Single mums and dads come this way

Single mums and dads come this way

Oooops hatimaye nimemaliza kusoma , nimejifunza mambo mengi sana humu.....
1. Kwamba single parents wanauwezo mzuri tu wa kulea watoto wao.
2. Lakini pia wametawaliwa na emotions, bitterness na hasira kwa mwenzi wao.
3. Namba 2 huwapelekea wakipata changamoto za kawaida za kimalezi kuwashushukia wazazi wenza.
4. Watoto nao kuonekana kuathirika kisaikolojia kulingana na malezi waliyopata kwa mzazi mmoja against mzazi mwingine.
5. Jamii nayo huonesha kuwachukulia tofauti single parents na kuathiri malezi na mahusiano.

Muhimu; umeamua kuwa single parent kiukweli ni kwamba unauwezo wa kusurvive cha muhimu punguza machungu yaliyopo moyoni mwenu na songesheni maisha.
 
Hii mada ni nzuri sana sana sana....na ni ya kujenga haswaaa. Lakini humu MMU kuna pepo la kudharau na kukashifu single mums,walioachika na wale waliozaa kabla ya ndoa. Mtu anaweza akaelezea challengez na masahibu yanayompata litakuja jitu linamwambia 'ndo mkome kuvuavua ovyo'. Imagine mtu umepitia mateso na challenge kibao katika kuzaa hadi kulea mtoto na pengine hiyo mimba ulipata kwa mtu ambaye wewe ulimheshimu,ulimpenda, ukajiachia kwake ukidhani ndiye baba watoto wako af mtu anakuja na kauli kama hiyo utajisikiaje? Na huenda hata ulilazimishwa sex na mtu uliyekuwa unamwamini au ulibakwa na bahati mbaya ukashika mimba....kauli za kijinga kama hizi utazivumilia? Huwa naumia sana ninapoona mwanamke mwenzangu anadharaulika kwa kosa ambalo mwanaume pia amechangia.....naumia kwa sababu najua challenge za mahusiano, najua situations ambazo wadada wanakutana nazo katika mahusiano yao, na mbaya zaidi wanaotoa lugha za kashfa kama hizo utaona ndo mabingwa huko mtaani kwa kulazimisha ngono zisizo salama kwa wapenzi wao.

word........................................
 
Wewe si umeniomba nije kumchukua mwanangu?!! Sasa unauliza nini tena?
Wapi nimekuomba uje kumchukua mwanao.???? Alafu kwani nimezaa na wewe mpaka nikuombe uje kumchukua mwanao???? Mwanao yupi labda???? Unanijua?? Mbona unajishuku sana?? Inaelekea umetelekeza mtoto wako somewhere now u are dying with guilty. naomba usinichefue wewe baba.....
 
Niko responsible na ninachoandika, sio mtu anachoamua kuelewa.

Mtu hujiumiza mwenyewe kwa kujihisi tu.

Hongera kwa uchaguzi mzuri wa maneno, kama koko bichi, una komunikesheni skills za hali ya juu.

Haimaanishi kwasababu its anyonymous basi you can behave like a rackless bitch,there is someone behind the screen that you are delivering your msg to.
Una lack communication skills mkuu lazima ujue jinsi ya kudeliver message kwa mtu kama kweli unataka kusikilizwa,hata kama unamcritisize kuna jinsi ya kumwambia mtu na asijisikie vibaya!Na lazima ujue huo ujumbe unaopeleka una uzito gani na utamuathiri vipi mtu na ndio maana tukapewa emotions,sympathy and empathy.
 
Mmmhhh...isije kuwa amezaa na baba yake...
Si unajua kuna wababa wanabaka au kulaghai mabinti zao...
Otherwise why????

yule mama before her death kashawahi kumuelekeza yule mkaka gongo la mboto kwa mzee fulani akamwambia huyo anamjua baba yako
kweli akaenda akamuambia njoo siku flani nikupeleke
wakaelewana
unfortunately kabla hawajapelekana mama akaumwa na akamwambia mwanawe asimtafute tena ht akitokea amekufa
 
Asante, too much bitterness and self pity, utadhani wao ndo wa kwanza.

Nashangaa kwa baadhi kuona ni 'ushujaa', wakati hakuna maisha yasiyo na chantamoto.

Oooops hatimaye nimemaliza kusoma , nimejifunza mambo mengi sana humu.....
1. Kwamba single parents wanauwezo mzuri tu wa kulea watoto wao.
2. Lakini pia wametawaliwa na emotions, bitterness na hasira kwa mwenzi wao.
3. Namba 2 huwapelekea wakipata changamoto za kawaida za kimalezi kuwashushukia wazazi wenza.
4. Watoto nao kuonekana kuathirika kisaikolojia kulingana na malezi waliyopata kwa mzazi mmoja against mzazi mwingine.
5. Jamii nayo huonesha kuwachukulia tofauti single parents na kuathiri malezi na mahusiano.

Muhimu; umeamua kuwa single parent kiukweli ni kwamba unauwezo wa kusurvive cha muhimu punguza machungu yaliyopo moyoni mwenu na songesheni maisha.
 
Hata mie nashangaa. Kila siku hapa MMU tuna argue kuwa mimba/mtoto si sababu tosha ya kuoana na mtu.

Kwa hali hiyo unapofanya ngono bila ndoa ujue uzazi unaweza kukuhusu. Ndio nakubali, wanaume pia wanatakiwa kuwajibika, ila hata wanaokataa wapo.

Kwa hali hii mtu anatakiwa awe amejiandaa kwa lolote, kunguru nwoga hukimbiza ubawa wake.

