Malezi ya mzazi mmoja Mungu atusaidie sana kama mi ninao 3 baba yao ashatangulia mbele ya haki. Kuna wakati inaniumiza sana ingawa kabla yakufariki tushakuwa tumetengana. Tukubali tukatae nikujidanhanya na kuonyesha tu majasiri ila mambo ni magumu
i like ua enthusiasm and dare i like itasante nyumba kubwa, watu wachache sana wataweza elewa kwann nilifikia maamuzi haya but it was for the best & i don't need to explain to anyone my reasons for doing so. Naelewa fika kwamba ipo siku kijana wangu atataka kujua ukweli kuhusu babake & i pray that when that time comes i will have the courage to explain to him & hopefully atanielewa.
haya maswala ya single mums ad dadys kwa watu wenye kuona mbali huwa hawayazungumzii kuna factor nying na scenario tofauti sana zinazosababisha jamani kuna mateso mengi kwenye huu ulimwengu.mimi nawiwa kusema tu kwamba na Kongosho unisikie baba /mama ambaye hataki kumtunza mwanae kwa hata ushauri hata kumtakia hali anaishije anaishi wapi anakula nini hiyo haki ya msingi mnayoipigania eti ana haki yakuongea nakukutana na baba/mama yake kwangu haipo kabisa watakutana huko mbele ya safari mungu akipenda wakutane ila sio kwa gharama zangu hata sent 1 mtoto amtafute kwa his/her own risk sintaendekeza ujinga huo alwaz hata yuko hai naasume alishakufa long time.kuna watu waajabu ndugu zangu msitake kujua.
Husninyo, kuna dada nimemsoma hapa nikamwelewa kuwa alikusudia kuwa single mother na mara baada ya kujauzito tu akamficha mzazi mwenziwe na kukata mawasikiano naye.
Ukweli ni kuwa simuelewi huyo dada, nadhani atakuwa alipata shida wakati anakua [grow] ama kuanzia kwa wazazi wake, au kuna ndugu zake walipata shida kwenye mahusiano yao ya kiunyumba yaliyosababishwa na waume zao.
Nasikitika amemnyima mtoto wake haki ya msingi sana: kumjua na kulelewa na baba yake. Matokeo ya hili hambo, kama mtoto hana akili nzuri, au neema ya Mungu haijaingilia kati maisha yake, mama yake asiji kushangaa mtoto wake hayuko normal, hata kukosa hisia za kimapenzi kwa opposite sex, na moja kati ya matokeo yake anaweza kuangukia kwenye mapenzi ya jinsia moja [God forbid].
Vv
kama huyo mama/baba amekufa au hajulikani kabisa is ua statements still valid????think outside the boxUbinafsi....
Dhuluma...ni kinyume na haki za binadamu....
Huyu mtoto will never be at peace maisha yake yote....hata akiweza kufanikiwa kimaisha....atabaki na pengo ulilomwekea kwa makusudi....
Kongosho umemaliza....
Malezi sio uwezo wa kiuchumi pekee....
aisee Kongosho kuna maisha ambayo nakuhakikishia kama hujapitia huwezi yaelewa kama hili la baba/mama aliyemkataa mtoto kumwona mwanae nakushauri yaache tu hao mambo unatia watu hasira bure hii dunia haijai kwenye kiganja huyo baba/mama unaemtetea unakuta ahitaji wala kumwona huyo mtoto hiyo haki unayoizungumzia sio formal ndugu yangu.Anyway, kila mtu ana maamuzi yake, lakini ulitakiwa kuwashirikisha baba na mtoto pia nao wapime kama kufahamiana kwao kutawadhuru, ni haki ya msingi ya binadamu. Kumbuka hakuna mtu anaweza kujipa mimba mwenyewe, kama huwezi hili then why hili jingine unadhani unaweza?
