Single mums and dads come this way


This is being selfish and violation of child rights. You child has the right to know his father and enjoy fatherly love. Na hii haikusaidii chochote sana sana inakukandamiza kiuchumi. Let the father know and bear his responsibility. Atakavyokuwa mkubwa anaweza kukusuplise kwa kukulaumu.
 
Ukiwa na hint kuwa umezalisha mtu mahali ndo unaweza kudai, lakini kama huna hint kabisa utadaije?
Na akina mama hii ya kujua the dirty truth behind the scene inatupa kiburi sana. Kuna mdada alizaa na kijana kabla hawajafunga ndoa, kila wakigombana yule dada anamwambie mchumba wake, una hakika gani hata huyu mtoto ni wako?

Yule kijana akaona isiwe tabu, akamwambia, kama huyu mmoja tu na hatujaoana kila tukigombana ni hivi, je wakiwa watanona tumeoana? Alimwachia yule binti pete ya uchumba na kifunga uchumba na kwenda kuanza upya.

Sijui kwa wengine, ila hata mie mtu ku temper na partenity ya mtoto ni -100% wrong, regardless sie wazazi tumekwaruzana kiasi gani.

 

Unajua kuna baadhi ya makabila binti akipata ujauzito ni lazima aonyeshe wazazi alompa mimba...atake asitake...

Sasa nimeanza kuelewa...

Wadada wengi wanatumia hasira kufanya maamuzi makubwa...

Bila intervention ya familia yaweza kuwa balaa baadae...

Yaani utasema baba wa mtoto ni nani...hata kama mimba kaikataa...

Na inapswa tufahamu wanaume wengi sana ni rahisi kukana mimba...lakini ni sababu ya woga...haina maana atakataa mtoto wake forever...

Tuwape muda ...akili ikikomaa watakumbuka watoto wao...

Nina shemeji yangu alizaa na binti jirani yao...
Akakana kuwa mimba si yake..
Mama mkwe wangu akamfuata yule binti na wazazi wake, akawaambia tulieni; mtoto akizaliwa kama ni wa mwanangu nitajua...na niko tayari kumlea...

Kweli mtot kazaliwa carbon copy...

Mama mkwe kamchukua akiwa na 1.5 years kamlea mwenyewe maana mama wa mtoto alipata bwana akaolewa...
Sasa hivi shemeji yangu humwambii kitu kuhusu huyu first born wake...

Mama mkwe anamtaniaga jinsi alivyokaataa kuwa mimba si yake...
Kilichofanya akatae ni kwa kuwa hakuwa na kazi, alikuwa first year UD; sasa akafikiria ndoa ya mkeka akaona isiwe shida...mimba si yangu...
 

pole sana mama
 
having a child is not an achievement...Any dumb woman can get pregnanct... It requires a higher IQ to understand in advance that the child will have necessary needs especially the kind loving care of both parents..
 
Nilidhani nimetokea pluto peke yangu.

Mie jamaa yetu alikana mimba na kutuficha, tuligundua mtoto akiwa kama 2yrs, sasa hivi anaisi kwa shangazi yake na anasoma, binti responsible kabisa, very bright. Afu ujue nini, yule jamaa hadi leo ndoa haijazaa matunda, so macho yake yote ni kwa binti wa kwanza.

Nadhani hata kwetu ni hivyo, danganya yoooote, lakini baba wa mtoto si kitu cha kuchezea kabisa, ni haki ya mtoto ya msingi, hata awe mwehu.

Mama kuumizwa na baba, bado haimpi haki ya kumnyima mtoto kumjua baba yake. Kuna wanawake/wanaume wanaachana na wao kubaki na watoto, basi wanawajaza maneno ya chuki dhidi ya wazazi wao wengine. Hii haimsaidii wala mtoto, ni kumuumiza tu, mtoto anashindwa hata kufurahia mzazi wake mwingine.

Huwa najisemea, Mungu nipe kifua cha kubeba maumivu yangu, nisiyahamishie kwa watoto dhidi mzazi mwenzangu/mume.

