Single mums and dads come this way

Kauli kama hiyo nyekundu hapo ni dalili za "inferiority complex". Ni sawa na kauli kama "I am happy to be black". Kwani kuna haja gani ya kuongezea neno black? Kwa nini usiseme "I am happy" peke yake? What does it matter whether you are black,single mum or whatever?
 
Kuwa single mom sio sifa... hata hivyo sidhani kama kuna mtu hupenda itokee hivyo .... wengi hupenda walee watoto wao na baba akiwepo.
Ila likikufika unapatana nalo tu hata kama hulipendi....
Waambie bana maana naona kuna watu washaanza kufanya kama vile ni sifa fulani hivi.
 
Kwa hiyo ulitaka alete stori yake hapa halafu watu wasiijadili??!! Wasiotaka kujadiliwa stori zao wamebaki nazo wenyewe.
 
Labda wewe atakuelewa. She is literally digging her own grave.
 
Sijaona sababu ya wewe kukasirika...
Kulea mtoto hakukupi haki ya kuwa baba yake..

Baba atabaki kuwa baba...mjomba atabaki kuwa mjomba...
Ndio shida ya kulea halafu ukadhani unammiliki unayemlea. Hii ipo hata kwa wazazi, Unakuta mzazi anamwambia mwanaye, hivi nisingekusomesha mimi ungekuwa wapi? Kama vile anampa favor wakati ni wajibu wake!!!!
 
We nani kakwambia hatuheshimu maamuzi yake??!! Hapa tunajadili tu atakachofanya ni uamuzi wake. Kumbuka kuheshimu/kutoheshimu maamuzi na kukubaliana/kutokubaliana nayo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kuna dada namfahamu, aliacha watoto wake wawili sehemu, mmoja akiws 3yrs na mwingine 1yr hadi watoto wakasahau kama Kuna mama. Hadi wapo 23 kwa 21 ndio amewaona. Na believe me...hawataki hata kusukia kuhusu mama Yao. Haya mambo hapo kwa jinsia zote.
Wanaume mara nyingi huwa hatuna tabia ya kulialia ndio maana husikii wanaume wakisema.
 
Sasa wewe umejuaje Miss Kim ana elimu ya kutosha kuamua alichoamua?! Has it occurred to you that may be she is misinformed somehow?
 

jameni eee hawa singo nini nini tukinyamaza kuna watu wanapata muwasho mara hiki mara kile. mtu akinyanyua mdomo na kusema kweli hafurahii hali yake atazodolewa ooh anajitiisha huruma hakuna jipya, ni changamoto kama zingine. akisema kulea peke yake hakumpi shida na anaona fahari utaskia ooo anadanganya.... akijitaja na kusema kwa hakika anachoamini kuhusu yeye utaskia ana inferiority complex. mtu hawezi kusema anaona ufahari kuwa mweusi kama hakuna mtu mweupe aliyeona weusi ni tatizo. kama hakuna kelele mtu hawezi kupayuka ili asikike. kila mtu akimaind mambo yake na kuelewa maisha hayafanani na kizuri kwa asha ni kibaya kwa mwajabu hakuna atakayepayuka. hii habari ya watu wasioishi ulimwengu mmoja kuongelea ulimwengu mwingine kwa uhakika kuliko wanaoishi humo ndo tatizo. mfano mtu anasema kwa hakika mtoto akiwa mkubwa hatamsamehe mzazi wake kwa kumficha sijui nini wakati kuna watu tunakaribia nusu karne hatujawahi hata kuulizia hao watu na wazazi wetu hawajawahi kunena mabaya juu yao, na tunawapenda waliotulea na kuwaenzi kwa kujipinda kutulea.
 
Sasa wewe umejuaje Miss Kim ana elimu ya kutosha kuamua alichoamua?! Has it occurred to you that may be she is misinformed somehow?

nimesoma comments zako ila nafkri zimekosa hekma na busara
watu hujifunza kupitia makosa kuna watu humu hawachangii wanasoma na wanajifunza pia
inaonyesha we ushatelekeza sana watoto hvyo mkuki moyoni
acha hyo tabia people speak their minds here we usihukumu watu
fata wanao uombe msamaha mda bado upo bro
 
swaga za kukamata ndege kiulaini kwi kwi kwi

lolololoooh...hapana si hiyo, haya ni mastory ya jf tu ndugu yangu usifikiri ndiyo kweli eeh, nshajizeekea mimi hata dushe haifanyi kazi tena!
 

msome vizuri huyo miss, HAJATELEKEZEWA MTOTO, amedhulumu mtoto!
 
teh teh teh we endelea kudhani dhani tu. Nilisema kwenye moja ya mabandiko kwenye huu uzi kuwa njooni mmwage povu maana nilijua kuna watu kama wewe. Sasa ukikosea ndio hao uliowavulia nguo wanakuwa madubwana? We kama unaweza kuvulia nguo dubwana unadhani wewe unajiweka kwenye kundi gani??!!! Whom you sleep with is a reflection of who you are for most part.
 
Sasa wewe umejuaje Miss Kim ana elimu ya kutosha kuamua alichoamua?! Has it occurred to you that may be she is misinformed somehow?
Hapo mm sijamuongelea Miss Kim mr Mjasiri naomba usome mada uelewa nimegeneralize!na ndio maana kabla sijaandika hio comment nikasema tunatoka nje ya mada!!
 
Last edited by a moderator:
We nani kakwambia hatuheshimu maamuzi yake??!! Hapa tunajadili tu atakachofanya ni uamuzi wake. Kumbuka kuheshimu/kutoheshimu maamuzi na kukubaliana/kutokubaliana nayo ni vitu viwili tofauti kabisa.

Utasemaje unaheshimu maamuzi yake wakati unakaa na kumhukumu kama mkosaji,maisha yake anayoyafanya ni juu yake.Si kila mtu lazima afikirie kama unavyotaka ww.Mimi binfasi namheshimu Miss Kim kwa kuchukua ujasiri wa kueleza historia ya maisha yake hata kama haiwapendezi wote haimaanishi ndo tumdhihaki wala tumpinpoint.Ndo maana watanzania hatuendelei sisi kwasababu hatupo wawazi na ole wake mtu awe muwazi matokeo ndo kama haya!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…