Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Kwanini manabii wote waliotajwa kwenye biblia ni waebrania na si hao waafrika mnaowazungumzia?
Swali zuri hili ila kulingana na maandiko mbalimbali tunaona baada ya gharika dunia ina asi tena na bloodline pekee iliomuabudu Mungu wa kweli yaani YHWH kwa kiebrania ni ukoo wa SHEM ambao naye alikuja kurithisha imani hadi kwa Abraham kitukuu cha kizazi cha 4 huko.... Na Abraham naye kwakuwa aliendeleza imani wakati ambapo dunia nzima ilikwisha kuwa na miungu wao chini ya babeli ambao walikwisha anza ibada za sanamu hivyo Mungu akaendelea kumtumia Abraham pekee.

Same thing Abraham naye akamrithisha isaka-Yakobo n.k hivyo wakajikuta mwisho wa siku walioendeleza ibada za YHWH/MUNGU ni waebrania/Waisrael ndio ikaendelea hivyo mpaka alipokuja Yesu na ndipo injili ikaweza kuhubiriwa kwa ulimwengu mzima ila kabla ya hapo ilikuwa israel pekee iliyoshika imani ile

Pia sio kweli kwamba manabii wote walikuwa waisrael pekee kuna nabii mfano Obadiah kama sikosei hakuwa Musiraeli ila alipewa tu uisrael wa heshima lakini bado alikuwa Nabii wa Mungu

Hivyo kwa maoni yangu kama sio Nimrod kuvuruga imani ya kina NUHU kumuabudu MUNGU mmoja basi leo hii tungekuwa tunajadili manabii wa kutokea pande zote za dunia mfano kina Nabii Mwita au Nabii Kimaro wangekuwa na vitabu kwenye bible

Ni hayo tu ngoja wataalam waje
Cc tikakami wa lopelope mitale na midimu
 
1. Wazungu wamefuata Ukristo, Ukristo si dini ya kizungu.
2. Wazungu, hususan kuanzia na Mfalme Constantine wa Warumi, wameukubali, kuubadili na kuusambaza sana Ukristo.
3. Ustaarabu wa ki Magharibi umekuwa na taathira nyingi zilizotokana na Ukristo.
4. Ukristoupo wa aina nyingi, kuna Ukristo wa Coptics wa Misri na Ethiopian Orthodox Church ambao haujapitia Ulaya
5. Biblia inayotumiwa sasa katika Ukristo sehemu nyingi ni matokeo ya mijadala na vitabu vilivyokubaliwa na Council of Niceailiyopitishwa na Mfalme Constantine
 
Hiyo ni hiistoria ambayo ni hao hao wazungu walituletea. Tunachojaribu kukiangalia hapa ni historia iliiyoachwa kwetu na mababu zetu walioshuhudia kwa macho yao. Ukristo uliletwa kwao/kwetu na wazungu.
Sio Africa yote mkuu tazama historia nchi ya Ethiopia ukristo wao hawakuletewa na wazungu wao waliupokea ukristo moja kwa moja kutoka Israeli upoasisiwa.
 
Wote tunajua kuwa Abrahamu ndiye baba wa Imani na Waisrael ni vitukuu wa Ibrahimu kwa mjukuu wake Yakobo/Israel na kwamwanawe wa Ahadi ya Mwenyezi Mungu.

Mungu kww utashi wake yeye hatumpangii/hapangiwi akaamua katika nyakati za Abrahamu amchague yeye of all the wanadamu zama hizo kumtumia kuwafundisha wengine jinsi ya kumtafuta Mungu wa kweli.

Kwa hiyo Waisraeli Mungu aliwachagua kama watu atakao watumia kufanyia kazi yake ya ukuhani. Na ndio maana akawatumia kuleta mafundisho yake mbalimbali ya jinsi ya kumlingani yeye Mungu. Aliwatumia pia kuleta unabii kwa wanadamu kuwataarifu kuwa wakati flani ukifika yeye Mungu mwenyewe atatia timu duniani kuuendeleza huo ukuhani ambao aliwapa wana wa Israeli wawe mawakili wake.

Kweli Mungu alikuja kuzwalia katikq moja ya koo hizo za wana wa Usraeli na akishi kati ya wanadamu kwa miaka 33 na akawafundisha wanadamu ni jinsi gani ya kufanya ili kkuridhi ufalme wake yeye Mungu ambao ni wa milele.

