. Je bado kuna wasiojua tofauti ya capital city na commecrial center?
Mwaka 1973 ni mbali mno wa watu wengi waliopo sasa. Baadhi ya decision makers wetu wamezaliwa after 1973. Na documents hizo hazijawekwa wazi zaidi ya kutufikia kama secondary information.
 
8. Mji mkuu wa Canada sio Montreal kweli?!! Nirudishieni kumbukumbu zangu za darasa la 6/7; huko nilikuwa na uwezo wa kuitaja miji mikuu ya dunia yote!!
Ottawa. Montreal ni mojawapo tu ya miji mikubwa.
 
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.

1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.

2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai

3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo

4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos

5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.

6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.

7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow

8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto

Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.

Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.

Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Ila Kwa Tanzania Hadi 2039 ambapo Mpango kabambe awamu ya kwanza wa Jiji la Dom itakuwa ndio Second Largest city after Dar.

Malawi walihamisha Mji Mkuu kutoka Zomba/Blantyre kuja Lilongwe na Sasa Lilongwe ndio Largest City in Malawi.
 
Jambo lililijibiwa na TANU mwaka 1973; yaani miaka 51 iliyopita. Je bado kuna wasiojua tofauti ya capital city na commecrial center?
Na hakuna sheria inayozuia Capital City kuwa Commercial City.

Ni Suala la mpangilio na aina za viwanda.Mfano viwanda vya kuchagua sana mazingira havitakiwi kuwepo Capital City.
 
Ila Kwa Tanzania Hadi 2039 ambapo Mpango kabambe awamu ya kwanza wa Jiji la Dom itakuwa ndio Second Largest city after Dar.

Malawi walihamisha Mji Mkuu kutoka Zomba/Blantyre kuja Lilongwe na Sasa Lilongwe ndio Largest City in Malawi.
Hautakuja kutokea hata miaka 10000

Mkoa ulikoko bara upambane na mji wenye bandari
 
Back
Top Bottom