Sintofahamu ya suala la Lwakatare, je, hili likifanyika Polisi watashikalipi?

huwa sipendi kujishughulisha na kitu nsicho jua me n mwananchi wa kawaida najua kufanya kaz kupata rizki yangu na familia yangu bia ada wanangu mafuta nk..ila lisemwalo lipo wasomi wapo wengi tu tena sana kuliko watu wanavyo dhan.kaz njema

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu hakuna anaye pingana na wewe; ni kweli wasomi wapo, cha kushangaza akili zao zimeshikiliwa magogoni.
 
usichanganye mambo wewe! kuwa na kitengo haimanishi una wataalamu. mbona tunajeshi la polisi lakini walio wengi hata kuandika neno PLATE NUMBER HAWAWEZI? Usikute hata huko IT ndio kwanza wanatafuta watu wa kwenda kusomea sasa.wangekuwa nao wangejua kuwa ile clip ni fake.wamepewa maujuzi kibao hapa JF wameshindwa kufanyia kazi, wanasubiri kwenda kuaibika mahakamani.

Wewe ndiyo mbumbumbu kweli. So ili uwaone polisi wana experts ni hadi waseme ile video ni fake? And what if the video is genuine? Unadhani polisi wote ni vilaza kama wewe?
 
Hakuna mtaaluma wa maana anaweza apply kazi jeshi la polisi tz,hii ni kwa sasa wameruhusu ccm kuwa na kitengo ndani ya jeshi. Mtu ka Mwingulu anawasumbua sana polisi sema yuko na backing ya wakubwa,hata hivyo polisi wenyewe wanatekeleza maagizo ya Nchemba kwa shingo upande ndo maana hawajui ni kwa kosa gani watamshitaki Rwakatare maana video ya Nchemba wanahofu itadhalilisha jeshi!

Acha kudanganya watu, usipende kuropoka bila kuwa na data. Wizara ya mambo ya ndani kuna special recruitment ya wataalam wa IT na kitengo kipo kinafanya kazi.
 
Suala linalohusu video inayomhusisha mkurugenzi wa usala wa CHADEMA, Winfred Lwakatare limezua gumzo kubwa nchini na kwa wengine kuwwacha kwenye hali ya sintofahamu.

Polisi imejiingiza katika suala ambalo sina shaka kuwa litaleta historia ndani ya jeshi hilo (be it positive or Negative). Suala hapa linahusisha matumizi ya technolojia katika kupandikizia watu makosa au teknolojia ilivyofanikisha kukamatwa kwa mtu anayepanga jinai.
Wengi hawaamini kwamba video ile ina uhalisia wowote, wanaamini ni michezo ya kitechnolojia imetumika kutengeneza issue ile.

NINACHOJIULIZA JE, POLISI WATASHIKA LIPI IKIWA WATAALAM WATAINGIZA SAUTI YENYE MAZUNGUMZO TOFAUTI KATIKA CLIP ILE ILE?

UPANDE MWINGINE NI JE, KWA WATETEZI WA LWAKATARE KWA NINI WASI EDIT CLIP ILE ILI KUYAPA NGUVU MADAI YAO NA KUONDOA HALI YA SINTOFAHAMU.
NAWASILISHA.

Video yenyewe hii hapa au kuna nyingine tofauti?

Last edited by a moderator:
Yawezekana kweli ile picha imepandikizwa maneno ili kumsingizia Lwakatare. lakini najiuliza kama leo angekuwa amepandikiziwa NAPE je utetezi ninaouona humu ungekuwa upande wake kama ilivyo kwa Lwakatare?
 
hakika umenielewa.
 
Mimi ni IT professional at the same time ni chadema damu nami nasema wazi bila kupepesa macho ile video ni genuine kabisa la msingi ni wahusika waje watueleze kwamba undani wake ni nini maana tusije poteza imani ya chama
 
Kama wewe ni IT na unasema ile video ni genuine!!,basi labda computer unayotumia na kujifunza ni Typewriter'
 
Unajua nini na nini katika IT, Video editing software iliyotumika ni ipi?, Kuna aina ngapi za Graphics Sofware, Is it possible to edit sound track kwenye video clip?
 
Shida yenu mkiona polisi wanalinda benki, wanakimbiza vibaka mtaani basi mnahisi polisi wote elimu yao na ujuzi wao umeishia hapo. Kwa taarifa yako wana IT expert wanzuri sana. Wana wataalamu wote, software experts, developers, engineer na kila kitu. Kuna watu wanaajiliwa na kuwa trained kama polisi kwa ajili ya kazi hizo.

We Unaju kweli Roles za hizo professionals ulizo mention???
 
immatures....dharau mmeweka mbele....mi nilisema juzi, nasema tena na leo....ingieni katika search engines, like google, bing..and whatever......mutafute record ya clip iliyokuwa maneuvered(tengenezwa) ambayo ina urefu wa dakika zaidi ya 10...ikiinclude, SAUTI, BODY LANGUAGE YA MZUNGUMZAJI, CHAFYA NA KUVUTA VUTA MAFUA, WATU KUPITA NYUMA YAKE NA WENGINE KUMSALIMIA......mtakapoweza kuipata hiyo...au hata kumbukumbu ya kuwepo kwa mtaalam alyeweza kufanya hivyo ndiyo mtaweza kushawishi umma kuwa ile video imechakachuliwa.....unless mnapata hiyo, truth of the matter remains, video ile ni genuine........alaf CHADEMA na watu wake wote, mjifunze kukubali matokeo siyo kila siku mnakataa tu....mbona mmekuwa brain washed namna hiyo....??

