Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 696
Ugomvi wenu haumuhusu mtoto! Hapa ndo watu hatuelewi ni haki na ni lazima mtoto ajue na kutambua wazazi wake hata kama ni vichaa, walemavu nk. Tuendelee kuelimishana wanaume wengi kwa ujumla kama michepuko ikileta habari za mimba yaani kuhudumia inakuwa kazi hata kama uwezo upo sijui ni kwa nn?
Mungu alipo sema tusidikaribie zinaa hakika zinaa ni uchafu mbaya aliyafaham haya. Yote haya ni matokeo ya zinaa