Sintofahamu ya suala la Lwakatare, je, hili likifanyika Polisi watashikalipi?

ubishi mwingi wa nini? ngoja 2one wanavyo umbuka,mawakili wale sio wale wa kikwete wanaosomea kwenye mtandao. shule ipo. serikali ina babaika kama kesi ile ya million mia 900 ya mrema.
 
Ukivuta subira na kukubali mawazo ya wenzako nini uangalie unaweza ukabadili mawazo.Hata ingekuwa mimi ni yule binti aliyekuwa anatembea kuelekea kwenye ka dirisha,nikasikia maongezi yao lazima ningevutwa na shauku ya kutaka kujua zaidi,lakini hakufanya hivyo.Kwa hiyo inaamaana yalikuwa yanaongelewa siyo hayo yaliyowekwa kwenye clip.Pili aliokuwa anongea nao kwa nini wafichwe?Inamaana alikuwa anakamkutano sasa aliokuwa anaongea nao mbona hawajaomyeshwa?Sauti nyingi zilikuwa zikigongana sana.
wajinga siku zote huvuta subira na kuvumilia ujinga..luckily am not stupid......so NO, siwezi kuvuta subira kusubiri upuuzi....and about that camera, hukuona kuwa ile kamera ilitegeshwa, my guess ni simu, na alkua haongei na watu, bali Mtu......jamani kwani hadi hili linahitaji elimu ya darasani??
 
Yanazungumzwa mengi sana kuhusu tuhuma za uhalifu unaomkabili Lwakatare, mkurugenzi wa usalama na ulinzi wa CHADEMA. Wapo wanaomtetea kuwa hahusiki na hilo na wapo wanaoamini kuwa amehusika. Mimi nashauri watanzania tusiwe na ushabiki uliopitiliza, tuachie dola ifanye kazi yake.

Endapo Lwakatare akibainika na hatia sheria ichukue mkondo wake na kama la basi ataachiwa huru. Tukumbuke swala hili linahusisha uhai wa watu so tukilizungumzia kisiasa hatufanyi sawa. Lwakatare si malaika huenda kweli anahusika ama la. Tusiyatreat mambo ya msingi kisiasa kwani tunachangia kuhatarisha usalama wa nchi.

Mi nasema; Swala la Lwakatare tuiachie dola ifanye kazi yake.
 
wajinga siku zote huvuta subira na kuvumilia ujinga..luckily am not stupid......so NO, siwezi kuvuta subira kusubiri upuuzi....and about that camera, hukuona kuwa ile kamera ilitegeshwa, my guess ni simu, na alkua haongei na watu, bali Mtu......jamani kwani hadi hili linahitaji elimu ya darasani??

you are not stupid but you seem to be mr ignoramus.
 
Yanazungumzwa mengi sana kuhusu tuhuma za uhalifu unaomkabili Lwakatare, mkurugenzi wa usalama na ulinzi wa chadema. Wapo wanaomtetea kuwa hahusiki na hilo na wapo wanaoamini kuwa amehusika. Mimi nashauri watanzania tusiwe na ushabiki uliopitiliza, tuachie dola ifanye kazi yake. Endapo Lwakatare akibainika na hatia sheria ichukue mkondo wake na kama la basi ataachiwa huru. Tukumbuke swala hili linahusisha uhai wa watu so tukilizungumzia kisiasa hatufanyi sawa. Lwakatare si malaika huenda kweli anahusika ama la. Tusiyatreat mambo ya msingi kisiasa kwani tunachangia kuhatarisha usalama wa nchi. Mi nasema; Swala la Lwakatare tuiachie dola ifanye kazi yake.

Mkuu wala haina shida, ukumbuke pia kuna maisha ya kina Mwangosi yalipotea mikononi mwa polisi, maisha ya kina Dr.Ulimboka yalikaribia kupotea mikononi mwa usalama wa taifa, maisha ya Dr.Mwakyembe na mtoto wa Mengi pia. Sasa kama wahusika hawakuchukua hatua zozote, inatupa mashaka pia na hili. Tatizo hapa ni kuwa credibility ya ''usalama'' hakuna tena. Sintofahamu hii inasababishwa na watu fulani kutotimiza wajibu wao kutokana na matakwa fulani
 
Suala linalohusu video inayomhusisha mkurugenzi wa usala wa CHADEMA, Winfred Lwakatare limezua gumzo kubwa nchini na kwa wengine kuwwacha kwenye hali ya sintofahamu.

