Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Luna kipindi TBC asubuhi kinaitwa yalio tokea kimenifanya nivutiwe Na dini zetu za jadi mkoloni katuletea huu ufedhuli Na kutuaminisha dini zetu za jadi ni upumbavu
Imani yako ndiyo inayo fanya miujiza
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
Mkuu kwani WARUMI na WAITALIA Wanatofautiana.
 
Dini ni nini? Tuanzie hapo.

Dini ni grupu la watu wachache waliojichagua wenyewe binafsi bila kutumwa na kitu au mtu yeyote kuwatawala wenzio ambao ni waumini kwa lengo la kumwabudi Mungu,ambae hawajui kama yupo au hayupo!

Hili kundi la wanadamu lipo confused kabisa kwa kuabudu kitu/nafsi inayoitwa Mungu ambae hawajui wala hawana udhibitisho wa uwepo wake.
 
Safi sana, huyo mungu wanamuabudu ili wapate nini? Wamemsikia kwa nani huyo mungu au wamejuaje kama kuna mungu?

Wanamuabudu wao kutokana na insecurities zao wenyewe.Kila dini ina dhana yake ya uabudu,siwezi zijua maana sija-subscribe kwenye hizo beliefs,ni zao hazinihusu!Kwanza zipo mamilioni ya dini,siwezi zijua zote hata niwe na uwezo kiasi gani!

Hawajamsikia popote,wala hamna mtu katumwa na supernatural power yoyote aje awaambie chochote.Huyo Mungu wanaomsemea wamemjenga wao kupitia mawazo yao binafsi ya kibinadamu tu.In reality hamna mwenye udhibitisho kua kweli yupo au hayupo.As human beings,We know nothing at all about ukweli wa his existence.

Vitabu vyote mnavyoiita vya dini,vimeandikwa na wanadamu kwa mikono yao,proof kua mungu alifanya devine intervention haipo,hakuna awezae kutupatia proof.Hivyo,uhusika wa mungu mnaodai goes through the window!

Pia,kama una maswali yanayohusu dini zenu hizo jiulizeni nyie wenyewe maana sija-subscribe anything about dini au kitabu chochote whatsoever.Ni vizuri mkaulizana nyie nyie wana dini!Mimi ni Agnostic.
 
Kama mwanga wako ni giza hilo giza ulilopo ni baya/ zito/taabu kwelikweli. Sina hakika kama utanielewa.

Wanamuabudu wao kutokana na insecurities zao wenyewe.Kila dini ina dhana yake ya uabudu,siwezi zijua maana sija-subscribe kwenye hizo beliefs,ni zao hazinihusu!Kwanza zipo mamilioni ya dini,siwezi zijua zote hata niwe na uwezo kiasi gani!

Hawajamsikia popote,wala hamna mtu katumwa na supernatural power yoyote aje awaambie chochote.Huyo Mungu wanaomsemea wamemjenga wao kupitia mawazo yao binafsi ya kibinadamu tu.In reality hamna mwenye udhibitisho kua kweli yupo au hayupo.As human beings,We know nothing at all about ukweli wa his existence.

Vitabu vyote mnavyoiita vya dini,vimeandikwa na wanadamu kwa mikono yao,proof kua mungu alifanya devine intervention haipo,hakuna awezae kutupatia proof.Hivyo,uhusika wa mungu mnaodai goes through the window!

Pia,kama una maswali yanayohusu dini zenu hizo jiulizeni nyie wenyewe maana sija-subscribe anything about dini au kitabu chochote whatsoever.Ni vizuri mkaulizana nyie nyie wana dini!Mimi ni Agnostic.
 
Kama mwanga wako ni giza hilo giza ulilopo ni zito/taabu kwelikweli. Sina hakika kama utanielewa.

Na wewe mwanga wako una uhakika gani si giza?

Inashangaza pale nyani wawili,halafu mmoja anacheka kundu la nyani mwezie wakati na yeye ana kundu hilo hilo!It is hilarious!

Ulipozaliwa ulikua na dini wewe?Ulikua huna!

Wewe ni Mkristo,na yeyote asie mkristo kwako wewe ni atheist,na kwa muislam,yeyote asie muislamu ni atheist kwake yeye!

Wakati unazaliwa hukuchagua kuzaliwa na hao wazazi wakristo ulionao,hukuchagua kuzaliwa Tanzania,hukuchagua kuzaliwa Africa,hukuchagua kuzaliwa mweusi,hukuchagua kuzaliwa mwanaume,etc.Imetokea umezaliwa na wakristo,wakakupeleka ukawa mkristo.Ungezaliwa Siberia Russia usingekua na dini.Kwavile umezaliwa Siberia bila wewe kuchagua,na ukawa huna dini,mungu atakuchoma milele,wakati hukuchagua chochote!

Dini zenu sio sahihi maana ni too ethnic and geographically defined!