Mie nachokataa ni maumivu ya wazazi kuhamishiwa kwa watoto. Nakataa mzazi kujiona kadhulumiwa/kaonewa, sijui na nani. Ndo maana nitakwelewa yule aliyebakwa. Hata mjane ninamhurumia kwa kuondokewa mwenza, sio kulea wanae.

Maisha hayakosi changamoto.

Kuna wengine ni kweli inabidi wahurumiwe sana ila kuna baadhi unakuta chupi wanavua wenyewe, na wanajua kabisa wanaweza kupata mimba, huyo mwanaume mwenyewe hawajaongea lolote kuhusu uwezekano wa mimba na nini kinafuata, wanapigwa mimba wanatoswa halafu wanalialia wahurumiwe. Mbaya zaidi hawataki kukubali kuwa hata wao wana makosa. Mimi nimewauliza kwenye moja ya comment zangu, unamwamini mwanaume umezaliwa naye?!! Kingine kumbukeni hata kama wanaume pia wana makosa lakini anayebeba mimba ni mwanamke. Sasa endeleeni kuhurumiana na hizi "I am proud" kinda of statements.
 
Kutaka sana ukubalike na jamii unayoishi.ni dalili ya kuwa hujikubali, ukijikubali hutajali wengine wamekuweka kundi gani.

Ukiyakubali maisha yako, hutataka kuhamishia uchungu wako kwa mwingine. Mama kutomwonyesha mwanaye babake ni kuvunja haki za mtoto. Ni mama?Ndio, lini yeye si Mungu wa kuamulia baba na mtoto wakutane lini

Ni hayo tu.

na ndo unakuta mtu anadai single mom anajinyanyapaa na anamfananisha na gay anayepaza sauti yake apewe uhuru wake na straights wanaojiona wana haki zaidi. Anadai gay anajinyanyapaa wakati akijikubali anatungiwa sheria ili anyongwe au afungwe. Objectivity in deed!!
 
Wapi nimekuomba uje kumchukua mwanao.???? Alafu kwani nimezaa na wewe mpaka nikuombe uje kumchukua mwanao???? Mwanao yupi labda???? Unanijua?? Mbona unajishuku sana?? Inaelekea umetelekeza mtoto wako somewhere now u are dying with guilty. naomba usinichefue wewe baba.....
Ukweli unauma ujue. Mwanangu umlee vizuri, siku nikija kumchukua nimkute akiwa vizuri.

Wewe si unajua kushabikia sana? Sasa utakula jeuri yako.
 
Usimfundishe mwanao kumuita Baba yake fisi Maji, no matter how frustrated you are kwa aliyokutendea. Mfundishe kumpenda kila mtu, kuheshimu hata huyo Baba kwa kuwa hatapungukiwa na kitu.

Sijawahi kumfundisha hivyo mwanangu kwanza hakuna mtu anaongelea habari za huyo mbaba si mimi wala mwanangu,nashukuru huyo baba ni mkristu lakini mwanangu nimemlea kiislam kwahiyo naona ni bonge la zawadi nikitangulia kufa atanizika.
 
Niko responsible na ninachoandika, sio mtu anachoamua kuelewa.

Mtu hujiumiza mwenyewe kwa kujihisi tu.

Hongera kwa uchaguzi mzuri wa maneno, kama koko bichi, una komunikesheni skills za hali ya juu.

Kongosho nakusifu kwa uelewa na kutoruhusu emotions kwenye mjadala pamoja na matusi kutoka kwa baadhi ya wasiotaka kuuona ukweli upande wa pili. KUDOS
 
Hata mie nashangaa. Kila siku hapa MMU tuna argue kuwa mimba/mtoto si sababu tosha ya kuoana na mtu.

Kwa hali hiyo unapofanya ngono bila ndoa ujue uzazi unaweza kukuhusu. Ndio nakubali, wanaume pia wanatakiwa kuwajibika, ila hata wanaokataa wapo.

Kwa hali hii mtu anatakiwa awe amejiandaa kwa lolote, kunguru nwoga hukimbiza ubawa wake.

Mie nachokataa ni maumivu ya wazazi kuhamishiwa kwa watoto. Nakataa mzazi kujiona kadhulumiwa/kaonewa, sijui na nani. Ndo maana nitakwelewa yule aliyebakwa. Hata mjane ninamhurumia kwa kuondokewa mwenza, sio kulea wanae.

Maisha hayakosi changamoto.

umeongea point nzur sana. Hata mm nmeliona hilo watu walio wengi wanaelekeza lawama na chuki kwa mzazi mmoja ambaye n mwanaume.

Nmesoma commet ya mdau mmoja kafikia hadi hatua ya kumsema baba yake kiaz, lakn yote hayo ni kutokana na hasira zilizopandikizwa kwa upande mmoja.

Mm ningeomba watu hasa waliolelewa na mzaz mmoja wasifikie hatu ya kuwa na chuki na hasira sana, badala yake wajaribu kuvuta picha kutoka kwenye jamii hii tuliyo nayo.

Watambue kuwa kero na changamoto kama za kubambikiwa mimba, kutegeshwa mimba kwa lengo la kupata ndoa, kutopata mimba huku wakiwa kwenye mahusiano ya mwanaume zaidi ya mmoja hayo ni miongon mwa mambo yanayochangia akina mama kukimbiwa.

Tatzo wanapata malalamiko toka kwa mama tu lakn hata kama ingetokea nafas naye baba akajieleza kuwa kwann alimkataa nadhan pasingekuwa na hasira sana.

Hayo mambo wakat mwingne akina mama ndio huwa chanzo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom