LifeHacher una matatizo binafsi huyo mrangi mwenzangu tu,nimesema ye mpelelezi bwana.
unawasiliana na mzee wa abdul
LifeHacher una matatizo binafsi huyo mrangi mwenzangu tu,nimesema ye mpelelezi bwana.
mkuu hatuishi kwa kukariri na huwa binadamu tunatumia vichwa vyetu kufikiri sio kufugia nywele tuu kama wewe unavyofanya
nimeandika hiyo post kwakuwa nimeguswa na koment ya dada yangu aliyekanwa na mume (sitakagi kuliongelea hilo )
binadamu walinielewa (eli 79. zamda .Nandera. and e.t.c) lakini
mbuzi ndio wanaotaka nirudierudie hapa
kwanza nikuonye put my mama out of this she is a genius of her own kind ni msomi ni mrembo na ni mrembo kwelikweli sikui alitoka wapi na yule taira (wanasemaga ndege mjanja ananasa tundu bovu) na amenilelea vizuri kuliko hata ulivyolelewa wewe trust me
mama yangu hajawai kuniambia lolote kuhusu huyu kiazi boya mbuzi kende pi.mbi big fat a.s.s becoz I ddnt show any interest naye wala sijawai kumuulizia na wala sitaki kuuliza mimi ni mtu mzima hata kama walikuwa na ugomvi wao hasira yake ndio anihamishie mimi???????
Tunapiga stori nyingi sana za utotoni nilivyokuwa mtundu n.k hata nilivyoanza kutongoza videmu alikuwa ananishauri vizuri tu bila aibu nakumbuka alikuwa ananiambia
"lets talk like friends nasio kama mtu na mama yake "
elimu aliyonipa ni zaidi ya chuo kikuu
nilichogundua ni kuwa wewe ulimtelekeza mtoto hivyo unaogopa asije akawa na akili kama zangu
hapo kwenye blue
ngoja nikutajie wachache
bill Clinton. 50 cent .mariah carey . B.I.G .p diddy.Armstrong. Tom cruz.jammie fox .jay z .Enrique. jet lee .madonna.Eddie Murphy. Obama. Ronaldhinho.Tupac.kanye west.e.t.c
In red: kwa hiyo unamfsifia mama ako ili mimi nifanyeje,elimu yake,uzuri wake unanihusu nini?
In green: Hakuna kipimo cha malezi kwamba huyu kalelewa vyema na huyu kalelewa vizuri,ni subjective,kama kakulea vyema ni wewe maana hujui malezi yangu,alafu why should i trust you?
Bold black: FYI sina mtoto wala sijawahi kumpa mtu mimba nikakataa mtoto.
Blue: waswahili husema jina linasadifu yaliyomo,kweli wewe kilaza,wapi nimebisha kwamba sio kweli au kutaka ushahidi hadi unitajie waliolelewa na mama tu?nimekwambia sio guarantee maana ingekua hivyo basi waote waliolelewa na mama tu wangekua wamefanikiwa sana duniani kote.
Mtu mmoja akifanya kazi ya wawili is out of normal!Mkiwa wawili mambo hayaendi msondo na wote mnafanya kazi na mnasaidiana na je ukiwa peke yako? This is very easy to understand hata mtoto mdogo anaelewa. Huwezi kuelewa uzito wa kuwa single parent kama hujalelewa na single parent au si single parent.Na kokote utakapoenda wanajua kuwa single parent ni kazi ngumu.Take my word!May be, may be not...
Ukisoma btn the lines, utaona baadhi ya waandishi wanaonesha kama ni 'ushujaa usio wa kawaida' kwa kuweza kulea peke yake? Kwa nini? Deep down kuna feelings za kujiona aidha 'weak au abnormal' kwa kulea peke yake. Anyway, mtizamo wangu, na sijawahi mwita mtu single parent wala kuhisi amepungukiwa.
Kwa nini wanaolea wawili hawajilebo kama 'double parents'? Wako okay na walivyo.
Ndo maana hii 'haki za wanawake' sijui 'usawa wa kijinsia', between the line huwa mushkeli (hata wanaodai haki wenyewe deep down wanajiona dhaifu, ila majukwaani wanajikakamua), kama uko happy na ulivyo, kwa nini upige kelele sana ili usikike?
