Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Hii ni out of topic lakini ni vizuri mkaijua.

From Adam hadi Abraham (around 2000 years) patriachs ndio walikua watunzaji wa tumaini la injili. From Abraham hadi Yesu (around 2000 years) Abraham, Isaac, Jacob na uzao wao (Taifa la Israel la wakati ule) ndio walikua custodian wa tumaini la injili. Baada ya Stephen kupigwa mawe around 35 AD, kanisa ndio limekuwa mtunzaji mkuu wa injili.

Miaka 2000 baada ya Stephen kupigwa mawe inaishia around 2035, hii itatimiza miaka 2000 ya injili kwenda kwa mataifa na kanisa kuwa mtunzaji mkuu wa injili.

So huenda kuna mabadiliko ya majira na nyakati (a change in times and seasons) yatatokea mitaa ya miaka ya 2030-2040. Wakati huo dunia itakua na miaka around 6034-6044. Dunia itakua iko extra time kwa miaka 34-44 baada ya kumaliza miaka 6000 ya uwepo wake. Uwezekano upo wa extra time kuendelea mpaka 6666.

Katika kila kipindi cha dunia huwa kuna atleast mtu mmoja ambaye kwa neema ya Bwana Yesu, anakua anaijua injili ya kweli na jina lake linakua limeandikwa mbinguni. Na kabla mtu huyo hajafa huwa kuna mwingine anakua tayari ameshaonyeshwa au kufundishwa injili ya kweli na Mungu wa Israel mwenyewe. E.g. Kabla ya Enoch kufa Methuselah mtoto wake Enoch alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Kabla ya Methuselah kufa, Noah (kitukuu au kilembwe cha Methuselah) alikua na zaidi ya miaka 500 (Noah alikua around miaka 600 wakati wa gharika ambapo Methuselah alikufa miezi michache kabla ya gharika). Na Noah alikua mtakatifu tayari. Kabla ya Noah kufa, Shem (mtoto wa Noah) alishakuwa mtakatifu. Kabla ya Shem kufa Abraham (more than kitukuu au kilembwe cha Shem) alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Tena baada ya Abraham kuingia Canaan ndio Shem anakufa. Hapo Abraham (kupitia Isaac na Jacob) ndio wanakua wahifadhi wakuu wa tumaini la injili kwa around miaka 2000. Hadi around 35 AD ambapo Wayahudi walimpiga mawe Stephen ambaye alikuwa mfuasi wa Yesu.

Hiyo ndio line halisi kabisa ya kiroho na kiimani ambayo inaendelea mpaka sasa. Na hata sasa kuna Wakristo ambao wameonyeshwa au kufundishwa imani ya kweli na majina yao yameandikwa mbinguni. Wakristo hao wanaweza kuwa wametoka mataifa mbali mbali.

Kwenye kitabu cha Daniel, Yule Mtu Aliekua amesimama juu ya maji mengi (huyu ni Bwana Yesu) Daniel 8:13, Aliitwa Palmoni maana yake ni Wonderful Numberer. Ukiona title kama Wonderful Counsellor, Wonderful Numberer, Revealer of Secrets ujue zina belong to the Godhead. Kwenye old tastement ukiona titles kama ‘The Word of God’, Michael the Archangel, au The Angel of the LORD (kwa mfano pale waisraeli walivyokua wanatoka Misri), ujue huyo ni Bwana Yesu kabla hajazaliwa duniani pale Bethlehem.

So unaona Abraham alivyo furahi na kustaajabu kupita kiasi alivyojua kwamba huyo anaeongea nae kwenye visions (The Word of Yahweh) ndio huyo huyo atakuja duniani na kufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu na kufufuka na kurudi mbinguni kama mshindi. The Word of God ndio Kamanda mkuu wa majeshi yote ya malaika wa mbinguni. Nahisi hata Enoch alikua anajua kwamba Yesu atakuja duniani. So unaona the humility of Jesus (Yahushua) iliopelekea yeye kukaa kuume kwa Mungu Baba. Unaona the pride of Lucifer (Satan) iliyopelekea yeye kufukuzwa mbinguni.

So watanzania tu avoid majivuno ya kisiri siri (na kurudishana nyuma kisiri siri) kwasababu sio mazuri. Ukiona au kuhisi mtu fulani au kabila fulani (e.g. Wachagga, ingawa nao wana madhambi pia) limebarikiwa au limefanikiwa usichukie, jipange (au jipangeni) mdogo mdogo (kiroho na kimwili) bila kuwahujumu huyo au hao unaohisi wamebarikiwa na Mungu atakusaidia (atawasaidia).

Kipindi cha waisraeli (tangu Abraham alivyoingia Canaan?) hadi walivyo ondoka Misri ilikua exactly miaka 430. Na kuna majira mengine kama miaka 1260 ambapo injili ya kweli ilikwenda nyikani, kuna miaka 490 etc.