Polisi imejiingiza katika suala ambalo sina shaka kuwa litaleta historia ndani ya jeshi hilo (be it positive or Negative). Suala hapa linahusisha matumizi ya technolojia katika kupandikizia watu makosa au teknolojia ilivyofanikisha kukamatwa kwa mtu anayepanga jinai.
Wengi hawaamini kwamba video ile ina uhalisia wowote, wanaamini ni michezo ya kitechnolojia imetumika kutengeneza issue ile.

NINACHOJIULIZA JE, POLISI WATASHIKA LIPI IKIWA WATAALAM WATAINGIZA SAUTI YENYE MAZUNGUMZO TOFAUTI KATIKA CLIP ILE ILE?

UPANDE MWINGINE NI JE, KWA WATETEZI WA LWAKATARE KWA NINI WASI EDIT CLIP ILE ILI KUYAPA NGUVU MADAI YAO NA KUONDOA HALI YA SINTOFAHAMU.
NAWASILISHA.

huyo lwakatare ni nani hasa mpaka wamuingizie maneno? jamani who is lwakatare??? tulitegemea haya mambo yatokee kwa watu ambao ni threa kwa serikali...kama slaa, zito, lissu, mbatia n.k Lwakatare??? my foot acheni kujifariji
 
Ile sauti ni ya Lwakatare tukubali tukatae. Ila sema huenda Lwaka amenunuliwa na magamba. CDM iwe makini hapo. Huenda Lwakatare hata ana recorded video ya mmoja wa viongozi wake wakuu wakimpa maelekezo. Tusikurupuke juu ya hili hatujui hatima ya kesi hiyo kwa upana wake!
 
halafu FBI baada ya kuona wanafanya kazi na mazuzu wakawachorea kikatuni wakarudi zao USA... acha kova wa zanzibar ajitape nacho hicho kikatuni kwenye vyombo vya habari

FBI waliitwa kwa kudhani kwamba wauwaji ni waislam, ila walivyofika pale hali tofauti ndio maana unasikia kimya...
 
immatures....dharau mmeweka mbele....mi nilisema juzi, nasema tena na leo....ingieni katika search engines, like google, bing..and whatever......mutafute record ya clip iliyokuwa maneuvered(tengenezwa) ambayo ina urefu wa dakika zaidi ya 10...ikiinclude, SAUTI, BODY LANGUAGE YA MZUNGUMZAJI, CHAFYA NA KUVUTA VUTA MAFUA, WATU KUPITA NYUMA YAKE NA WENGINE KUMSALIMIA......mtakapoweza kuipata hiyo...au hata kumbukumbu ya kuwepo kwa mtaalam alyeweza kufanya hivyo ndiyo mtaweza kushawishi umma kuwa ile video imechakachuliwa.....unless mnapata hiyo, truth of the matter remains, video ile ni genuine........alaf CHADEMA na watu wake wote, mjifunze kukubali matokeo siyo kila siku mnakataa tu....mbona mmekuwa brain washed namna hiyo....??

Haya basi tunakubaliana na wewe kwamba ile video clip ni genuine, ebu tumia akili zako kidogo tu zile za wakati ule ukiingia form 1, mambo mazito na maneno mazito kama yale yanaweza kuongelewa kwa MAMA LISHE?
 
usichanganye mambo wewe! kuwa na kitengo haimanishi una wataalamu. mbona tunajeshi la polisi lakini walio wengi hata kuandika neno PLATE NUMBER HAWAWEZI? Usikute hata huko IT ndio kwanza wanatafuta watu wa kwenda kusomea sasa.wangekuwa nao wangejua kuwa ile clip ni fake.wamepewa maujuzi kibao hapa JF wameshindwa kufanyia kazi, wanasubiri kwenda kuaibika mahakamani.