Cheers!
haya maswala ya single mums ad dadys kwa watu wenye kuona mbali huwa hawayazungumzii kuna factor nying na scenario tofauti sana zinazosababisha jamani kuna mateso mengi kwenye huu ulimwengu.mimi nawiwa kusema tu kwamba na Kongosho unisikie baba /mama ambaye hataki kumtunza mwanae kwa hata ushauri hata kumtakia hali anaishije anaishi wapi anakula nini hiyo haki ya msingi mnayoipigania eti ana haki yakuongea nakukutana na baba/mama yake kwangu haipo kabisa watakutana huko mbele ya safari mungu akipenda wakutane ila sio kwa gharama zangu hata sent 1 mtoto amtafute kwa his/her own risk sintaendekeza ujinga huo alwaz hata yuko hai naasume alishakufa long time.kuna watu waajabu ndugu zangu msitake kujua.
kama huyo mama/baba amekufa au hajulikani kabisa is ua statements still valid????think outside the box
hawa watu waache tu wanafikiri dunia ni kijijini kwao tu hawa ,alafu mtu katika maisha yake hajakutana na maswahiba haya au hajadangwanywa aliwin huyo huyo mwanaume na akamuoa hawezi jua mambo hayami naona tuwaache watu wafanye wanayoona ni sawa maana kitu kisipokuwa sawa kwa wote hakiachi kuwa sawa. Hizi habari za haki haki wakati mwingine hazina maana. Watu wengi hapa wameonyesha walijaribu kutekeleza huo wajibu wa kuwataarifu wazazi wenzao juu ya watoto lakini walichoambulia ni maumivu tu. Baba hataki kumtambua mtoto lakini mama bado anang'ang'ana kumtambulisha japo kwa ndugu wa baba. Haki ya mtoto kufahamu mzazi. Nilishawahi kutoa mfano wa ukweli hapa juu ya binti aliyeamua kumtafuta babaye ukubwani baada ya kufichwa na mamake. Yaliyomkuta yule binti hatakaa asahau. Aliponea kubakwa na babake siku ya kwanza tu waliyoonana. Inawezekana kabisa mama alijua amezaa na kichaa wa ngono - si ajabu naye alibakwa. Hatujui yanayoendelea kwenye vichwa vya watu, ikiwezekana tuwaache tu. Halafu unavyodai ni haki ya mtoto kufahamu wazazi wake mbona kule juu ulimponda mama anayedai haki ya matunzo ya mtoto mpaka mahakamani kwa kusema malezi si material tu??? Kwa hiyo mzazi wa kiume ana haki ya kumjua mwanae ila ana uchaguzi wa kulea au kuacha?
msiifikirie dunia kama kiganja cha mkono wako au kijiji au mtaa tu unaoishi unaweza jua taarifa ya kila nyumba na kinachoendelea kuna mambo mengi sana.sitaki kusema hapa lolote maana itssasa nivea hutaki kuelewa ama??
Nimesema mtoto hatakua na amani..yes! Kama amekufa au vyovyote, basi inakua wajibu wa mzazi aliyekuwepo ama mlezi kumjulisha mtoto fate ya mzazi/wazazi wake....ila sio kumficha.
Statement yangu ilikua inazungumzia mtoto alinyimwa haki na kumjua baba yake!!
mtu mwenye wembe mkononi anajua akifanyaje unamkata ila ambaye hajawahi shika hata wembe atakuambia ni haki mama kumpeleka mtoto amjue baba yake ,wanawake tumefanya kama hatuna mioyo inayoumia vile huyo mwanaume labda kakuacha na mtoto ,kakataa mimba umezaa umemsogeza mtoto kwa tabu zote yeye kaja kuoa tena ana ndoa yake na furaha tele wewe unakwenda na katoto kako pale kujikombeleza atakuambia unamharibia ndoa yake,yule mtoto akiwaona wenzie na baba na mama ataumia zaidi bora akae na mama yake ajue mbele ya safari unampeleka kumwona anasema nashukuru bassii hamtunzi wala nini .yaani watu wengine bwana wanawaona wanaume kama mungu wa duniani vile while kwangu ni heri hawana thamani yyte bora mkono wangu wa kushoto nnaotumia kuchambiai concur with you madam nivea....