Kuna sababu zinazomfanya mtu aseme "I AM HAPPY TO BE A SINGLE MUM" unajua amepitia dhoruba gani akafikia hapo?Kuna umuhimu gani wa kuwa pamoja na baba asiyetambua majukumu yake?Kuna haja ya kuwa na mtu ambae ukiwa nae uko mpweke kuliko ukiwa mwenyewe?Kuna umuhimu wa kuwa na mtu anayekuongezea mzigo wa maisha na si kukupunguzia?Hamna maelewano mnagombana mpaka mnataka kubwatuana mbele ya mtoto!Ni bora uwe peke yako ujijuje upo peke yako kuliko uwe na mtu na ujihisi uko peke yako!KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA KAMA ILIVYO NDOA NA HIVOHIVO USINGLE PARENTED.
unawasiliana na mzee wa abdul
In red: kwa hiyo unamfsifia mama ako ili mimi nifanyeje,elimu yake,uzuri wake unanihusu nini?
In green: Hakuna kipimo cha malezi kwamba huyu kalelewa vyema na huyu kalelewa vizuri,ni subjective,kama kakulea vyema ni wewe maana hujui malezi yangu,alafu why should i trust you?
Bold black: FYI sina mtoto wala sijawahi kumpa mtu mimba nikakataa mtoto.
Blue: waswahili husema jina linasadifu yaliyomo,kweli wewe kilaza,wapi nimebisha kwamba sio kweli au kutaka ushahidi hadi unitajie waliolelewa na mama tu?nimekwambia sio guarantee maana ingekua hivyo basi waote waliolelewa na mama tu wangekua wamefanikiwa sana duniani kote.
Kuwa single mom sio sifa... hata hivyo sidhani kama kuna mtu hupenda itokee hivyo .... wengi hupenda walee watoto wao na baba akiwepo.
Ila likikufika unapatana nalo tu hata kama hulipendi....
wakati mwingine huu usingo mum/dad unasababishwa na hao masingo mum/dad wenyewe..
true experience.. ya kwangu mwenyewe..
nimezaa na mdada moja.. na mapenzi yalikuwa moto moto wakti tupo wote chuo...
tumemaliza chuo miezi miwili baadae ndo akamzaa huyu mtt wa kiume..
visa vikaanza.. ugomvi hauishi hadi akantakia kuwa hana mpango wa kuja kuolewa.. nikagive up...
leo nataka nioe na mchumba nishampata yy ndo anakuja juu na kunipa masharti yakumpatia nusu mshahara wangu wa kila mwezi ili aniruhusu kuoa vinginevyo atakuja amjaze mtt mambo yatakayomfanya asitake kuniona maishani mwake kama Kilaza anavyomchukia baba ake..
hapa ninakosa gani?
LifeHacher una matatizo binafsi huyo mrangi mwenzangu tu,nimesema ye mpelelezi bwana.
Mimi ni mjane,nimekuwa single mother,yaani ni kazi kwa kweli wakati mwingine nalia natamani baba yao angekuwepo ila ndo hivyo,kulea watoto peke yako ni pasua kichwa.sitaki mwanaume tena maishani mwangu naogopa atachukua nafasi ya wanangu.Mungu anisaidie kwa kweli naamini wanangu watakua na kuwa history maker katika hiii dunia
Natania aisee.
kuna kitu sijaelewa unataka kusema mimi nimejazwa.......
Unataka akujibu nini hapo Kilaza?
siwezi ku-quote yote ila hakuna mahali nimepingana na wewe bali hoja zako. Hakuna nilikosema haki haki hazina maana bali "wakati mwingine hizi haki hazina maana". Kitendo cha binti kuponea kubakwa na babake hakiondoi haki ya mtoto au baba kupewa taarifa ila kinamzuia mwenye wajibu huo kutokutoa taarifa ili kumlinda mtoto. Hivyo, si kila utkelezaji wa haki una faida tarajiwa. Yule uliyemponda kwa kudai haki mahakamani kwa hoja kuwa malezi si material hakuwa na sababu ya kuleta details zake hapa ili kuhalalisha kitendo chake cha kwenda mahakamani. Mzazi yeyote bila kujali mazingira ya kupata mtoto huyo ana haki ya kwenda mahakamani kudai haki ya malezi ya kimwili (material) ya mwanae. Kitakachotofautiana ni majina tu wakayoitwa hao wazazi washtakiwa. Mwanandoa ataitwa biological parent, na asiye na ndoa ataitwa putative parent (mzazi husika). By the way 50k kwa mwezi si ndogo. inatosha kabisa kumpatia mtoto protein anayohitaji mwezi mzima. na akisoma shule ya kayumba inamtosha nauli na mihogo mwezi mzima. hata mama akiichukua kila mwezi akiiweka saccos sijui vikoba inamtosha kumsomesha mtoto shule yenye mazingira yenye afadhali. cha msingi ni mtu kuwajibika.