Bwana Lopelope,wewe kua mkristo,inakutosha.Using'ang'anie kushawishi watu wakufate huko,maana ushawishi by definition ni form of violence!

Huwezi nielewa na mimi pia!
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
Hatujakata hata sisi wakristo wa kweli tunajua hivyo.tatizo kubwa kwa wazungu limeanzia pale walipogundua ya kwamba uwezo wa kufikiri huku Africa kua ni mdogo.so wakaleta neno la MUNGU kwa namna nyingine iliyojaa vitisho ili tuwe wapole.why hawakuipeleka sana Misri?maana walijua waMisri wanaelewa kiasi na wakajikita zaidi kwenye mataifa masikini na yenye uwezo mdogo wa kufikiri ili pia wafanikiwe kibiashara zaidi.hivyo basi..! wakaongeza na chumvi za vitisho kama moto wa jehanam,akupigae kofi mgeuzie na shavu la upande wa pili,na mambo kama hayo ili tu tisije tukajanjaluka siku moja na kuwatoa mkuku..kwamba hata tukiijua kweli lakini tujue kuwafukuza na kuwapiga ni dhambi ya kuchomwa moto wa milele ambao ni uongo tu.ndiyo maana walishindwa kwa waarabu huko hasa Misri au huko Afghanstan na kwingineko na wakatengeneza uhasama wao mpaka leo.so ukristo na imani ya dini hii ilikuwepo miaka yote ila ilitiwa chumvi ikazidi.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mwenye picha ya Yesu wa ukweli aniletee au aweke hapa hadharani.Simtaki yule mwigizaji Brian Deacon wa marekan aliopo kwenye movie ya Yesu.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.

Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye kundi la wazungu japo hilo linaweza pingwa vile vile tukiangalia zaidi historia na genetics za warumi hao.

Misri imetajwa mara 646
Ethiopia imetajwa mara 38
Warumi wametajwa mara 19
Italia imetajwa mara 5.
Hizo ni kwa mujibu wa mtandao wa kingjamesbibleonline.org

Kiufupi ni kwamba masimulizi ya biblia yamejikita Mashariki ya kati na Afrika japo ujumbe wake umelenga watu wa mataifa yote.
kutajwa tu ndio nini sasa.
 
Hii iko a bit out of topic, but inasaidia kidogo kucontextualise in the current era based on the experience of one tribe.

Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.

Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.

1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.

2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).

4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.

5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.

Mafanikio ya kidunia yatatokana na:

1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.

2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.

3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.

4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.

5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.

Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.

Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.
wachaga na ulevi wao wote
 
Kutajwa si kigezo cha dini kuwa ni ya kutokea kwa wazungu..
Tunaposema ukristo ni dini ya wazungu ni pale tumaposoma Yesu alizaliwa kwenye HORI LA KULIA NG'OMBE wazungu wanakuja kutudanganya wanasema Yesu alizaliwa kwenye ZIZI LA KULALIA NG'OMBE. Ni vitu viwili tofauti.
Hori kwa mujibu ya biblia ni MKONO WA BAHARI. Sasa wazungu wanapotuchongea bao ambalo wanaliita HORI LA KULIA NG'OMBE linaloonesha majani yanawekwa humo kisha ng'ombe anakula majani kutokea kwenye zizi huo ni uongo!
Hiyo picha ya kuonesha zizi ambamo inasemekana Yesu alizaliwa kwenye zizi ni kutupotosha. Yesu hakuzaliwa kwenye zizi bali kwenye mkono wa bahari huko baharini na siyo kwenye zizi.
Sasa badala ya watu kukubali maneno ya biblia kwamba HORI ni mkono wa bahari bali wanaamini mchoro uliochorwa na wazungu kwenye biblia yao ya kizungu ukionesha ZIZI hapo ndipo tunaposema ukristo ni dini ya wazungu.

NGAMIA.
Biblia inasema kuwa NI RAHISI KWA NGAMIA KUPITA KATIKA TUNDU LA SINDANO KULIKO TAJIRI KUINGIA YFALME WA MBINGUNI....
Sasa kwa mujibu wa biblia NGAMIA ni kamba fulani nene inayofungwa kwenye nanga kuzuia meli isipelekwe mbali na maji. Lakini wazungu wanatuchorea ngamia mnyama akipita kwenye tundu la sindano. Huo nao ni upotoshaji. Ngamia iliyokusudiwa kwenye andiko hilo si ngamia mnyama bali kamba.
Sasa badala watu kufuata biblia kuhusu KAMBA inayopita kwenye tundu la sindano wakafuata ngamia mnyama anapita kwenye tundu la sindano hapo ndio tunaita ukristo ni dini ya wazungu!!!!
umeandika upuuzi tu watu hawaongelei mangamia humu.haklfu wapi ulipochorewa ngamia mnyama na mzungu.halfu lete ushahidi kwamba kwenye biblia original iliyoandikwa kiebrania na kiyunani kuna hilo neno la kiswahili HORI
 
Kwa hiyo wewe unataka kusema kwenye biblia hakuna neno HORI?
 
Jibu la Biblia

Ili kuonyesha tofauti kati ya waabudu wa kweli na wa uwongo, Biblia inasema hivi: “Kwa matunda yao mtawatambua. Je, watu hukusanya zabibu kutoka kwenye miiba au tini kutoka kwenye michongoma?” (Mathayo 7:16) Kama tu unavyoweza kutofautisha kati ya mzabibu na mti wa miiba kutokana na mazao yake, ndivyo pia unavyoweza kutofautisha dini ya kweli na ya uwongo kwa matunda yake, au sifa zake.

Dini ya kweli inafundisha kweli inayotegemea Biblia, si falsafa za wanadamu. (Yohana 4:24; 17:17) Hiyo inatia ndani ukweli kuhusu nafsi na tumaini la kuishi milele katika dunia paradiso. (Zaburi 37:29; Isaya 35:5, 6;Ezekieli 18:4) Pia, dini ya kweli haiogopi kufunua waziwazi uwongo wa kidini.—Mathayo 15:9; 23:27, 28.

Dini ya kweli inawasaidia watu wamjue Mungu, kutia ndani kuwafundisha kwamba jina lake ni Yehova. (Zaburi 83:18; Isaya 42:8; Yohana 17:3, 6) Haifundishi kwamba watu hawezi kumwelewa Mungu au kwamba hajali mambo ambayo wanadamu wanafanya; badala yake inafundisha kwamba yeye anataka tuwe na uhusiano naye.—Yakobo 4:8.

Dini ya kweli inakazia kwamba Mungu anamtumia Yesu Kristo kutupatia wokovu. (Matendo 4:10, 12) Washiriki wake hutii amri za Yesu na wanajitahidi kufuata mfano wake.—Yohana 13:15;15:14.

Dini ya kweli inakazia kwamba Ufalme wa Mungu ndio tumaini pekee la wanadamu. Washiriki wakehuwahubiria wengine kwa bidii kuhusu Ufalme huo.—Mathayo 10:7; 24:14.

Dini ya kweli huwatia moyo watu kuwapenda wenzao bila ubinafsi. (Yohana 13:35) Inawafundisha washiriki wake kuwaheshimu watu wa makabila yote na inawakaribisha watu wa rangi, tamaduni, lugha, na malezi yote. (Matendo 10:34, 35) Washiriki wakehawaendi vitani kwa kuwa wanawapenda wenzao.—Mika 4:3; 1 Yohana 3:11, 12.

Dini ya kweli haina viongozi wanaolipwa, na hakuna washiriki wake wanaopewa majina ya cheo.—Mathayo 23:8-12; 1 Petro 5:2, 3.

Dini ya kweli haiungi mkono upande wowote wa mambo ya kisiasa. (Yohana 17:16; 18:36) Hata hivyo, washiriki wake wanaheshimu na kutii serikali ya nchi yao, kupatana na amri hii ya Biblia: “Mlipeni Kaisari vitu vya Kaisari, lakini Mungu vitu vya Mungu.”—Marko 12:17;Waroma 13:1, 2.

Dini ya kweli ni sehemu ya maisha, si desturi tu. Washiriki wake wanashikamana na viwango vya juu vya Biblia katika sehemu zote za maisha yao. (Waefeso 5:3-5; 1 Yohana 3:18) Hata hivyo, badala ya kuhisi kwamba wamenyimwa furaha, washiriki wa dini ya kweli wanapata shangwe katika kumtumikia yule “Mungu mwenye furaha.”—1 Timotheo 1:11.

Wale walio katika dini ya kweli ni wachache. (Mathayo 7:13, 14) Mara nyingi, washiriki wa dini ya kweli hupuuzwa, wanadhihakiwa, na kuteswa kwa kufanya mapenzi ya Mungu.—Mathayo 5:10-12.

Si lazima dini iwe ya kweli kwa sababu tu mimi ninaipenda

Kuna hatari ya kuchagua dini kwa kutegemea tu jinsi ninavyohisi kuielekea. Biblia ilitabiri kuhusu wakati ambapo watu “watajikusanyia walimu kwa ajili yao wenyewe ili masikio yao yafurahishwe.” (2 Timotheo 4:3) Tofauti na hilo, Biblia inatutia moyo tufuate “ibada iliyo safi na isiyotiwa unajisi kwa maoni ya Mungu wetu na Baba,” hata ikiwa dini hiyo haipendwi na watu wengi.—Yakobo 1:27; Yohana 15:18, 19.
 
Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.
Injili ya kweli ni ipi..? Labda hujui maana ya Injili
 
Back
Top Bottom