Ha ha ha kila mhaya anasifa hata aweje ...akiwa mshika dini utafikiri anakaa na Mungu huko mbinguni...acha bana ila mtu kama mi nawapenda huwa nawapamba tu huku natumia vyao ...note... Huwa situmiki
Ukweli ni kuwa kila kabila lina mambo ambayo hayawezi kukubalika na kabila zingine ... yaani characters zinazo-represent asili ya watu ... pengine ni perception au ukweli!!
Mfano misemo kama vile:
Watu wa Musoma/Tarime ni wauaji au wakatili
Wachaga ni wezi
Wanawake wa kimachame wanaitwa Wapalestina (Wauaji/wanaua waume zao)
Wakibosho majambazi
Wanyakyusa wa Kyela nao wanafanishwa na Wahaya kwa dharau
Watu wa Pwani wavivu/waswahili
Watu wa Sumbawanga wachawi...
Hizi tabia zinatajwa zikijumlisha tabia za eneo ila ukweli si kuwa wote wana tabia hiyo!!
:A S-frusty2::nod:
Ila Wahaya jamani .. mmmhhh .. mnatuita wengine "Wanyama hanga"
Miss chagga, inaekelea wahaya walikufanya kitu mbaya, naona umewakomalia
Umeamua kukomaa na wahaya leo...mti wenye matunda siku zote ndiyo unapigwa mawe...
Ukweli hawa ndugu zetu baadhi wana nyodo sana japo sio wote,nimeolewa na mhaya yuko tofauti sana lakini wengine majanga kabla sijafika bukoba nilijua wahaya wote wasomi nakumbuka jamaa mmoja chuoni alisema yaani nyie mnahangaikia ka degree ka mojaa wakati kwetu hadi kuku wanadegree
miss chagga acha wivu, sifa moja kuu ya Mhaya ni kujiamini, ukimuona Mhaya mnyonge mnyonge huyo tilia mashaka. Kwa maana hiyo sishangai kuitwa majina mabaya mabaya kama hayo, pamoja na hayo Wahaya wengi ni shemeji zako. CC: miss chagga
Hizi ishu zilikuwa zinanikwaza sana ila sahivi shega tu,ishi kwa kufuata misingi yako mengine waachie wana dunia wala wasikufanye ukahisi labda una mapungufu kwani kwa kila kiunbe Mungu kakipa vipawa vyake,soon,kama wanasema hivyo we mshukuru muumba hivyo ni vipawa na hats kwenda shule wahaya wamepewa vipawa na kwa wasio navyo ni full gere
na ukiona tumekaa zizi moja ujue mchaga anavuna vyake siku si nyingi anasepa
wa stanbic siwajui,wa mkombozi bank na wengine waliotajwa
Bshaka watakua walimpiga katerero wakamchana ki.nembe.
Hahahaaaa nna mchumba mhaya ni mpole na mtaratibu ila katabia cha dharau kapo mwanzo nilikuwa nakasirika but sasaivi nmejifunza kujishusha na kunyamaza atlst imepungua kdogo na kabadilika kiufupi ni watu wanaojua kucare sana na wenye msimamo pamoja na kuwa na hako kahitilafu na pia ni watu wanaojua kustrugle in life na wanapenda mafanikio
Ni shemeji zangu siwape mnasifa ila nawachukulia pesa zenu acha kabisa
Huyo anakuvutia kasi