devota vijance
Member
- Sep 5, 2014
- 33
- 49
natamani nikwambie kitu lakini hutanielewa. utajifunza huko huko mbele kwenye jitihada zako na Mungu akutie nguvu.
Perhaps I can get something from you....tell me pls
natamani nikwambie kitu lakini hutanielewa. utajifunza huko huko mbele kwenye jitihada zako na Mungu akutie nguvu.
Mi nikimkumbuka aliyenipa mimba natamani nimtaje jina hapa sasa hivi halafu ndo nieleze ushenzi wake.
nape nnauye
Perhaps I can get something from you....tell me pls
Mkuu Eli79 hata nikisema won't help... 12yrs nshalia, nshaumia na sasa meamua kunyamaza tu....
Nishaomba ushauri jukwaa la Sheria lakini wapi haikusaidia, yote waliyokuwa wananishauri yalikuwa yana base kum favor baba wa mtoto...
Kwangu Mimi ilikuwa bahati mbaya na nilipomtaarifu mhusika alikana. Baadaye alikubali lakini kila nilipotaka kujua jinsi tutakavyojipanga kumlea mwanetu mtarajiwa akawa anakwepa. It really broke my heart since sikuwa nafahamu chochote kuhusu yeye na hata home walikuja kujua nikiwa nimetimiza miez 6. Aisee I went through a lot mpaka najifungua. Hakuwa mtu wa kupiga simu kujua tunaendeleaje na hela ya matumizi mpaka atakapojisikia yeye. Mtoto alikuja kumuona akiwa na mwaka na miezi 6 tena baada ya kusogea karibu....changamoto ni nyingi lakini kubwa kwangu ni pale napoulizwa " mama baba yuko wapi? " au anapochukua simu na kujifanya kama vile anaongea na baba yake akiomba aletewe soseji, pipi, matunda n.k. Huwa naumia sana natamani he was there for her. Sijui kama niko sahihi but nimepanga kwenda nyumbani kwao (baba) at least mtoto awatambue ndugu zake pia kufight 4 the last time mwanangu apate mapenzi ya baba na mama, na kama itashindikana will move on with my life
aisee niliexperience hiyo situation before inaumiza ila baadae unajipa moyo ntashinda mbona fulani aliweza why not me!
so ilivyokuja ndoa MUNGU alipanga tayari nimejifunza kupenda na nimeweza
sijutii kuzaa kabla ya ndoa maana yule mtu mpaka sasa anajuta na anatamani niachike anioe hata leo
thnx to my family mwanangu alivyofika two years walimchukua wakakaa nae home but now nipo nae mwenyewe
yote yanawezekana ila mhimu usikate tamaa
Hahahahaaa!!! Una utani wa ngumi ww, loh! (no offense taken). Sababu zangu zilikua za msingi sana & they are still valid,usione watu tunacheka na kuongea humu, some of us have been through hell & back but we still manage to smile, pick ourselves up & live life like there's no tomorrow!
Miss Kim, sababu za kutomshirikisha mzazi mwenzio zaweza kuwa na mantiki sana kwako, lakini zisiwe na mantiki yeyote kwa mtoto na babake.
Wewe ni nani hadi uwaamulie muda wa kufahamiana? You are not God, kusema unapanga kila kitu.
Juzi nasoma mambo ya haki za watoto, ni pamoja na kuwafahamu wazazi wake wa asili, hata kama wewe ni mama yake, bado huna haki ya kumfanya mtoto asijuane na baba yake.
Mie naona mna kuza mambo tu, labda kilichowaumiza wengi ni kukosana/tofautiana/poteza na wazazi wenza. Vinginevyo mbona kawaida sana kulea watoto?
Anyway...
Sijutii kuwa single mum;
Unamawazo kama yangu, and I'm so proud to be single monther
Loh, nimejifunza kitu hapa...hivi kumbe kuna wadada wanapenda tu kudate "magangwe" lakini hawapendi watoto wao warithi tabia za baba zao, amini usiamini kama ni wa kurithi atarithi tu. Baba yangu ni mtu mtaratibu sana, lakini kuna tabia moja tu ambayo nimerithi kutoka kwake na inaniangusha kwenye baadhi ya mambo.
Ni nzuri;
Ila sitaki mwanamke yeyote aige maisha yangu kwa kuwa hatayaweza.
nape nnauye