Sio siri watumishi wameshuka moyo

Sio siri watumishi wameshuka moyo

Nimesoma michango yenu... Bahati mbaya wachache sana wamejibu hoja. Kwa taaluma, mm ni Mwl, ukweli ni kwamba watu wanakwenda kazini na kuondoka.... Tena wanaondoka mapema kabla ya muda wa kazi kuisha.
Kuna kitu nimekigundua kwenye mada nyingi ambazo zinagusa maslahi ya watumishi, wananchi wengi wanafurahia jambo hili la serikali kutowajali WATUMISHI wa umma. Wao wanafikiri kuwa serikali inatukomoa sisi, kweli, kwa upande mmoja tunakiona cha moto. Lkn on the other hand and indirectly, na Wao pia wanaathirika sana Kwa kudorora Kwa maslahi ya watumishi kwa sababu;
1. Pesa hatukuwa tunakwenda kutumia Kenya. Zilikuwa zikiishia hapa Tz.
2. Utendaji kazi ukidorora; kufundisha watoto Kwa mfano; hasara ni Kwa taifa zima. Huduma za afya zikizorota, hata miongoni mwa washabiki wa kuungamokono maslahi duni ya watumishi nao wanaathirika.
3 kazi nyingi Hakuna, Hivyo hata mafundi wanaathirika kwa namna moja ama nyingine.
Hivyo maslahi ya Mtumishi yakidorora hata mzunguko wa pesa mtaani unapungua na Hatuwezi kuaminishwa kuwa uchumi Unajua Kwa. 7% wakati hali ya maisha ya WATz wengi ni duni.
Inawezekana wapo ambao wataitikia wito wa Kuacha kazi Kwa sababu ya mshahara mdogo...nawaunga mkono.... Wako sahihi Kwa sababu Jambo Hilo limeongelewa sana. Wengine hawaachi kazi Kwa sababu hawajui watafanya nini Baada ya Kuacha kazi. Kundi hili ni mkubwa na Hawa ndio kubwa na Hawa wako Kwenye mgomo baridi.
Ukimchekea Mjinga Kwa anachokifanya cha kijinga, atajua umemkubali atazidi kufanya ujinga wake....za kuambiwa changanya na zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michango ya wapumbavu utaijua tu halafu mwenyewe unajiona umeandika hoja kweli kumbe mavi matupu,
Baki huko huko serikalini na akili yako mgando. Mtabaki kuishi kwa mikopo tu hadi mnanuka madeni mnatusumbua mtaani.
 
Mtaongezewa 2019 ili mpige kura ya ndio kwa Magufuli na CCM.Subiri tu
Alafu si kuna wale walio ahidiwaga computer mpakato kila mmoja were nadhani watapewa kwenye muhula wake wa pili
 
Back
Top Bottom