Wewe unakijua hiko kitengo?
unawajua ma expert woote wa it wa polisi?
unajiabisha mno na assumptions zako hapa
unaujua msaada wa Marekani kwa Polisi Tanzania kwenye masuala ya IT?
Unajua Polisi wamefundishwa nini na nini?
 
Kwenye kesi panatakiwa PROOF BEYOND ANY REASONABLE DOUBT with or without forensic is immaterial. Labda baadae wanasheria wa Lwakatare wakija na forensic knowledge ya kuprove otherwise.
Burden of proof iko upande wa prosecutors...
 
Kwa sasa watanzania wengi wametunisha macho na misuli yote katika sakata la Lwakatare. Pembeni mafisadi wanagawana kinyemela raslimali za taifa kwa mgongo wa Dowans! CCM ndio wanataka iwe hivyo!!! Rais alikwishatamka kuwa wala hata mmiliki wa Dowans hamfahamu?? Na sasa ameamua kumlipa!!! Kwa watu wenye mang'amuzi mazito, hivi ni nani angestahili kujadiliwa, kushinikizwa na hata kushitakiwa kwa uhaini kwa sasa? Ni Lwakatare au ni Kikwete??????!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haya basi tunakubaliana na wewe kwamba ile video clip ni genuine, ebu tumia akili zako kidogo tu zile za wakati ule ukiingia form 1, mambo mazito na maneno mazito kama yale yanaweza kuongelewa kwa MAMA LISHE?
naomba nitumie akili ile niliyokua nayo kabla sijaanza darasa la kwanza kukujibu, alafu wewe tumia akili yako ya sasa kunielewa.....jibu la swali lako ni hili...kama mpo kwa mama lishe...na wote nia yenu ni moja....basi haijalishi mahali mlipo, mnayoyataka kuyaongea mtayaongea tu....mfano...mfano...slaa, mbowe, mnyika, lwakatare, lissu, na wanachadema wote mkiwa Bar, yani bar yoooote wamejaa viongozi wa chadema na wale wanachama waliokuwa brainwashed, basi hawatoshindwa kuongelea kuteka na kumtesa na hata kumuua mwandishi wa habari, au 'appointed agent' kama alivyosema lwakatare huku akijifuta makamasi kwenye fulana aliyovaa........kama hujaelewa niambie nikupe mifano mingine....
 
Usijidanganye... 100% ya intake CCP na vyuo vingine vya polisi ni waliopata alama chache kushindwa kuendelea form V au chuo...

Kama hujui kitu uliza mkuu. Kuna nafasi za kazi huwa zinatangazwa na wizara ya mambo ya ndani special kwa ajili ya wataalamu wa fani fulani. Unafanyiwa usaili, ukipita unapewa mkataba kwa sharti kuwa lazima upite CCP ndipo uanze kazi. Kila mwaka hizo nafasi zipo, unatuma maombi ya kazi kama kazi nyingine ila masharti ndio hayo lazima ukapige kwata kwanza.
 
naomba nitumie akili ile niliyokua nayo kabla sijaanza darasa la kwanza kukujibu, alafu wewe tumia akili yako ya sasa kunielewa.....jibu la swali lako ni hili...kama mpo kwa mama lishe...na wote nia yenu ni moja....basi haijalishi mahali mlipo, mnayoyataka kuyaongea mtayaongea tu....mfano...mfano...slaa, mbowe, mnyika, lwakatare, lissu, na wanachadema wote mkiwa Bar, yani bar yoooote wamejaa viongozi wa chadema na wale wanachama waliokuwa brainwashed, basi hawatoshindwa kuongelea kuteka na kumtesa na hata kumuua mwandishi wa habari, au 'appointed agent' kama alivyosema lwakatare huku akijifuta makamasi kwenye fulana aliyovaa........kama hujaelewa niambie nikupe mifano mingine....
Utaongea mengi lakini hayo yote ni mambo ya kufikilika ambayo tuliyasoma hapo zamani kama vile hadithi za Adili na nduguze
 
Back
Top Bottom