Sio kweli kwamba Ukristo ni dini ya wazungu

Inategemea misri imetajwa kuhusiana na nini.

Misri imetajwa mara nyingi kwenye agano la kale hususan habari za utumwani mwa Waisraeli.

Dini ya Kikristo inaanzia pale yesu alipokuja.

Lakini imani kamili hukusu yesu ilianza kuenezwa na mitume baada ya ujio wa roho mt.Sasa kuanzia hapo sidhani kama kuna sehemu imetajwa kuhusiana na misri ikituonesha kuwa labda kulikuwa na mtume mmisri au mitume walienda misri.

Kwenye matendo ya mitume kazungunziwa tu yule mkushi aliyebatizwa na philipo.
Hii naimaanishi kuwa afrika mzima imekuwa ukristo.

Inshort ukristo uliingizwa kwa mara ya kwanza na wazungu tena wakoloni wamissionary
 
Kunguru nyingine ya Muddy hii

Uislam ukiletwa na yule jamaa wa mecca aliyeolewa na Bi khadija

Umetawadha kwanza? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimetawadha kama yesu/issa kabla ya kuingia madhabahuni.
Wewe je?
 
we nae akili huna ....nani aliwahi kukwambia ukristo ni dini ya wazungu?? stori iliopo ni kwmba imeletwa na!! kuleta au kupeleka chchte sehem haimaanishi ni cha kwako ok?? na kwa hiyo unataka sema waliotajwa mara nyingi ndo ya kwao??

inshort dini hiyo wametuletea sisi hao unaokataa wakati wamekuja kututawala
 
kwahiyo Kuran na Bhagavad Gita sio habari njema kwa mataifa yote?

Wewe confidence ya kusema Biblia,tena Agano Jipya eti ndio Habari Njema kwa mataifa yote umeipata wapi?Nani kakwambia ndio kitabu cha kweli zaidi a vitabu vingine?

Nipe ushahidi hapa,with open mind bila kuegema mahala!

Nadhani ana maana "Habari Njema za Yesu Kristo". Hakumalizia hapo tu. Neno habari njema ama "euangelion" kwa Kiyunani zilikuwa ni habari njema za mfalme (wa Dola ya Rumi) kwa watu wake.

Malaika wa Bwana, Yohana Mbatizaji, Yesu Kristo, Mitume walilitumia neno hili kwa maana ya Habari Njema za Ufalme wa Mungu ambazo Yesu amezileta ama Injili (euangelion).

Kwa hiyo ikiwa Koran (Islam), Gita, the Ramayana, Vedas, the Upanishads (Hinduism), Book of Health ( Mary Baker Eddy), Book of Mormons (LSD), the book of History (Kung Fu Tze), Babylonian Talmud (Jews in Diaspora) vina Habari Njema, hakuna anayebisha.

Wana haki na wao kusema kwa ujasiri kama huyu mwenzao juu ya ujumbe wa Habari njema uliomo ndani mwa hivyo Vitabu.
 
Wanamuabudu wao kutokana na insecurities zao wenyewe.Kila dini ina dhana yake ya uabudu,siwezi zijua maana sija-subscribe kwenye hizo beliefs,ni zao hazinihusu!Kwanza zipo mamilioni ya dini,siwezi zijua zote hata niwe na uwezo kiasi gani!

Hawajamsikia popote,wala hamna mtu katumwa na supernatural power yoyote aje awaambie chochote.Huyo Mungu wanaomsemea wamemjenga wao kupitia mawazo yao binafsi ya kibinadamu tu.In reality hamna mwenye udhibitisho kua kweli yupo au hayupo.As human beings,We know nothing at all about ukweli wa his existence.

Vitabu vyote mnavyoiita vya dini,vimeandikwa na wanadamu kwa mikono yao,proof kua mungu alifanya devine intervention haipo,hakuna awezae kutupatia proof.Hivyo,uhusika wa mungu mnaodai goes through the window!

Pia,kama una maswali yanayohusu dini zenu hizo jiulizeni nyie wenyewe maana sija-subscribe anything about dini au kitabu chochote whatsoever.Ni vizuri mkaulizana nyie nyie wana dini!Mimi ni Agnostic.

Kama haziwahusu mbona mnajadili na kupinga? Si mngeacha tu wadanganyane? " Ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo?" Yesu alimwuliza Sauli wa Tarso barabarani kuelekea Dameski.(Mdo 9)
 
Nadhani ana maana "Habari Njema za Yesu Kristo". Hakumalizia hapo tu. Neno habari njema ama "euangelion" kwa Kiyunani zilikuwa ni habari njema za mfalme (wa Dola ya Rumi) kwa watu wake.

Malaika wa Bwana, Yohana Mbatizaji, Yesu Kristo, Mitume walilitumia neno hili kwa maana ya Habari Njema za Ufalme wa Mungu ambazo Yesu amezileta ama Injili (euangelion).

Kwa hiyo ikiwa Koran (Islam), Gita, the Ramayana, Vedas, the Upanishads (Hinduism), Book of Health ( Mary Baker Eddy), Book of Mormons (LSD), the book of History (Kung Fu Tze), Babylonian Talmud (Jews in Diaspora) vina Habari Njema, hakuna anayebisha.

Wana haki na wao kusema kwa ujasiri kama huyu mwenzao juu ya ujumbe wa Habari njema uliomo ndani mwa hivyo Vitabu.

Mkuu mbona hizi dini zenu zipo too much geographical specified namna hii?

Kama umezaliwa China,most definitely utakua Confusius,ukizaliwa India ni wazi utakua Hindu,etc,etc

Kwako wewe unachoamini ni kwamba asie mkristo ni lazima aende motoni milele na milele.

Haya sasa,mimi sina uwezo wa kuchagua pa kuzaliwa,ghafla nimezaliwa India,kwa upeo wenu wakristo ni kua nitachomwa moto milele kisa tu sijazaliwa sehemu yenye ukristo?

Hivi tukiziita hizi dini zenu kua ni superstition mtakataa kweli?

It does not maake any sense whatsoever!
 
Kama haziwahusu mbona mnajadili na kupinga? Si mngeacha tu wadanganyane? " Ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo?" Yesu alimwuliza Sauli wa Tarso barabarani kuelekea Dameski.(Mdo 9)

Mkuu tunajadili hii "madness" mnayoamini bila reasoning...

Belief gani inayo suspend reason,logic and evidence?Hiyo belief inaitwa madness!

Nipo katikati ya Siberia huku Russia,how can I give a f*ck who the hell is "jesus" rubbish?Never ever heard of him!

Unanipa mistari ya biblia,sir I do not believe it,I do not subscribe to that shitty book written by crazy jewish stupid nassistic old men in the middle east some few thousand years ago!Heri nisome "How To Live Happy and Stop Worrying" cha Dale Carnigue kuliko huo uchafu!

The most violent,immoral,asinine,silly book ever!
 
Mkuu mbona hizi dini zenu zipo too much geographical specified namna hii?

Kama umezaliwa China,most definitely utakua Confusius,ukizaliwa India ni wazi utakua Hindu,etc,etc

Kwako wewe unachoamini ni kwamba asie mkristo ni lazima aende motoni milele na milele.

Haya sasa,mimi sina uwezo wa kuchagua pa kuzaliwa,ghafla nimezaliwa India,kwa upeo wenu wakristo ni kua nitachomwa moto milele kisa tu sijazaliwa sehemu yenye ukristo?

Hivi tukiziita hizi dini zenu kua ni superstition mtakataa kweli?

It does not maake any sense whatsoever!

Swali zuri nitalijibu baadaye.Asante.
 
Mkuu tunajadili hii "madness" mnayoamini bila reasoning. Belief gani inayo suspend reason,logic and evidence?Hiyo belief inaitwa madness!

Nipo katikati ya Siberia huku Russia,how can I give a f*ck who the hell is "jesus" rubbish?Never ever heard of him!

Unanipa mistari ya biblia,sir I do not believe it,I do not subscribe to that shitty book written by crazy jewish stupid nassistic old men in the middle east some few thousand years ago!Heri nisome "How To Live Happy and Stop Worrying" cha Dale Carnigue kuliko huo uchafu!

The most violent,immoral,asinine,silly book ever!

Philosophy of religion is discipline that deals with main questions in religious faith. Example: Does God Exist? Also it deals with the problem of good and evil snd many other issues like some that you have mentioned. We talk of Faith with Reason, or Rational Faith. Religion and Culture, and Comparative Religion. Coming back to Christianity and its message we cannot make compromises. The Gospel of Christ to all nations of the world. Those who shall perish without the Gospel will be judged without the Gospel. Hindus for that matter shall be judged by their own standards if that is the case. Moslems, Jews the same. Paul applied numerous rational approaches as he preached to the Gentiles. Read how he explains the belief in resurrection of the dead (1 Cor 15: 1- 52).
 
I do not need religion to know good and evil!

Christianity can not make any compromises?...What the hell is Christianity to claim that?Humans have been on this world for 4bilions before anything called Christianity ever surfaced on this planet!

Hindus,Moslems,nk watakua judged on their own standards?Kumbe huyo Mungu wenu wa wakristo anaruhu uhindu,uislamu,etc?Kwa hili unadanganya big time!

Mkuu siamini gospel,siamini yesu,siamini biblia,hiyo idea ya sijui perish,sijui gentiles na resurrection,etc ni mambo yenu nyie wakristo...Kwa kifupi siamini uwepo wa Mungu au Shetani wa aina yoyote!Nashauri tudiscuss vitu kama common human beings wenye common interest.Ukristo ni wako,kwa faida yako,haunihusu,siuamini,keep it for yourself usinilazimishe,wala usinishawishi maana ushawishi wenyewe ni some form of violence!
 
kutajwa sana kwa maeneo ya Afrika ndiyo kithibitisho thabiti??
una hoja nzuri bali uthibitisho wako mwepesi sana.
 
I do not need religion to know good and evil!

Christianity can not make any compromises?...What the hell is Christianity to claim that?Humans have been on this world for 4bilions before anything called Christianity ever surfaced on this planet!

Hindus,Moslems,nk watakua judged on their own standards?Kumbe huyo Mungu wenu wa wakristo anaruhu uhindu,uislamu,etc?Kwa hili unadanganya big time!

Mkuu siamini gospel,siamini yesu,siamini biblia,hiyo idea ya sijui perish,sijui gentiles na resurrection,etc ni mambo yenu nyie wakristo...Kwa kifupi siamini uwepo wa Mungu au Shetani wa aina yoyote!Nashauri tudiscuss vitu kama common human beings wenye common interest.Ukristo ni wako,kwa faida yako,haunihusu,siuamini,keep it for yourself usinilazimishe,wala usinishawishi maana ushawishi wenyewe ni some form of violence!
Ww naona wakovu unakuhusu
 
Uislam na ukristo zimeletwa na watu weupe,hazina mpango
Nalog off
 
Ww naona wakovu unakuhusu

Wokovu ndio nini?Usikute unanitukana mkuu wangu?!!

Tumia lugha huria isiyoegemea dini yoyote maana ziko chungu nzima na yako usifikirie ndio bora zaidi ya ingine!

Nashukuru sana mkuu wangu kwa kunielewa!
 
UKRISTO NI UHUNI TU ULIOANZISHWA NA PAULO BAADA YA KUCHAKACHUA INJILI YA KWELI.

UKIANGALIA, INJILI YOTE ILIYOPO SASAHIVI KTK BIBILIA YA KING JAMES IMESIMULIWA NA WATU WENGINE KABISA SIYO YESU MWENYEWE.

PIA WAUMINI WA DINI HII HUWA WANADANGANYWA SANA NA VIONGOZI WAO (MAPADRI, MAPAPA NA WACHUNGAJI) KATIKA KAMBOMBALIMBALI NAWAO WANAKUBALI TU BILA YA KUHOJI NA KUTAFAKARI KWA KINA.
UTAKUTA MCHUNGAJI AU PADRI KANUNUA PAPAI PALE KARIAKOO SHIMONI KWA SHILINGI ZA KITANZANIA ELFU MBILI HADI ELFU TATU, NA KWENDA KULIUZA KANISANI HADI MILIONI MOJA KWA WAUMIMI AKIDAI KUWA KALETEWA NA YESU, NA ATAKAYENUNUA PAPAI HILI ATAPATA UZIMA WA MILELE BAADA YA KUFUFULIWA, BASI MIJITU NA MIDIGRII, MAPROFESA NA MA PHD WANAGOMBALIA KUNUNUA PAPAI LILE. MH HUU NI UPUUZI NA UJINGA ULIOPITILIZA.
 
Wana kitu kinaitwa IMANI. Kwao imani maana yake ni kuamini na kukifia kitu hata kama ni cha uongo. Kikubwa nilichokigundua hawa wakristo hawana namna au jinsi ya kukwepa udanganyifu maana kuanzia kuzaliwa Yesu mpaka kufa vyote ni uongo lakini bado wanaendelea kuamini.
Kibaya kinachowachangaya ni jina la Mungu. Sisi tuna Mungu jina lake ni Allah lakini wao jina la Mungu wao halijulikani maana wako watatu....!
 
Romans ndio wameleta ukristo

Romans=Europeans
 
Back
Top Bottom