Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,372
- 28,042
Mkuu huo mtaji atautoa wapi wakati nae kaajiriwa namshahara hautoshi? Labda aanzishe bustani awe analima baada ya saa za kazi.fungua hata nursery mkuu ili ujiongezee kipato!
Mkuu huo mtaji atautoa wapi wakati nae kaajiriwa namshahara hautoshi? Labda aanzishe bustani awe analima baada ya saa za kazi.fungua hata nursery mkuu ili ujiongezee kipato!
Humu ndani watu mnajidai tu ili huo uzi unawagusa sana tu,...unless kama sio mtumishi wa serikali.....acheni unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
fungua hata nursery mkuu ili ujiongezee kipato!
na hiyo 2019 si mbali sanaMtaongezewa 2019 ili mpige kura ya ndio kwa Magufuli na CCM.Subiri tu
Hata ukisema uache kaz hali ya mtaani unaielewa vzur lkn .....hali n tete kila kona ,na kama mtumishi unasound noise iv VP wenzangu na mm#makapuku#maisha ndo haya haya pambana na hali yakoKwa watumishi wa serikali waliowengi hawana morale na tija ya kufanya kazi.Serikali ingekua na uwezo wa kuchunguza mioyo ya watu hao hakika wangestaajabu.Wengi wanahudhuria na kuwepo ila spirit hakuna.Huko kwenu hali ikoje.Binafsi ile kauli ya ukitaka acha kazi kama mishahara mdogo haiwezi kunifanya nife moyo au kuacha kazi.Siasa haziwezi athiri maisha ya wengi kwa ukatili.
Wengi wanaishi kwa shemeji zaoWengi wanao jibu humu, sijui piga kazi tu, mara Pambana na hali yako, ni wanafiki tu wakubwa, hali zao si hali na wengine hata hawa husikia na ajira serikali basi tu, unafiki mwingi umewajaa, hii ndiyo Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mzalendo zaidi ndo kukoje, mmeambiwa several times gharama za maisha ziko juu, mshahara uko pale pale. Mnaendelea kuwaambia watumishi wawe wazalendo, nyie watu iko siku vinywa vyenu vinavyotoa kauli zilizojaa kila aina ya kiburi na dharau vitalighalimu Taifa.Kuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu.
Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.
Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.
Mkuu haitobadilisha kitu, na kwa akili zao watafanya kila aina ya wema ili wakubalike na hawatoungwa mkono.Mtaongezewa 2019 ili mpige kura ya ndio kwa Magufuli na CCM.Subiri tu
Wakati huohuo wako wanaoibomoa kwa ari na moyoKuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu.
Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.
Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.
Kwa hyo unaunga mkono watumishi kukandamizwa?Lakini si ni maneno ya ukweli au ulitaka udanganywe kuwa mshahara unatosha Fanya kazi tu ili morale yako iwe juu?
Mkuuu sio mavi sema uharo kabisa kuna majitu mapumbavu never seen humu af cjui hua yanatumwa?Michango ya wapumbavu utaijua tu halafu mwenyewe unajiona umeandika hoja kweli kumbe mavi matupu,
Kama ni nyeupe ni nyeupe tu huwezi kuambiwa ni nyeusi.