Na baada ya Mungu kuja hapa duniani akawafanya wote watakao fuata zile taratibu alizowaelekeza kufanyika wana wa Mungu waliaminio jina lake Bwana Yesu/Mungu.

Kwa hiyo kwa sasa nabii anaweza kuwa yeyote yule aliyompokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
yes safi sana na ethiopia ya zamani ilienda mpaka zimbabwe.

Maji aliyotumia mtoto Musa ktk mto Nile yalitoka ziwa victoria kwao Rais wa kwanza Jk nyerere!
 
Paulo,hakuwa myahidi?
Yule afisa mfuasi wa Kristo,Nikodemus aliye enda kuutoa mwili msalabani,hakuwa myahudi?
Petro?,mitume na wanafunzi wake Yesu makundi kwa makundi hawakuwa wayahudi?,mahubiri waliyoyafanya mitume,Yerusalem na kwingineko na watu kuwaamini na kuongoka hawakuwa wayahudi,
Punguza umbumbumbu wa kujilazimisha kutokanako na chuki ya kuoandikizwa,
Kwani watu wa kwanza kumpinga mohamadi walikuwa akina nani km siyo waarabu na akafanya nao vita na kuwaingiza uislamu kwa mabavu,mbona sasa hamsemi waarabu waliupinga uislamu?,
Ilikuwa lazima wapinge na kukubali maana ndo walokuwepo eneo hilo,
Myahudi Ni Nani miaka hii.tuanzie hapo.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
Hujui kuwa maeneo hayo yalotajwa yalikuwa provinces (majimbo yanayotawaliwa na warumi) na warumi ndo waliuhidhinisha ukiristo ktk dola hilo chini ya mtawala constantine
 
Ukristo baada ya kuanza Yerusalemu 34 BK ulifika Afrika mwaka karibia 45 BK ukiletwa na Mwafrika toka Ethiopia. Miongoni mwa mababa wa Kanisa Karne ya 4 na kuendelea ni Tertuliano wa Kathago na Agostino wa Hippo wote Waafrika.
Mwongo mkubwa!!
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
ukristo ni dini ya wazungu kama hujui historia kaanze darasa la kwanza usijifariji kwa vitu vilivyo wazi
WAMISIONARI WALILETA DINI AFRICA NI WAZUNGU KABLA YA MZUNGU KUKANYAGA AFRICA HAPAKUWA NA UKRISTO MISRI IMETAJWA KAMA ENO LA KUKIMBILIA HATA HIVYO UNAJIFARIJI WAMISRI SIYO WAAFRIKA WAMEITWA WAAFRICA KWASABABU YA MIPAKA NA RAMANI ZA KIKOLONI WALE NI WAARABU. DINI YA AFRICA NI MIZIMU NA SIYO HAYO MAZINGAOMBWE YA WAZUNGU
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
🙏🙏🙏
 
Swali zuri hili ila kulingana na maandiko mbalimbali tunaona baada ya gharika dunia ina asi tena na bloodline pekee iliomuabudu Mungu wa kweli yaani YHWH kwa kiebrania ni ukoo wa SHEM ambao naye alikuja kurithisha imani hadi kwa Abraham kitukuu cha kizazi cha 4 huko.... Na Abraham naye kwakuwa aliendeleza imani wakati ambapo dunia nzima ilikwisha kuwa na miungu wao chini ya babeli ambao walikwisha anza ibada za sanamu hivyo Mungu akaendelea kumtumia Abraham pekee.

Same thing Abraham naye akamrithisha isaka-Yakobo n.k hivyo wakajikuta mwisho wa siku walioendeleza ibada za YHWH/MUNGU ni waebrania/Waisrael ndio ikaendelea hivyo mpaka alipokuja Yesu na ndipo injili ikaweza kuhubiriwa kwa ulimwengu mzima ila kabla ya hapo ilikuwa israel pekee iliyoshika imani ile

Pia sio kweli kwamba manabii wote walikuwa waisrael pekee kuna nabii mfano Obadiah kama sikosei hakuwa Musiraeli ila alipewa tu uisrael wa heshima lakini bado alikuwa Nabii wa Mungu

Hivyo kwa maoni yangu kama sio Nimrod kuvuruga imani ya kina NUHU kumuabudu MUNGU mmoja basi leo hii tungekuwa tunajadili manabii wa kutokea pande zote za dunia mfano kina Nabii Mwita au Nabii Kimaro wangekuwa na vitabu kwenye bible

Ni hayo tu ngoja wataalam waje
Cc tikakami wa lopelope mitale na midimu
Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom