Kuna kipindi humu ndani walikua wanakomalia Wachaga daily sasa hivi naona ni zamu yenu teh. Wapuu.z hawa sijui wenyewe hawana makabila? Halafu utakuta wengi wao ndio wale wanaoongoza kuua Zeruzeru. Sshiii nakunong'oneza ngoma (Kanda ya ziwa)
Hata siku moja mchagga na muhaya hawakai zizi moja!
We kabila gani, then we can discuss!
Tukirejea ktk historia ya nchi hii ni wahaya ndio waliompokea mkoloni Tanganyika na kufuatia na makabila mengine ambayo mwanzoni yalitia ngumu.
Hivyo tunachokiona sasa ni muendelezo wa fikra za Kizungu zilijikusanya ktk watu hawa karibu karne sasa.
Kutamba au kujidai kwa wahaya ni ujasiri walionao katika kila kitu hasa elimu inayowaweka huru kuliko wengine ambao ndio kwanza wameanza kufunguka kifikra juu ya au namna ya kuishi kibepari.
Wahaya walio wengi hata kama hawana pesa kinachowafariji ni elimu waliozonazo,kwa muhaya heshima kubwa ni kuwa na elimu ya kutosha mambo ya pesa baadae.
Hata wapatapo pesa utumia pesa hizo pasipo kubagua kabila lingine ili mradi tu kuna mausiano fulani fulani.
Kwa mhaya kutumia kiasi kikubwa cha pesa kwa starehe ni jambo la kawaida na hata afanyavyo hivyo ujue kuna kitu kinatafutwa interms of IRR.
Kumpata mhaya asiye na dharau au kujisifu ni mpaka utumie darubini maalum.
Wahaya wanahitaji maombi kubadilishwa tabia.
Usituite majitu bob..acha usenge wako...!!we kama unahasira nenda kwa tibaijuka umwambie sio unatujumlisha wote..aftal watamzania mmepamic tu..hii nchi wameila watu kibao sema wahaya tumekua mbuzi wa kafara tu.!!hivi nchi hii kun! mtu mwenye ubaguzi kama chenge.??malaya kma jakaya.!!wati kila kitu kibaya ni wahaya tu..hii nchi ni shamba la bibi,watu wanahonga wilaya amsemi lolote kazi kuwasema wahaya..mi hapa nlipo hata hela ya kula mchana sina,ila dili la esrow mmetuunganisha wahaya wote,sio issue..
Kifupi ni kwamba wahaya wana roho mbaya, wajivuni, wajuaji na wanadharau sana.
Nakuhakikishia,haiwezekani kabisa!Mbona mliwasema sana waaaa acha ..agaaa ....Wahaya ...wana mengi zaidi ya kusemwa....Acha la vibanda hodi nchi nzima kabla na baada ya Uhuru. Ilimu pia iliwahusu sana....Lakini kuukana ukabila wao ....linahusika pia.Utaambiwa mama yangu ni mganda baba ni mchanganyiko wa Mtu wa Musoma na mkerewe nk.....Tanzania bila wahaya inawezekanika kabisa......Wametuchosha na kejeli zao ,majidai na mazaga zaga yao chungu mbovu.
Hata siku moja mchagga na muhaya hawakai zizi moja!
Je hao wahaya wanafanya kazi kwa ufanisi? Kama jibu ni ndiyo basi waacheni! Njoo chuo kikuu Bugando...VC mhaya; dean of school of medicine ni mhaya na heads kibao wa department ni wahaya lakini Bugando mpaka sasa ni chuo kinachofanya vizuri kwa kuwatoa madaktari wazuri! Tafadhali acheni mambo ya ukabila jikite kwenye mambo ya kimaendeleo
Kwanini mnawasurubu wahaya hii ni dhambi ya Ubaguzi tena usiyo na msingi binadamu wote sawa na kama mapungufu ni ya binadamu wote na sisi sote tumeumbwa na MUNGU kwanini tuanze kusurubiana na kuanza kunyosheana vidole kwa mapungufu yetu. Hapana tuwa wafuasi wa UTU ili tukiwa wote tuwa watu wa kufaana na kuleana kwa mapungufu yetu.
mfano ukabila ,lile dili la escrow zaidi ya asilimia tisini waliopiga ni wahaya,hivi unafikiri kwa nn makabila mengine hawakusilkishwa