Sio kwa dongo hili!!

Sio kwa dongo hili!!

We unadhani maisha ya SA ni kama ya Bongo????

Pasikie tu

In short msosi unaonunua 2000 kule ni zaidi ya 9000.
Kutoka makumbusho to posta unalipa 400 SA kwa umbali huo utalipa 3500 mpaka 4000.

Pasikie tu rafiki

mh!, acha Malema akemee, tena kwa jina la Yesu.
 
Leo mmoja kaja Facebook ananiomba hela ya Lunch sasa sijui aliwaza nini? Siku zote hatujawahi kuchat leo ndo aanze kuomba hela Daah
 
Siku hizi wakaka naona yamewafika shingoni haswa na wameamua kuwa ki Imani zaidi. Naona ni mwendo wa kukemea tu sasa, kuna yule dada aliomba hela kwa boyfriend kwenye simu na yeye akakemewa kwa jina la Yesu. Kazi ipo.
 
Hahahaaaaa!! Lazima wamrudie Mungu, sio kwa ubandits huo!! Taratibu wanaanza kufunguka.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahahaaa!! Sio hivyo bwana, kaujumbe kametulia kwakweli, ukikasoma ukiwa umetulia haki unapata kitu.
Mimi huwa nasema hapa jf wanawake wengi ni vichwa vidogo.(small head with a little/small brain)
 
Back
Top Bottom