Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

taratibu ndg, naona unaanza tukana wake zetu.

Tumetoa Mahari ndefu ujue.
Nimeishi jiji la Mbeya miaka 5. Ukweli unabaki pale pale, ni heri umkosee mwanaume wa Kinyakyusa utaomba samahani yataisha mtaanza upya kuliko mwanamke wa Kinyakyusa, mbombo ngafu
 
Kama ni Tangabasi atakua ameishia Kabuku huyo, amejitahidi sana Hale

Umeona.enh huyu hata majani mapana bado kabisa halaf naona.atakua mgeni kwenye sekta ya mapenz kakumbana na mmbeya bas anajua mbeya wote wako hivo.toka lini.kwa.historia gan.alichunguza.vizur historia.ya mwana dada kitu tanga deko mahhabaty mapish ahhha hebu mie
 
Tanga ni noma kama huamini mumeo apate mchepuko binti awe wa Tanga utajuuuuuuuuuuuuuuuuta!!!
Msamehe tu huyo, si unajua tena kipofu akifunguliwa macho ghafla na Mola wake akaona Ng'ombe halafu akifungwa tena basi kila kitu akiambiwa atafananisha na Ng'ombe.

Akiambiwa kuna gari kubwa semitrela linakuja, atauliza kubwa kama Ng'ombe?
 
Umeona.enh huyu hata majani mapana bado kabisa halaf naona.atakua mgeni kwenye sekta ya mapenz kakumbana na mmbeya bas anajua mbeya wote wako hivo.toka lini.kwa.historia gan.alichunguza.vizur historia.ya mwana dada kitu tanga deko mahhabaty mapish ahhha hebu mie
Wewe mtoto ishia hapo hapo unantamanisha ati weye. Unanikumbusha Mwakizaro, Mwanzange, Kwaminchi, Kisosora, Mtupie, Chumbageni, Usagara, Sahare kupitia Makorora mpaka Mabanda ya papa......
 
nimesema kinaongeza utamu
na matumizi ya kisosi yametokana na ubunifu wa mwanamke wa kitanga kutaka kumridhisha mwanaume kimapenzi
wanasema "kazi si kumpata, kazi ni kumfanya abaki"
cc Mamaafacebook

na sio kisosi tu kuna nyezo nyingine kama, udi, maua, shanga n.k pi hutumika

Ahha waambie hizo.shanga ndo.wameona.fasheni siku.hizi.ila.ukweli wanachojua kupangilia n kua red leo siko poa ahhhha hamjui kwa kina shaur yao watakuja block.vizaz
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa jamani mnatuchamba wanyaki hahahah. Sisi hatuna muda wa kubembelezana. Tupo busy na shule+kulima mipunga. Mahaba peleka pwani, wao ndo kazi yao
 
Wewe mtoto ishia hapo hapo unantamanisha ati weye. Unanikumbusha Mwakizaro, Mwanzange, Kwaminchi, Kisosora, Mtupie, Chumbageni, Usagara, Sahare kupitia Makorora mpaka Mabanda ya papa......

Ahhhha hapana chezea tanga
 
Hahahahaa jamani mnatuchamba wanyaki hahahah. Sisi hatuna muda wa kubembelezana. Tupo busy na shule+kulima mipunga. Mahaba peleka pwani, wao ndo kazi yao
Mmeacha kugema mafuta kwenye tankers zinazoanguka njiani na Bangi mmeacha kulima?
 
Mmeacha kugema mafuta kwenye tankers zinazoanguka njiani na Bangi mmeacha kulima?

Wanawake wao matukunyema umbo kama.funza ahhha hajulikan.tumbo wala mgongo waka kiuno maoenz tricks. Unaweza kua na.umbo.baya ila ukajua kulitumia ila asilimia kubwa jaman historia pia inajua mapenz yako pwan na.tanga ipo
 
Back
Top Bottom