Sio siri watumishi wameshuka moyo

Sio siri watumishi wameshuka moyo

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Kwa watumishi wa serikali waliowengi hawana morale na tija ya kufanya kazi.Serikali ingekua na uwezo wa kuchunguza mioyo ya watu hao hakika wangestaajabu.Wengi wanahudhuria na kuwepo ila spirit hakuna.Huko kwenu hali ikoje.Binafsi ile kauli ya ukitaka acha kazi kama mishahara mdogo haiwezi kunifanya nife moyo au kuacha kazi.Siasa haziwezi athiri maisha ya wengi kwa ukatili.
 
Lakini si ni maneno ya ukweli au ulitaka udanganywe kuwa mshahara unatosha Fanya kazi tu ili morale yako iwe juu?
 
Piga kazi tu.. Usijali ujira maana hata biblia imesema "Fanya kazi pasupo kudai ujira"
 
Kuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu.

Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.

Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.
 
Kuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu. Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.
Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.
Michango ya wapumbavu utaijua tu halafu mwenyewe unajiona umeandika hoja kweli kumbe mavi matupu,
 
Kuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu. Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.
Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.
Sio kwel kw tz y visas n kukomoana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo siri Watumishi wamepigika ile mbaya! Hakuna ongezeko la Mshahara wala kupanda madaraja, alivyoacha Jk ndo vilivyobaki hivyo hivyo na zile motisha za Kama vile safari, vikao, chai n.k kuondolewa halafu wengi walikopa huku wanatakiwa marejesho na hali ndi hiyo! Wengine wameumwa kwaajili ya huo mwendo kasi unaoendelea! Wakati gharama za maisha zinapanda kila Siku Kama vile sukari , mafuta ya kupikia n.k Mshahara umebaki palepale Kwa miaka na kuondolewa Kwa motisha mbalimbali na kutopandishwa madaraja
 
Ni bora nwajiri mkuu akafanya retrenchment kwa kuwapiga wafanyakazi wote wa umma chini ili aajiri upya watakaoanza na salary scales za chini kabisa. Kwa kufanya hivi atakuwa amesave hicho anachotaka kukisave! Na kuwaacha hawa waliopo katika mateso haya akitegemea kuwa watachoka wenyewe na kujiondoa anazidi kujiharibia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom