Baitani Jr
Member
- Mar 14, 2013
- 28
- 3
ubishi mwingi wa nini? ngoja 2one wanavyo umbuka,mawakili wale sio wale wa kikwete wanaosomea kwenye mtandao. shule ipo. serikali ina babaika kama kesi ile ya million mia 900 ya mrema.
wajinga siku zote huvuta subira na kuvumilia ujinga..luckily am not stupid......so NO, siwezi kuvuta subira kusubiri upuuzi....and about that camera, hukuona kuwa ile kamera ilitegeshwa, my guess ni simu, na alkua haongei na watu, bali Mtu......jamani kwani hadi hili linahitaji elimu ya darasani??Ukivuta subira na kukubali mawazo ya wenzako nini uangalie unaweza ukabadili mawazo.Hata ingekuwa mimi ni yule binti aliyekuwa anatembea kuelekea kwenye ka dirisha,nikasikia maongezi yao lazima ningevutwa na shauku ya kutaka kujua zaidi,lakini hakufanya hivyo.Kwa hiyo inaamaana yalikuwa yanaongelewa siyo hayo yaliyowekwa kwenye clip.Pili aliokuwa anongea nao kwa nini wafichwe?Inamaana alikuwa anakamkutano sasa aliokuwa anaongea nao mbona hawajaomyeshwa?Sauti nyingi zilikuwa zikigongana sana.
Kitengo cha IT ktk jesh letu la polisi,kipo ZAIDI kwa askari wa barabaran hasa wanaohusika na kupanga madaraja ya lesen za drivng. jamaa kuingiza taaarifa tu kwenye kompy ni issue,aki typ jina ni dk 3
wajinga siku zote huvuta subira na kuvumilia ujinga..luckily am not stupid......so NO, siwezi kuvuta subira kusubiri upuuzi....and about that camera, hukuona kuwa ile kamera ilitegeshwa, my guess ni simu, na alkua haongei na watu, bali Mtu......jamani kwani hadi hili linahitaji elimu ya darasani??
Yanazungumzwa mengi sana kuhusu tuhuma za uhalifu unaomkabili Lwakatare, mkurugenzi wa usalama na ulinzi wa chadema. Wapo wanaomtetea kuwa hahusiki na hilo na wapo wanaoamini kuwa amehusika. Mimi nashauri watanzania tusiwe na ushabiki uliopitiliza, tuachie dola ifanye kazi yake. Endapo Lwakatare akibainika na hatia sheria ichukue mkondo wake na kama la basi ataachiwa huru. Tukumbuke swala hili linahusisha uhai wa watu so tukilizungumzia kisiasa hatufanyi sawa. Lwakatare si malaika huenda kweli anahusika ama la. Tusiyatreat mambo ya msingi kisiasa kwani tunachangia kuhatarisha usalama wa nchi. Mi nasema; Swala la Lwakatare tuiachie dola ifanye kazi yake.
Polisi wana kitengo cha IT
msiwaone ni mbumbumbu kabisa
Suala linalohusu video inayomhusisha mkurugenzi wa usala wa CHADEMA, Winfred Lwakatare limezua gumzo kubwa nchini na kwa wengine kuwwacha kwenye hali ya sintofahamu.
Polisi imejiingiza katika suala ambalo sina shaka kuwa litaleta historia ndani ya jeshi hilo (be it positive or Negative). Suala hapa linahusisha matumizi ya technolojia katika kupandikizia watu makosa au teknolojia ilivyofanikisha kukamatwa kwa mtu anayepanga jinai.
Wengi hawaamini kwamba video ile ina uhalisia wowote, wanaamini ni michezo ya kitechnolojia imetumika kutengeneza issue ile.
NINACHOJIULIZA JE, POLISI WATASHIKA LIPI IKIWA WATAALAM WATAINGIZA SAUTI YENYE MAZUNGUMZO TOFAUTI KATIKA CLIP ILE ILE?
UPANDE MWINGINE NI JE, KWA WATETEZI WA LWAKATARE KWA NINI WASI EDIT CLIP ILE ILI KUYAPA NGUVU MADAI YAO NA KUONDOA HALI YA SINTOFAHAMU.
NAWASILISHA.
halafu FBI baada ya kuona wanafanya kazi na mazuzu wakawachorea kikatuni wakarudi zao USA... acha kova wa zanzibar ajitape nacho hicho kikatuni kwenye vyombo vya habari
immatures....dharau mmeweka mbele....mi nilisema juzi, nasema tena na leo....ingieni katika search engines, like google, bing..and whatever......mutafute record ya clip iliyokuwa maneuvered(tengenezwa) ambayo ina urefu wa dakika zaidi ya 10...ikiinclude, SAUTI, BODY LANGUAGE YA MZUNGUMZAJI, CHAFYA NA KUVUTA VUTA MAFUA, WATU KUPITA NYUMA YAKE NA WENGINE KUMSALIMIA......mtakapoweza kuipata hiyo...au hata kumbukumbu ya kuwepo kwa mtaalam alyeweza kufanya hivyo ndiyo mtaweza kushawishi umma kuwa ile video imechakachuliwa.....unless mnapata hiyo, truth of the matter remains, video ile ni genuine........alaf CHADEMA na watu wake wote, mjifunze kukubali matokeo siyo kila siku mnakataa tu....mbona mmekuwa brain washed namna hiyo....??
usichanganye mambo wewe! kuwa na kitengo haimanishi una wataalamu. mbona tunajeshi la polisi lakini walio wengi hata kuandika neno PLATE NUMBER HAWAWEZI? Usikute hata huko IT ndio kwanza wanatafuta watu wa kwenda kusomea sasa.wangekuwa nao wangejua kuwa ile clip ni fake.wamepewa maujuzi kibao hapa JF wameshindwa kufanyia kazi, wanasubiri kwenda kuaibika mahakamani.
Burden of proof iko upande wa prosecutors...Kwenye kesi panatakiwa PROOF BEYOND ANY REASONABLE DOUBT with or without forensic is immaterial. Labda baadae wanasheria wa Lwakatare wakija na forensic knowledge ya kuprove otherwise.
naomba nitumie akili ile niliyokua nayo kabla sijaanza darasa la kwanza kukujibu, alafu wewe tumia akili yako ya sasa kunielewa.....jibu la swali lako ni hili...kama mpo kwa mama lishe...na wote nia yenu ni moja....basi haijalishi mahali mlipo, mnayoyataka kuyaongea mtayaongea tu....mfano...mfano...slaa, mbowe, mnyika, lwakatare, lissu, na wanachadema wote mkiwa Bar, yani bar yoooote wamejaa viongozi wa chadema na wale wanachama waliokuwa brainwashed, basi hawatoshindwa kuongelea kuteka na kumtesa na hata kumuua mwandishi wa habari, au 'appointed agent' kama alivyosema lwakatare huku akijifuta makamasi kwenye fulana aliyovaa........kama hujaelewa niambie nikupe mifano mingine....Haya basi tunakubaliana na wewe kwamba ile video clip ni genuine, ebu tumia akili zako kidogo tu zile za wakati ule ukiingia form 1, mambo mazito na maneno mazito kama yale yanaweza kuongelewa kwa MAMA LISHE?
Usijidanganye... 100% ya intake CCP na vyuo vingine vya polisi ni waliopata alama chache kushindwa kuendelea form V au chuo...
Utaongea mengi lakini hayo yote ni mambo ya kufikilika ambayo tuliyasoma hapo zamani kama vile hadithi za Adili na nduguzenaomba nitumie akili ile niliyokua nayo kabla sijaanza darasa la kwanza kukujibu, alafu wewe tumia akili yako ya sasa kunielewa.....jibu la swali lako ni hili...kama mpo kwa mama lishe...na wote nia yenu ni moja....basi haijalishi mahali mlipo, mnayoyataka kuyaongea mtayaongea tu....mfano...mfano...slaa, mbowe, mnyika, lwakatare, lissu, na wanachadema wote mkiwa Bar, yani bar yoooote wamejaa viongozi wa chadema na wale wanachama waliokuwa brainwashed, basi hawatoshindwa kuongelea kuteka na kumtesa na hata kumuua mwandishi wa habari, au 'appointed agent' kama alivyosema lwakatare huku akijifuta makamasi kwenye fulana aliyovaa........kama hujaelewa niambie nikupe mifano mingine....