Farao aliambiwa miaka 7 ya mavuno tele na miaka saba ya njaa kubwa. Babeli iliambiwa kuwa itatawala dunia kwa miaka 70. Wamisri enzi za Farao wa Joseph walikua sio wayahudi, walikua sio wakristo, walikua ni mataifa (gentiles), tena watoto wa Ham. So hata Mataifa yetu yana namba zake na majira yake na nyakati zake. Hata makabila, koo na mtu moja moja pia. Tanzania pia ina namba zake na majira yake na nyakati zake. So Watanzania tumshukuru Mungu wa Israel kwa kutuletea injili Afrika.
 
Hii iko a bit out of topic, but inasaidia kidogo kucontextualise in the current era based on the experience of one tribe.

Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.

Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.

1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.

2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).

4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.

5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.

Mafanikio ya kidunia yatatokana na:

1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.

2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.

3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.

4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.

5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.

Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.

Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
Mkui umesahau Kushi ambayo ni Sudan
 
Na wewe unaamini huu uongo?

Yesu ambae ni cornerstone ya imani yenu, ambae huwezi kwenda kwa huyo baba bila kupitia kwake.

Sasa huyo yesu ni MZUNGU.Ni mweupe,ana nywele za kuteleza na pua ya kuchongoka.Kama ni mzungu,baba yake aliemzaa ni LAZIMA ni mzungu kama yeye mtoto.Hivyo Mungu baba ni mzungu.

Hiyo kutaja sehemu za nchi zinazokaliwa na watu weusi sasa hivi ni imaterial,hakuna cha maana,ni upuuzi.

Kwanza hatujui kama zamani za kale hizo haya maeneo yalikaliwa na modern day black man.

Yesu ni MZUNGU na baba yake ambae ni Mungu ni MZUNGU,full stop!
 
Ndy maana tunasema UKRISTO na YESU ni vitu tofauti
 
Wazungu kwa asili sio watu wa mashariki ya kati hivo hakuwa mzungu.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Wazungu kwa asili sio watu wa mashariki ya kati hivo hakuwa mzungu.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app

Mashariki ya Kati kuna watu chungu nzima.

Waisrael kwa maana ya Jews kama ethnic group ni WAZUNGU....acha kubisha!

Whatever the case,yesu ana sura nyeupe na nywele nyingi na ndefu za kuteleza.Huyo kwa analysis ya kweli anaweza kua mtu mwingine yeyote ila SI Mwafrika mweusi.

Tangu mkiwa wadogo,mafundisho ya dini zenu za kikristo zinafundisha na kubandika picha makanisani (catholic,lutherans,etc) kua picha ya mzungu ni mungu na mtu mweusi mwenye sura mbaya ni shetani.Hizi ni depictions zilizoko maknisani mwenu.

Halafu bado unaniletea hadithi za eti waafrika "Tumetajwa" kwenye biblia!Hii ni insult to our intelligence as honorable people!
 
Middle easterners ni brown people or olive so huwezi sema waisrael original ni wazungu sema kuna wazungu kwa wingi waliadapt uyahudi ndo hao unaowaona leo. Genetically waarabu na waisrael wanafanana wote historically wametoka kwa Abraham. So ni sawa useme waarabu ni wazungu.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
1. Hivi mkuu unajua kuwa mipaka hii imeundwa baada ya mkutano wa Berlin wa 1885? Hivyo Ethiopia na Misri ya maelezo ya kibiblia haikuwa geographically exact to hii mipaka ya leo.
2. Tukisema ineletwa na wazungu, ni kwamba kabla yao tulikuwa tuna imani tofauti, mfano mizimu n.k. na ukizungumzia hizo nchi katika Biblia, hazikuwa zimezungumziwa kama machimbuko ya dini hii bali kama falme au ngome tu zilizokuwa referred to the story of Israel. They were just characters to the story. Haimaanishi kila kilichotajwa ni Ukristo. After all, Agano la kale ni specifically kati ya Mungu na watu wa Israel(wayahudi).
3. Jaribu kusoma Biblia hiyo hiyo unayoi-refer, halafu tafakari bila assumptions kwa kila kilichoandikwa, utaelewa tofauti ya mipango ya Agano jipya na la kale; Ukristo ulipoanzia, message yake, focus, lengo na maana yake kiujumla.

Hivi vitu havikutokea tu from nowhere au everywhere. Kuna mwanzo, mkakati na sababu. Open your eyes. Then think.
 
Ndio imeletwa na wazungu ila sio dini ya wazungu. Agano jipya imeleta habari njema kwa mataifa yote.
 
Middle easterners ni brown people or olive so huwezi sema waisrael original ni wazungu sema kuna wazungu kwa wingi waliadapt uyahudi ndo hao unaowaona leo. Genetically waarabu na waisrael wanafanana wote historically wametoka kwa Abraham. So ni sawa useme waarabu ni wazungu.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app

Brown people ni watu weupe,either way,they are NOT BLACK!.....mtu mweusi yupo bottom kabisa ya christianity hierarchy.
 
Brown people ni watu weupe,either way,they are NOT BLACK!.....mtu mweusi yupo bottom kabisa ya christianity hierarchy.
Brown people are not whites. Hio hierarchy ebu iweke hapa.
 
Tuamke tuachane na kuabudu na kutambika kwenye mizimu ya wenzetu turudi kwenye mizimu yetu
 
Back
Top Bottom