Kwangu Mimi ilikuwa bahati mbaya na nilipomtaarifu mhusika alikana. Baadaye alikubali lakini kila nilipotaka kujua jinsi tutakavyojipanga kumlea mwanetu mtarajiwa akawa anakwepa. It really broke my heart since sikuwa nafahamu chochote kuhusu yeye na hata home walikuja kujua nikiwa nimetimiza miez 6. Aisee I went through a lot mpaka najifungua. Hakuwa mtu wa kupiga simu kujua tunaendeleaje na hela ya matumizi mpaka atakapojisikia yeye. Mtoto alikuja kumuona akiwa na mwaka na miezi 6 tena baada ya kusogea karibu....changamoto ni nyingi lakini kubwa kwangu ni pale napoulizwa " mama baba yuko wapi? " au anapochukua simu na kujifanya kama vile anaongea na baba yake akiomba aletewe soseji, pipi, matunda n.k. Huwa naumia sana natamani he was there for her. Sijui kama niko sahihi but nimepanga kwenda nyumbani kwao (baba) at least mtoto awatambue ndugu zake pia kufight 4 the last time mwanangu apate mapenzi ya baba na mama, na kama itashindikana will move on with my life
Speaking with so much pain as if it's a grief. Mwisho wa siku maisha yanasonga. Nadhani kama mtu unakuwa na kisirani hivyo, hata mtoto hatakuwa na raha, japo utajitahidi kumlea kwa nguvu zote...! Tusamehe kwa sababu wote tumekosea...!mtu mwenye wembe mkononi anajua akifanyaje unamkata ila ambaye hajawahi shika hata wembe atakuambia ni haki mama kumpeleka mtoto amjue baba yake ,wanawake tumefanya kama hatuna mioyo inayoumia vile huyo mwanaume labda kakuacha na mtoto ,kakataa mimba umezaa umemsogeza mtoto kwa tabu zote yeye kaja kuoa tena ana ndoa yake na furaha tele wewe unakwenda na katoto kako pale kujikombeleza atakuambia unamharibia ndoa yake,yule mtoto akiwaona wenzie na baba na mama ataumia zaidi bora akae na mama yake ajue mbele ya safari unampeleka kumwona anasema nashukuru bassii hamtunzi wala nini .yaani watu wengine bwana wanawaona wanaume kama mungu wa duniani vile while kwangu ni heri hawana thamani yyte bora mkono wangu wa kushoto nnaotumia kuchambia
Wabongo wanavyojua kukataa mimba .halaf baadae mtoto akikua anajileta anataka mtoto minakutoa mbio na sururu
mtu mwenye wembe mkononi anajua akifanyaje unamkata ila ambaye hajawahi shika hata wembe atakuambia ni haki mama kumpeleka mtoto amjue baba yake ,wanawake tumefanya kama hatuna mioyo inayoumia vile huyo mwanaume labda kakuacha na mtoto ,kakataa mimba umezaa umemsogeza mtoto kwa tabu zote yeye kaja kuoa tena ana ndoa yake na furaha tele wewe unakwenda na katoto kako pale kujikombeleza atakuambia unamharibia ndoa yake,yule mtoto akiwaona wenzie na baba na mama ataumia zaidi bora akae na mama yake ajue mbele ya safari unampeleka kumwona anasema nashukuru bassii hamtunzi wala nini .yaani watu wengine bwana wanawaona wanaume kama mungu wa duniani vile while kwangu ni heri hawana thamani yyte bora mkono wangu wa kushoto nnaotumia kuchambia
Dah.wanaume achana nao kabisa.
aisee Kongosho kuna maisha ambayo nakuhakikishia kama hujapitia huwezi yaelewa kama hili la baba/mama aliyemkataa mtoto kumwona mwanae nakushauri yaache tu hao mambo unatia watu hasira bure hii dunia haijai kwenye kiganja huyo baba/mama unaemtetea unakuta ahitaji wala kumwona huyo mtoto hiyo haki unayoizungumzia sio formal ndugu yangu.