Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,229
Ni maisha gani yasiyo na changamoto?
Kuna taasisi yenye changamoto kama ya ndoa? Changamoto huwa zinaisha pale tu unapongia kaburini, vinginevyo lazima ziwepo. Hii ya kujiita single parent ni kujivictimise mwenyewe na kuona ulionewa na dunia, akchwali ni kuji abyuzi kisaikolojia inayopelekea self pity.
Hata walio single nao wana changamoto zao, why hawa wenye watoto bila wenza wasiwe na changamoto? That's nature, ndio maisha yenyewe.

Kongosho, ume experience kulea mtoto /watoto bila baba yao? Wajua kitanda usichokilalia.......!
Sidhani kama ni kazi rahisi, ina changamoto nyingi sana madhani. Sijui wewe mwenzangu unalionaje..!