Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Mademu wengi wa Jiji la Mbeya wameota ndevu, wengine wana mpaka masharubu. Ukiona hivyo hao wanaopagawisha ni wakuja sio wa hapo hapo. Mademu wengi wazawa wa Mbeya hawajui kubembeleza ni ubabe tu...
 
Hahahahha wana nini vile umsema hahahahha uwiii grafani11
Mademu wengi wa Jiji la Mbeya wameota ndevu, wengine wana mpaka masharubu. Ukiona hivyo hao wanaopagawisha ni wakuja sio wa hapo hapo. Mademu wengi wazawa wa Mbeya hawajui kubembeleza ni ubabe tu...
 
Last edited by a moderator:
Hajasema kinaongeza nini hicho kisosi....zingine mbwembwe tu hazina hata maana....unless mtu anipe hapa chemistry ya kisosi na kugegeda

nimesema kinaongeza utamu
na matumizi ya kisosi yametokana na ubunifu wa mwanamke wa kitanga kutaka kumridhisha mwanaume kimapenzi
wanasema "kazi si kumpata, kazi ni kumfanya abaki"
cc Mamaafacebook

na sio kisosi tu kuna nyezo nyingine kama, udi, maua, shanga n.k pi hutumika
 
Last edited by a moderator:

Hahhhha bibi huyu hajakutana na mtanga haswaaa ngoma zake anazijua ngoma hazina papara taratiiibu halaf hasa upate mchezaji unajua kwa nin.wanasema tanga rahaaa ah babu enh waja leo kuondoka majaliwa watu wanasahau makwao wakija tangaa halaf ukute mtoto kiportable easy to.carry ahhhha style na machejo.yote utaona.had brand new hapana.chezeiyyaa laovidavi city
 
Last edited by a moderator:
Tanga ni noma kama huamini mumeo apate mchepuko binti awe wa Tanga utajuuuuuuuuuuuuuuuuta!!!
Siku hizi hakuna mtu wa wapi wala wapi...Hakuna makabila yenye utaalamu wa mapenzi...Ilikuwa zamani hiyo..
Kila kabila sasa lishavumbuka na kujifunza kuhusu mapenzi.....Technolojia zimesaidia
 
Tanga ni noma kama huamini mumeo apate mchepuko binti awe wa Tanga utajuuuuuuuuuuuuuuuuta!!!

Ahhha tena watu wakija kikaz tanga kama wameoa waje na wake zao wapi dokta kisaraweee
 
Back
Top Bottom