Single mums and dads come this way

Kila la kheri, Mola akukuzie....ila kwa sababu ni dume halitokusumbua sanaa...Mtoto wa kiume huwa na mapenzi na mama yake....Nadhani angekuwa wa kike ingekuwa story nyingine....!
Kim unaongelea watoto wa kiume wa wapi labda?? Kama asipokuwa makini huyu dogo anaweza kuja kumchukia baadaye. Labda kama hii stori iko nusu nusu sana lakini kama baba hajafanya kosa lolote na huyu mdada aje ampe dogo black and white kama ilivyo bila kuongeza chenga lazima itakula kwake.
 
Wewe hapa inaonekana kama ulipitia shida kwenye huu usingle mama.

Halafu hapa chini unasema mnafanana na Miss Kim!!! Mwenzio kachagua kuwa single mama na anasema anafurahia hali hiyo iweje mfanane???!!
Miss Kim pole na hongera, najua kuna watu hawatakuelewa ila mimi ninakuelewa make tunafanana kwa 99%.

Nahisi sababu zako na zangu zinaweza kufanana kwa asilimia kubwa....
 
Last edited by a moderator:

Ndio maana zamani utaratibu ulikuwa kutokuvua chupi kabla ya ndoa. Sasa hivi kwa kuwa uzinzi ruksa kwa kigezo cha wapenzi basi inabidi wanawake wakumbuke angalau wabadili utaratibu, Hakikisha hushiki mimba kabla ya ndoa. We unamwamini mwanaume umezaliwa naye kwani??!!!
 
Mie naona mna kuza mambo tu, labda kilichowaumiza wengi ni kukosana/tofautiana/poteza na wazazi wenza. Vinginevyo mbona kawaida sana kulea watoto?

Anyway...
Me like this comment. Kiukweli no big deal, unalea tu. Wengine tumelea wadogo zetu kama wanetu nini mtoto wa kumzaa mwenyewe 🙂
 
Hapa umegonga kwenye mfupa kabisa ndio maana mimi nasema huyu anatafuta kuja kuchukiwa na mwanaye kwenye maisha yake yote yatakayobakia na huyu dogo atakuwa bad boy kuliko baba yake.

Mwenyewe eti anajipa moyo mtoto atamwelewa. Labda ampe fiksi za kufa mtu, vinginevyo ale bata sasa hivi lakini ajiandae kuishi na majuto kwa maisha yake yote pale atakapofunguka kwa dogo.
 

huna kosa if that is the case mwambie mtoto utamchukua wewe kwani hujashindwa mlea
 
Last edited by a moderator:
good newz ni kuwa watoto walio lelewa na single mum wana bahati sana most of them they achieve very well in life (obama & co hata viongozi wengi wa taifa hili walilelewa na single mom)

.......hope u will get something. .........
Pole sana ila unaonekana bado una hasira sana. Mimi interest yangu ni kuongelea hiyo point yako ya mwisho. Ukweli ni kwamba watu wenye mafanikio wapo wengi waliozaliwa na kulelewa na baba na mama, hakuna umaalum wowote wa kulelewa na single mums. Pili acheni kumfanya Obama kuwa mfano wa kulelewa na single mum kwa kuwa sio kweli, Obama hakukulelewa na baba yake wa kumzaa sawa lakini alikuwa na baba wa kufikia.
 
Hawa watu mnaowaita madubwana wakati mnawavulia chupi huwa hamuwaoni?!! Nyumbani unaambiwa mwanangu soma usidanganyike wewe bado umo tu unaona kuvua chupi raha. Ukipata mimba unaanza kulia lia. Mimi nadhani ifike mahali tukubali consequence ya matendo yetu. Wewe kama ni msichana/mwanamke kumbuka unapovua chupi na kumegwa bila kinga mojawapo ya matokeo ni kubeba mimba na ufikirie utafanya nini likitokea hilo. Wazee wetu wa zamani walipokuwa wanalinda zaidi watoto wa kike kuliko wa kiume hawakuwa wajinga kwa sababu japokuwa makosa ni ya wote inapotokea mimba lakini anayeathirika zaidi ni yule anayebeba mimba. Sasa karibuni mmwage povu.
 
Sasa wewe unaamini kwamba sisi hatutaweza kukuelewa ila unadhani itakuwa rahisi kwa mwanao kukuelewa??!!! Wewe inawezekana ni mtu wa misimamo sana na ndio maana hata hao unaowaita friends wameamua kukaa kimya.
 
And this God told you to put your son's father at bay??!!!!
 
I couldn't have put it better. Kudos Konie.
 
I rest my case, some battles are best fought in silence. And just so you know my decision was never based on emotions, it was a well thought decision which has worked out for the best of everyone. Nikutakie siku njema mpendwa.
If you don't mind can you tell me how you came to that conclusion at the time?
 
I like this. Calling a spade a spade not a big spoon!
 
Kuna dada namfahamu, aliacha watoto wake wawili sehemu, mmoja akiws 3yrs na mwingine 1yr hadi watoto wakasahau kama Kuna mama. Hadi wapo 23 kwa 21 ndio amewaona. Na believe me...hawataki hata kusukia kuhusu mama Yao. Haya mambo hapo kwa jinsia zote.

wapo wanawake wa aina hii ila ni wachache sana katika jamii
 
hahaha hapo mwisho eti "mama kilaza " u cant be serious

by the way u a right I learned something

one more thing mimi sina uchungu wowote kwakuwa sijawai kujutia kutokuwa na kubwa jinga
Inawezekana hujui tu lakini hiki kitu kinakutafuna ndani ndani. yaani Deep down una majonzi yaliyochanganyika na hasira kali sana. Jitahidi usimfikirie sana, fikiria ni binadamu na aliwakosea sana halafu potezea kiasi kwamba ifike mahali usijisumbue kutumia haya maneno wakati unamzungumzia huyo mtu.
 
Yaliyopita si ndwele. Gangeni yajayo. The rest is history. You cannot change it
 
kukaa kimya nako ni jibu la mjinga,sikujibu endelea kuhara damu humu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…