Single mums and dads come this way

Single mums and dads come this way

Mi ninamfano wa ndugu yangu alikua na boyfriend .yule mwanaume alikuja na mbwembwe na kujitambulisha kwetu tukamfaham ..mwisho wa siku tukaja kugundua kumbe ana mke na wakat huo tayar ndugu yangu ni mjamzito..ndugu yangu alikua na biashara zake kumbe yeye na mkewe lao moja nia na madhumuni kumchuna mwenzao ..tulivyogundua tukamwambia ndugu yetu akafanya uchunguz akagundua ni kweli anamke sasa nashangaa huyo mwanamke sijui alikua na akili gani kumwacha mumewe aishi na mwanamke mwingine..baada ya ndugu kushtuka aliumia sana akaamua kuachana na yule mwanaume ..mwisho wake wakaishia kumchafua kwenye mitandao na kumtukana na kujigamba ..sasa mtu kama huyu unaanzaje kumpeleka mwanao ukamwambia huyu ndo babaako??? Utakua chizi kama si kichaa
 
Yani mi mwanaume ninaemuamini ni babaangu mzazi tu ndo najua hawezi kuniongopea..lakin waliobaki wote viazi kama si mihogo
 
Watu wanafanya sweeping conclusions hata kwa cases ambazo ni unique...

Hasira tena? Emotions zikiwa ON, reasoning inakuwa OFF.

Experience zetu mbaya za maisha tusiwarithishe watoto wetu. You had time to write your story, let your kids write their own stories too.

Narudia, hakuna mwenye haki ya kumzuia mtoto kufahamu mzazi wake wa asili, awe mama ama baba.

Ni wapi nimetetea mzazi kukataa kulea mwanae?
Na mtu atatunzaje mtoto wakati hajui existance yake?
 
Mhhh, natamani kukwambia kitu, ila basi tu naona kama umeumia sana. Nitasema siku nyingine ukiwa calm, ambapo we can reason together.

Ila hii post yako imesema mengi.

hawa watu waache tu wanafikiri dunia ni kijijini kwao tu hawa ,alafu mtu katika maisha yake hajakutana na maswahiba haya au hajadangwanywa aliwin huyo huyo mwanaume na akamuoa hawezi jua mambo haya
 
Nivea aliandika Kongosho ni tofauti na unachosema. Kilichongumzwa na baba kunyima haki ya kujua kama ana mtoto.....angeambiwa kisha akakataa majukumu ni ishu nyingine!!!!

Wengi unakuta wapo na waume za watu mwisho wa siku hata kama umeamua kumzalia jua anakwake hata kuhudumia kama enzi za uzinifu
 
Last edited by a moderator:
mtu mwenye wembe mkononi anajua akifanyaje unamkata ila ambaye hajawahi shika hata wembe atakuambia ni haki mama kumpeleka mtoto amjue baba yake ,wanawake tumefanya kama hatuna mioyo inayoumia vile huyo mwanaume labda kakuacha na mtoto ,kakataa mimba umezaa umemsogeza mtoto kwa tabu zote yeye kaja kuoa tena ana ndoa yake na furaha tele wewe unakwenda na katoto kako pale kujikombeleza atakuambia unamharibia ndoa yake,yule mtoto akiwaona wenzie na baba na mama ataumia zaidi bora akae na mama yake ajue mbele ya safari unampeleka kumwona anasema nashukuru bassii hamtunzi wala nini .yaani watu wengine bwana wanawaona wanaume kama mungu wa duniani vile while kwangu ni heri hawana thamani yyte bora mkono wangu wa kushoto nnaotumia kuchambia

Mungu alipo sema tusidikaribie zinaa hakika zinaa ni uchafu mbaya aliyafaham haya. Yote haya ni matokeo ya zinaa
 
Mhu jamani aliyeandaa hii mada nampa pongezi kwani imenigusa sana na imenifariji na kuona cko peke yangu ktk hili tatizo.ila cha kushangaza jamani baba wa mtoto amenitelekeza na anakula goodtime maisha yanamyiokea mie nilieachiwa mtoto nasaga lami mpaka naona dunia chungu.
 
Pole dear. Jua hauko peke yako. Na usijisikie vibaya hata siku moja. Matunda yake ya kulea mwenyewe yako njiani dear . Jipe moyo Mungu atakushindia ,mpendwa . thanks!
 
