Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Ukitaka kumtawala mtu kisawasawa basi uhakikishe hata kile anachokiamini yeye ukitawale , kwakukipaka matope , kinyesi , mikojo, kusudi yule anaye kiamini asiwe na imani nacho tena,

Hivyo ndio ndivyo walivyo tutawala hawajamaa na dini zao, ndio maana dini na imani zetu sasa tunaziona ni ujinga na upumbavu ili tuamini na kutawaliwa na hawajamaa vyema,

Na wame tuweza kweli maana hata sasa mtu useme nini huwezi eleweka kwenye jamii zaidi unaweza kuonekana mwenda wazimu tu mitaani na kumbe umesimama kwenye kweli iliyo huru
 
Ndio imeletwa na wazungu ila sio dini ya wazungu. Agano jipya imeleta habari njema kwa mataifa yote.

kwahiyo Kuran na Bhagavad Gita sio habari njema kwa mataifa yote?

Wewe confidence ya kusema Biblia,tena Agano Jipya eti ndio Habari Njema kwa mataifa yote umeipata wapi?Nani kakwambia ndio kitabu cha kweli zaidi a vitabu vingine?

Nipe ushahidi hapa,with open mind bila kuegema mahala!
 
Kuran na Biblia nani aliye muiga mwenzake? Au nani ni wa kwanza? Au ni kwa vipi Biblia inaweza kuiga Kuran?

Wewe umeona nimetaja kuran tu?

Ulivyo myopic umeleta mjadala wa kuran na Biblia,Bhagavad Gita and other countless milions of supposedly vitabu "vitakatifu" jee?

Hebu mjadala wa Biblia na kuran tuuache,ni kama punje ya mchanga kwenye bahari,tujadili bahari!
 
Hao viumbe waliojanzana kwenye bahari unawala wote? Si huwa unachagua baadhi tu. Hasahasa ngisi na jodari penginepo.

Acha kukwepa mjadala...Hapa tunaongelea Mungu ambae ni mwenye uwezo wote,upendo wote,nguvu zote,etc.Kwanini anakua mbaguzi namna hii!

Siku umezaliwa,ulikua na dini?
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
Kutajwa si kigezo cha dini kuwa ni ya kutokea kwa wazungu..
Tunaposema ukristo ni dini ya wazungu ni pale tumaposoma Yesu alizaliwa kwenye HORI LA KULIA NG'OMBE wazungu wanakuja kutudanganya wanasema Yesu alizaliwa kwenye ZIZI LA KULALIA NG'OMBE. Ni vitu viwili tofauti.
Hori kwa mujibu ya biblia ni MKONO WA BAHARI. Sasa wazungu wanapotuchongea bao ambalo wanaliita HORI LA KULIA NG'OMBE linaloonesha majani yanawekwa humo kisha ng'ombe anakula majani kutokea kwenye zizi huo ni uongo!
Hiyo picha ya kuonesha zizi ambamo inasemekana Yesu alizaliwa kwenye zizi ni kutupotosha. Yesu hakuzaliwa kwenye zizi bali kwenye mkono wa bahari huko baharini na siyo kwenye zizi.
Sasa badala ya watu kukubali maneno ya biblia kwamba HORI ni mkono wa bahari bali wanaamini mchoro uliochorwa na wazungu kwenye biblia yao ya kizungu ukionesha ZIZI hapo ndipo tunaposema ukristo ni dini ya wazungu.

NGAMIA.
Biblia inasema kuwa NI RAHISI KWA NGAMIA KUPITA KATIKA TUNDU LA SINDANO KULIKO TAJIRI KUINGIA YFALME WA MBINGUNI....
Sasa kwa mujibu wa biblia NGAMIA ni kamba fulani nene inayofungwa kwenye nanga kuzuia meli isipelekwe mbali na maji. Lakini wazungu wanatuchorea ngamia mnyama akipita kwenye tundu la sindano. Huo nao ni upotoshaji. Ngamia iliyokusudiwa kwenye andiko hilo si ngamia mnyama bali kamba.
Sasa badala watu kufuata biblia kuhusu KAMBA inayopita kwenye tundu la sindano wakafuata ngamia mnyama anapita kwenye tundu la sindano hapo ndio tunaita ukristo ni dini ya wazungu!!!!
 