Ukivuta subira na kukubali mawazo ya wenzako nini uangalie unaweza ukabadili mawazo.Hata ingekuwa mimi ni yule binti aliyekuwa anatembea kuelekea kwenye ka dirisha,nikasikia maongezi yao lazima ningevutwa na shauku ya kutaka kujua zaidi,lakini hakufanya hivyo.Kwa hiyo inaamaana yalikuwa yanaongelewa siyo hayo yaliyowekwa kwenye clip.Pili aliokuwa anongea nao kwa nini wafichwe?Inamaana alikuwa anakamkutano sasa aliokuwa anaongea nao mbona hawajaomyeshwa?Sauti nyingi zilikuwa zikigongana sana.
 
Yawezekana kweli ile picha imepandikizwa maneno ili kumsingizia Lwakatare. lakini najiuliza kama leo angekuwa amepandikiziwa NAPE je utetezi ninaouona humu ungekuwa upande wake kama ilivyo kwa Lwakatare?

Kwa wale wanopenda haki tungeweza kumtetea bila chenga.Ndio maana nimesisitiza kweney post moja kuwa tuuache UCHADEMA,UCCM na UVYAMA tuweke utaifa na haki za binadamu au mtanzania kwanza.Tutende haki bila kujali mtanzania aliyebamikiwa kesi ni chama,dini,rangi au kabila gani basi.
 
Hivi kuna mtu anaweza kunitajia polisi watatu tu waliopata div I au II kwenye mtihani wa form VI?
 
Wewe ndiyo mbumbumbu kweli. So ili uwaone polisi wana experts ni hadi waseme ile video ni fake? And what if the video is genuine? Unadhani polisi wote ni vilaza kama wewe?

Usijidanganye... 100% ya intake CCP na vyuo vingine vya polisi ni waliopata alama chache kushindwa kuendelea form V au chuo...
 
[immatures....dharau mmeweka mbele....mi nilisema juzi, nasema tena na leo....ingieni katika search engines, like google, bing..and whatever......mutafute record ya clip iliyokuwa maneuvered(tengenezwa) ambayo ina urefu wa dakika zaidi ya 10...ikiinclude, SAUTI, BODY LANGUAGE YA MZUNGUMZAJI, CHAFYA NA KUVUTA VUTA MAFUA, WATU KUPITA NYUMA YAKE NA WENGINE KUMSALIMIA......mtakapoweza kuipata hiyo...au hata kumbukumbu ya kuwepo kwa mtaalam alyeweza kufanya hivyo ndiyo mtaweza kushawishi umma kuwa ile video imechakachuliwa.....unless mnapata hiyo, truth of the matter remains, video ile ni genuine........alaf CHADEMA na watu wake wote, mjifunze kukubali matokeo siyo kila siku mnakataa tu....mbona mmekuwa brain washed namna hiyo....??]
Kitu tunacho pinga hapa ni sauti kutoendana na maneno anayotoa Lwakatare si picha yake na kama ungekuwa na tone la akili usingekubali kuwa mipango kama ile inaweza kufanywa kwenye eneo kama lile kwenye mgahawa/baa
 
[immatures....dharau mmeweka mbele....mi nilisema juzi, nasema tena na leo....ingieni katika search engines, like google, bing..and whatever......mutafute record ya clip iliyokuwa maneuvered(tengenezwa) ambayo ina urefu wa dakika zaidi ya 10...ikiinclude, SAUTI, BODY LANGUAGE YA MZUNGUMZAJI, CHAFYA NA KUVUTA VUTA MAFUA, WATU KUPITA NYUMA YAKE NA WENGINE KUMSALIMIA......mtakapoweza kuipata hiyo...au hata kumbukumbu ya kuwepo kwa mtaalam alyeweza kufanya hivyo ndiyo mtaweza kushawishi umma kuwa ile video imechakachuliwa.....unless mnapata hiyo, truth of the matter remains, video ile ni genuine........alaf CHADEMA na watu wake wote, mjifunze kukubali matokeo siyo kila siku mnakataa tu....mbona mmekuwa brain washed namna hiyo....??]
Kitu tunacho pinga hapa ni sauti kutoendana na maneno anayotoa Lwakatare si picha yake na kama ungekuwa na tone la akili usingekubali kuwa mipango kama ile inaweza kufanywa kwenye eneo kama lile kwenye mgahawa/ba
 
Kama wewe ni IT na unasema ile video ni genuine!!,basi labda computer unayotumia na kujifunza ni Typewriter'
Sijaona point katika quote yako ni kwamba video hii ikiidownload na kuitazama kwa media player nzuri mfano vlc utaelewa mwenyewe if it is edited or not, then kwa swala la editing sidhani kama Bongo tumefikia level hiyo ya teknolojia. Ahsantee
 
Back
Top Bottom