 
In all fairness ni haki ya msingi ya mtoto kumjua mzazi wake. Kumnyima haki hiyo ni ubinafsi tu. Sijui sheria za nchi kuhusu hili lakini sidhani kama kuna sababu inaweza kumfanya mtu kuzuiwa kumfahamu mzazi wake.
 
Duh Kilaza siwezi kukulaumu wala siwezi kukupongeza nilichojifunza hapa ni kwamba bado una hasira na Baba yako tena baada ya kujitambua.Unajua mara nyingi watoto walioangukia katika fungu lako si kwamba walikosa mapenz na malezi ya wazazi wote wawili katika maisha yao lakini pia sheria na wakati mwingine mila zinawaweka kando katika kupata haki.

Binafsi nimelea mtoto wa Dada yangu baada ya kupata ujauzito akiwa chuo,nikaamua kumchukua mjomba nikamsomesha hadi akafikia mahali pa kijitegemea.Kipindi chote napambana na malezi yake sikumwona Baba wala nani toka hiyo familia ingawa sikupenda awe karibu nayo kwasababu za kiimani (niliogopa wangeweza kumbadilisha).

Dada yangu alikuja kuolewa na mwanaume mwingine ambaye pia sikupenda abebe mzigo usiomhusu.Maajabu yalikuja tokea wakati kijana yupo Chuo cha Ushirika Moshi Baba yake akishirikiana na Dada yangu wakafanikisha mipango ya kumtambulisha katika familia ya Baba bila kunishirikisha.Ukweli ni kwamba nilikasirika sana tena sana kiasi nakosa maelezo sahihi ya kuelezea hasira niliyokuwa nayo dhidi ya Dada na huyu Baba mtoto.Ifahamike nilianza kuishi na mtoto hata sijaoa halafu anajitokeza Pimb.i anajifanya anampenda leo.

 
Last edited by a moderator:
Wengine Mola wetu alitupatia mtihani mkubwa,,, kwa uwezo wake Allah maisha yanasonga,, na watoto wanasoma Alhamdulillah japo wanakosa guidance ya mama... Halaumiwi aliye juu ya kila kitu ila it is real hard

Pole sana kakaangu allah atakuongoza inshallah
 
mbona mnatuandama sana nyie kina mama.
nyie wenyewe hamjioni...?
 
But miss Kim's story is different. Kamnyima Baba haki ya kumfahamu mtoto wake. Hata ujauzito alimficha. Do you think its fair? Kwa nini basi aamue kuzaa nae?
 
But miss Kim's story is different. Kamnyima Baba haki ya kumfahamu mtoto wake. Hata ujauzito alimficha. Do you think its fair? Kwa nini basi aamue kuzaa nae?
Hili inabidi alijibu Miss Kim!Na mimi sijui kwanini amechukua maamuzi yake na kama nilielewa alisema sehemu alipata ujauzito accidentally!!
 

Mkuu una bitterness kali mno...unavyoongea tu,ni result ya kumkosa baba as a father figure...hao macelebrity uliotaja hapo wote ni nothing
 


Pole na hongera for standing up for your self;

Ila for whatever valid reasons you may put for keeping that man at bay from your child, you are playing it very very WRONG for your child and for him. At times its not just for our sake to be happy and content , but for the sake of the ones we are responsible to.

You may claim to be happy but with time u will realize its fake for your child. The minute your child realisez what treasure you took away from him, u are doomed. Mind you, even if a father is the worst living bastard on earth he can still be the best (slightly close to that) father on earth....I know ur doing mpyssss but oooh Yes i have seen from experience. Hivyo tusijidanganye ohhh am so happy blah blah blah...so long as u baba mtoto hajakataa katu katu usimyime mtoto haki ya kujua baba yake. Search from Amazon a book called " heaven is real" sio cha kidini sana as the title suggests but u can see a soul of a world renowned neurosurgeon inavyo-suffer kuconnect na mzazi wake even when no body told him he had one....souls search other and in the end the truth separates itself from all fakes we may cover it with.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…