WAYAHUDI WALIUKATAA
Paulo,hakuwa myahidi?
Yule afisa mfuasi wa Kristo,Nikodemus aliye enda kuutoa mwili msalabani,hakuwa myahudi?
Petro?,mitume na wanafunzi wake Yesu makundi kwa makundi hawakuwa wayahudi?,mahubiri waliyoyafanya mitume,Yerusalem na kwingineko na watu kuwaamini na kuongoka hawakuwa wayahudi,
Punguza umbumbumbu wa kujilazimisha kutokanako na chuki ya kuoandikizwa,
Kwani watu wa kwanza kumpinga mohamadi walikuwa akina nani km siyo waarabu na akafanya nao vita na kuwaingiza uislamu kwa mabavu,mbona sasa hamsemi waarabu waliupinga uislamu?,
Ilikuwa lazima wapinge na kukubali maana ndo walokuwepo eneo hilo,
 
Hiyo ni hiistoria ambayo ni hao hao wazungu walituletea. Tunachojaribu kukiangalia hapa ni historia iliiyoachwa kwetu na mababu zetu walioshuhudia kwa macho yao. Ukristo uliletwa kwao/kwetu na wazungu.
Muafrika kusini katuletea magari ya Toyota na Benz inamaana hayo magari ni ya kiafrika kusini?
Panua ufahamu kidooooogo
 
Na wewe unaamini huu uongo?

Yesu ambae ni cornerstone ya imani yenu, ambae huwezi kwenda kwa huyo baba bila kupitia kwake.

Sasa huyo yesu ni MZUNGU.Ni mweupe,ana nywele za kuteleza na pua ya kuchongoka.Kama ni mzungu,baba yake aliemzaa ni LAZIMA ni mzungu kama yeye mtoto.Hivyo Mungu baba ni mzungu.

Hiyo kutaja sehemu za nchi zinazokaliwa na watu weusi sasa hivi ni imaterial,hakuna cha maana,ni upuuzi.

Kwanza hatujui kama zamani za kale hizo haya maeneo yalikaliwa na modern day black man.

Yesu ni MZUNGU na baba yake ambae ni Mungu ni MZUNGU,full stop!
Mkuu hebu panua ufahamu kidogo.
Hivi myahudi ni mzungu?
Tafuta asili zao utaona aibu kwa ulichoongea,tena aibu kubwa,
Muisraeli siyo mzungu kabisa,tena kabisa,
Lkn Kuna kitu hamkielewi,siku ya Ukristo kusimama na kutapanyika ilikuwa ni siku ya PENTEKOSTE
soma pale uone makabila na mataifa yalotajwa kuwepo pale na uone kutoka afrika yalikuwa mangapi,Libya,misri,kush,nk,
Maana yake dini ya uKristo ilianza kwa wote maana kila kabila lililokuwepo pale Kuna watu wakiamini na waliporudi makwao walisimulia matendo makuu ya Mungu na Kristo kupitia walichoona,hiyo ndo mwanzo wa uKristo,ni universal na ndo maana kanisa mama linaitwa Catholic means universal,fikra za kitumwa ndo zinatupumbaza,wapo wazungu na wahindi walifundishwa dini na waafrika,
Misri kilikuwepo chuo kikuu cha kwanza afrika na kilikuwa cha wakatoliki ambao kulikuwa wakufunzi waafrika waamini wasomi wa dini na watawa ambao walifundisha pale na miongoni mwa wafundishwa walikuwa wazungu maana kutokea pale walitumwa popote duniani kufundisha uKristo,
Mnafahamu mmoja wa mamajusi walomshuhudia mtoto Yesu alikuwa mwafrika?
Lakini mwisho noweni mbongo zenu,
Siyo kila mweupe ni mzungu,
Muisraeli siyo mzungu kabisa labda km uzungu mnautafsiri kwa rangi na nywele
 
Itapendeza tukisema ni dini ya Wakoromije. MNIOMBEE WATANZANIA.

Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
 
Ndy maana tunasema UKRISTO na YESU ni vitu tofauti
Yesu yupi aliyetofauti na UKRISTO,
yule yesu muhispania mcheza mpira sawa anaweza kuwa tofauti na UKRISTO lkn YESU KRISTO anakuwaje tofauti na Ukristo wakati jina lenyewe linakuhukumu,
Punguza kuamini pumba ulizokarilishwa za chuki hazikusaidii lolote ktk ufalme wa mwana wa ADAMU
 
1. Hivi mkuu unajua kuwa mipaka hii imeundwa baada ya mkutano wa Berlin wa 1885? Hivyo Ethiopia na Misri ya maelezo ya kibiblia haikuwa geographically exact to hii mipaka ya leo.
2. Tukisema ineletwa na wazungu, ni kwamba kabla yao tulikuwa tuna imani tofauti, mfano mizimu n.k. na ukizungumzia hizo nchi katika Biblia, hazikuwa zimezungumziwa kama machimbuko ya dini hii bali kama falme au ngome tu zilizokuwa referred to the story of Israel. They were just characters to the story. Haimaanishi kila kilichotajwa ni Ukristo. After all, Agano la kale ni specifically kati ya Mungu na watu wa Israel(wayahudi).
3. Jaribu kusoma Biblia hiyo hiyo unayoi-refer, halafu tafakari bila assumptions kwa kila kilichoandikwa, utaelewa tofauti ya mipango ya Agano jipya na la kale; Ukristo ulipoanzia, message yake, focus, lengo na maana yake kiujumla.

Hivi vitu havikutokea tu from nowhere au everywhere. Kuna mwanzo, mkakati na sababu. Open your eyes. Then think.
Yap yap
 
Yesu yupi aliyetofauti na UKRISTO,
yule yesu muhispania mcheza mpira sawa anaweza kuwa tofauti na UKRISTO lkn YESU KRISTO anakuwaje tofauti na Ukristo wakati jina lenyewe linakuhukumu,
Punguza kuamini pumba ulizokarilishwa za chuki hazikusaidii lolote ktk ufalme wa mwana wa ADAMU
Soma UZI vzr mkuu,,, biblia umewataja mara nyingi waethiopia na wa misri kuliko warumi.. Huko kunako makao makuu ya ukristo,, sasa utasema YESU wa wayahudi Ndy hyo wa kwnye BIBLIA?
 
Mkuu hebu panua ufahamu kidogo.
Hivi myahudi ni mzungu?
Tafuta asili zao utaona aibu kwa ulichoongea,tena aibu kubwa,
Muisraeli siyo mzungu kabisa,tena kabisa,
Lkn Kuna kitu hamkielewi,siku ya Ukristo kusimama na kutapanyika ilikuwa ni siku ya PENTEKOSTE
soma pale uone makabila na mataifa yalotajwa kuwepo pale na uone kutoka afrika yalikuwa mangapi,Libya,misri,kush,nk,
Maana yake dini ya uKristo ilianza kwa wote maana kila kabila lililokuwepo pale Kuna watu wakiamini na waliporudi makwao walisimulia matendo makuu ya Mungu na Kristo kupitia walichoona,hiyo ndo mwanzo wa uKristo,ni universal na ndo maana kanisa mama linaitwa Catholic means universal,fikra za kitumwa ndo zinatupumbaza,wapo wazungu na wahindi walifundishwa dini na waafrika,
Misri kilikuwepo chuo kikuu cha kwanza afrika na kilikuwa cha wakatoliki ambao kulikuwa wakufunzi waafrika waamini wasomi wa dini na watawa ambao walifundisha pale na miongoni mwa wafundishwa walikuwa wazungu maana kutokea pale walitumwa popote duniani kufundisha uKristo,
Mnafahamu mmoja wa mamajusi walomshuhudia mtoto Yesu alikuwa mwafrika?
Lakini mwisho noweni mbongo zenu,
Siyo kila mweupe ni mzungu,
Muisraeli siyo mzungu kabisa labda km uzungu mnautafsiri kwa rangi na nywele
Maelezo safi kabisa haya.
 
Muafrika kusini katuletea magari ya Toyota na Benz inamaana hayo magari ni ya kiafrika kusini?
Panua ufahamu kidooooogo
Mfano wako wala hauendani sana na mada. Ila ninaheshimu maoni yako.
 
Back
Top Bottom