Single mums and dads come this way

Single mums and dads come this way

umenifundisha na umesomeka ila mwenzio ndo hivyo hata kuua mtu sioni shida wala nini yaan afadhali ya jana kuliko ya leo ,wewe unafikiri mtu gaidi kaanza leo huyo alikuwa nayo kutokana na ugaidi alofanyiwa ndo maana ni gaidi,siku zote tambua kuwa namba zote zilianza na 0 kwa hiyo ni ngumu kuifanya namba irudi 0 zaid asante kwa ushaur

mmh! haya mama. Mungu atakupa nguvu.
 
Nandera nakushukuru sana japo nimeisoma post yako too late but imenipongezea upeo na ujasiri wa kupambana na hali niliyonayo ni kweli kabisa kila kitu kinatokea kwa sababu na pengine ipo nuru mbele baada ya kiza kinachotuumiza sasa mshindi atakuwa yule atakayeweza kuvuta subra ili kukuche..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom