Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Nimeishi jiji la Mbeya miaka 5. Ukweli unabaki pale pale, ni heri umkosee mwanaume wa Kinyakyusa utaomba samahani yataisha mtaanza upya kuliko mwanamke wa Kinyakyusa, mbombo ngafu

inaonekana uliishi mpakani jombaa... Njoo hapa mjini ni shiida yaani
 
Hahhhha bibi huyu hajakutana na mtanga haswaaa ngoma zake anazijua ngoma hazina papara taratiiibu halaf hasa upate mchezaji unajua kwa nin.wanasema tanga rahaaa ah babu enh waja leo kuondoka majaliwa watu wanasahau makwao wakija tangaa halaf ukute mtoto kiportable easy to.carry ahhhha style na machejo.yote utaona.had brand new hapana.chezeiyyaa laovidavi city

hizo ni kelele...
 
nimesema kinaongeza utamu
na matumizi ya kisosi yametokana na ubunifu wa mwanamke wa kitanga kutaka kumridhisha mwanaume kimapenzi
wanasema "kazi si kumpata, kazi ni kumfanya abaki"
cc Mamaafacebook

na sio kisosi tu kuna nyezo nyingine kama, udi, maua, shanga n.k pi hutumika

Kwa nyongeza tu ya swali lake, kuna ladha ya baadhi ya vitu huwa haielezeki, kama ladha ya kunywa maji vile, mwenye kiu pekee ndio anaejua.
 
Last edited by a moderator:
Umeona.enh huyu hata majani mapana bado kabisa halaf naona.atakua mgeni kwenye sekta ya mapenz kakumbana na mmbeya bas anajua mbeya wote wako hivo.toka lini.kwa.historia gan.alichunguza.vizur historia.ya mwana dada kitu tanga deko mahhabaty mapish ahhha hebu mie

kipya kinyemi.... Hata ukitaka mijibaba we njoo mbeya
 
Kwa nyongeza tu ya swali lake, kuna ladha ya baadhi ya vitu huwa haielezeki, kama ladha ya kunywa maji vile, mwenye pekee ndio anaejua.

utamu wa maji yana kata kiu na kuburudisha koo na kujiona mwepesi... Utamu upi huo wa kisosa??
 
Msamehe tu huyo, si unajua tena kipofu akifunguliwa macho ghafla na Mola wake akaona Ng'ombe halafu akifungwa tena basi kila kitu akiambiwa atafananisha na Ng'ombe.

Akiambiwa kuna gari kubwa semitrela linakuja, atauliza kubwa kama Ng'ombe?

unajificha nyuma ya mfano usio na uhalisi wowote... Kipofu ni yule aliyeona tanga akashindwa kuona mbeya jiji
 
Wewe mtoto ishia hapo hapo unantamanisha ati weye. Unanikumbusha Mwakizaro, Mwanzange, Kwaminchi, Kisosora, Mtupie, Chumbageni, Usagara, Sahare kupitia Makorora mpaka Mabanda ya papa......

anakukumbusha nini sasa... Ushawahi fanya kazi za ndani nini huko
 
Hahahahaa jamani mnatuchamba wanyaki hahahah. Sisi hatuna muda wa kubembelezana. Tupo busy na shule+kulima mipunga. Mahaba peleka pwani, wao ndo kazi yao

mzaliwa wa mbeya umekulia newala-masasi... Sio kosa lako hizo stori ulizipata kwa bibi na babu
 
Wanawake wao matukunyema umbo kama.funza ahhha hajulikan.tumbo wala mgongo waka kiuno maoenz tricks. Unaweza kua na.umbo.baya ila ukajua kulitumia ila asilimia kubwa jaman historia pia inajua mapenz yako pwan na.tanga ipo

umekrem... Unaishi kwa kufuata mkumbo
 
Back
Top Bottom