Yani mi mwanaume ninaemuamini ni babaangu mzazi tu ndo najua hawezi kuniongopea..lakin waliobaki wote viazi kama si mihogo

Shosti umenikoshaa Aaaaaaaaaaaaaaaaaa eti viazi kama si mihogo Aaaaahhhhaaaaaaa. Nimependa comment yako dear. Thanks.
 
Kama wewe ni single mum/dad, aidha ulitendwa ulibebeshwa ujauzito usioutarajia ukaachwa au ulipenda kujizalia au uliletewa mtoto ukatupiwa hapo na mamaake kuenda kusikojulikana.

Uliolewa/ulioa ukaachika au kuachwa na kubebeshwa jukumu la ulezi au ni mjane/mgane umefiliwa na mumeo/mkeo.

Karibu hapa tujadiliane kuhusu changamoto za kuwa mzazi wa pekee kwako wewe kama mlezi na kwa mtoto.

  1. Kwanza Maswahibu yepi yalikukuta mpaka ukawa single mum/dad
  2. Una plan gani za maisha ya baadae?
  3. Mtoto wako analichukuliaje suala la kukosa father figure/mother figure katika makuzi yake?na unafanya jitihada gani kulisawazisha hilo?
  4. Usingle mum/dad umeaffect vipi maisha yako?
  5. Ungepewa nafasi ya kuchagua upya mkondo wa maisha yako ungechagua mkondo upi?

Karibuni

Jamani wanawake tena pitia na kuvumilia mengi eehee Mungu atusaidie. Naomba niwape hongera single/ widow mothers wote mlio hapa jamvini na Poleni sana kwa mliyopitia na mnayopitia kila siku za maisha yenu . Asikudanganye MTU Hakuna kazi ngumu kama ya kulea wapendwa. Mungu awape hekima, busara,utulivu, nguvu, uhai,na upendo ili tuweze kuwalea watoto wetu vyema. Nataka niwatie moyo wapendwa kuwa msife moyo katika safari hii na uelewe soon matunda tutayaona . Kumbuka kila wakati watoto wetu tunaowalea ni taifa la kesho kuna wengine tunalea Pastors, Prophets, Presidents, Lawyers, Doctors, Pilots, Imams and etc so tusife moyo wapendwa . Naomba tuchukue Muda Wa kuwaombea sana watoto wetu ili shetani asije ingia kati yao na kuvunja dreams zao God forbid, na wawe vichwa na sio mikia . Hongereni sana , sana na Mungu atutie nguvu Jamani katika safari hii iliyo na milima na mabonde . Asante.
 
kuna wengne wapo kwenye ndoa lkn mume hamsaidii chochote bora hata uwe cngle mom uelewe moja.
 
kuna wengne wapo kwenye ndoa lkn mume hamsaidii chochote bora hata uwe cngle mom uelewe moja.

Ni Kweli halafu inaumaga Kweli kwa sababu una watoto wadogo halafu na Mtoto MTU mzima, kerooooo na ndio maana nina Sema wanawake tunabeba mengii . Asante.
 
kila mtu ana dukuduku lake, polen wamama na wababa wote mlia wa pekwe kwa kuachwa, kuacha kutoka na matatizo mbalimbali na au kufiwa. pia nami niliamua kukubali kuachwa kwani mwishoe ningeshindwa kulea hata watoto. mm ni mwanaume ninapoona wanaume wanawaacha wanawake wenye nia njema na maisha yao nakuwafuata wasio hata na dira labda ni maandiko. mwanamke ndo muhimili wa ujenz wa familia bora. mm ilikuwa lazima nikubali kuachana kwani mwanaume wa nje alinizi nguvu japo kipato nilikuwa namzidi. akamziba masikio mke wangu, mpango ninayopanga nae inapata kikao upya huenda ikagomewa au kukubalika kwenye kikao cha 2.. hivyo ratiba zangu nyingi zilikwama bila mm kujua chanzo. kutoka na mm kuwa binadamu pia nikawa mkorofi ndipo akapata ticketi ya kuondoka 2010. na kuniachia watoto 2. kwa sasa yule mwanaume kwel kamuoa na wana mtoto 1, mm nawatafutia maisha wanangu japo kiukweli mtu kuishi peke yako kwa umri nilionao kuna changamoto yake. polena sana wote mliopitia magumu msaada wa pekee ni Mungu mwenyewe.
 
Huna busara ww, akina baba kibao wanasex na watoto wao
Yani mi mwanaume ninaemuamini ni babaangu mzazi tu ndo najua hawezi kuniongopea..lakin waliobaki wote viazi kama si mihogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom