Hebu ficha hata aibu yako.mwanamke yeyote anazijua dalili za yai lililokua tayari kuna viashiria vinamfanya aisi yupo kwenye danger date, we inaelekea hujaenda Jando mambo yote mnafundishwa mnapowekwa ndani na mabibi zenu ila wanawake wa siku hizi mnakula sana chips yai, chemical drinks, peds feki nk na kuaribu mfumo wa reproduction wacha tuwatie mimba tu na kuwakimbia Ulimbukeni wenu ndio uaowaponza
Nahamu tu ya usingo maza. Staki stress za mwanaume mieKulikoni Vale atamani kuwa single mother?
POLE SANA
They are better than you.Mkuu, yo are not serious! You can'nt compare me with single mother though nimiwatembelea
Mkikosa cha kupost mnaona mpost kuhusu single mothers ili kupata comment nyingi kweli mna kazi aisee kwanini msiwaache tu watu na maisha yao.
Wakati wanakutegeshea wewe unakuwa umezimia?tatizo mkuu wakikuona unamaisha mazuri halafu unapotezea suala la ndoa wanategesha ili apate kichochezi cha kuwa nae hapo ndipo wanapolia
wakati yai linapokua limepevuka kuna dalili km kutokwa na ute kwenye Papuchi, kusikia hamu ya kut**bwa nk mnajua wenyewe
Mwanamke wa siku hizi hata um-treat vipi bado anataka na nje, mfano mzuri jana kuna member humu kaandika kuwa mkewe kamuaga anaenda kumsalimia mgonjwa but mwisho wa siku analetwa nyumbani akiwa hoi kisa kapigwa baada ya kukamatwa ugoni. Imagine.Kosa sio wanawake wewe muowaji ndio unayetakiwa umtengeneze mke unayemtaka ili kupunguza hao single mother kwani ikiwa mmeoana tabia haziendani ni ngumu sana kuwepo uvumilivu.
Na pia kumbuka nyie ndio mnaoacha na si mwanamke anakuacha.
They are delicate!!! Teh teh teeeh!!!Yaweza kuwa wapo but informations juu yao zikawa "handled with care" cause they're delicate ones [emoji1] [emoji1]
Walipojileta wewe ulikuwa mfu? Kila kinachokuja unapokea tu, na hapo wewe uitweje!!! Nawe ficha uchi/upuuzi wako hadi umpate mrs right.wasichana wakikuona una maisha mazuri wanajileta wenyewe ukiwa huna mpango nae hapo ndipo wanapofeli Badilikeni ficheni Nyuchi zenu mpaka umpate mr. right
wasichana wakikuona una maisha mazuri wanajileta wenyewe ukiwa huna mpango nae hapo ndipo wanapofeli Badilikeni ficheni Nyuchi zenu mpaka umpate mr. right
sio doctor,but I think ovulation inatokea katikati siku ya kumi mpaka kumi na tatu,na hiki ndio kipindi ambacho mtu anakua na hamu ya kufanya mapenzi.Hizi dalili sio za kuingia kwenye period bali za kutungia mimba,anayway I hope kuna madoctor watatueleza.
Kama haujui basi hata haina haja ya kuelezea.Kumbe wanaotegeshewa mimba wote ni irresponsible ones .... atoto hebu funguka hapo HOW?
Kwahiyo nawe single mother umekuja kutoa stress?tetesi; Jf naskia imejaa single mother wengi, humu ndio kimbilio la kutolea stress zao huku wakijifanya bado ni watoto wabichi kabsaaaa
Uko sahihi kabisa mamii ... maana hao wanaume waso jitambua na wasio responsible hata mie mwenyewe siwaungi mkono kabisaThey are delicate!!! Teh teh teeeh!!!
Kama ni single mom basi tambua na upande wa pili ni single dad.
Kukimbia damu yako hakukufanyi uwe hauna mtoto au mjanja sana, bali mpumbavu kiwango cha lami, hebu muwe responsible jamani, hao malaika mnaowatelekeza laiti mngejua mateso mnayowapa kisaikolijia nk walaaa msingejitapa humu eti natia then nasepa!!!
MWANAUME kamwe hawezi ongea upuuzi huo, and if thats the case,bora tu wawe single moms maana wanaume wenyewe ndio hawa tunaoona comment zao humu.
Achana nao dear wasikuumize headache inawachoma sana wanapoona single mom anaendesha maisha yake vema na mtoto wake sababu wengi wao wanapenda kukuona ukitia huruma be happy dear hata usihuzunike ulichonacho ni baraka kubwa sana,na mtoto wako ndo ana upendo wa kweli nawe mwanaume mostly of time ni stress tu.hizo blah blah zao fanya kama huzisikii love yourself love your kid enjoy life OVA.Wanapenda sana kutuonelea. Ngoja na sisi tuanze kupost kuhusu vibamia vyao uone wanavyotoka povu.
Tuwe twawahurumia au muwe makini na tarehe zenu na mimba zisizotarajiwa mziepuke maana ndizo has a huleta single mother.Na nyie muache kufake, kama unataka ngono tu sema nataka ngono tu!! Sio uongo mwingi alafu mkishatumimba mnatukimbia. Hivi mnajua jinsi hizo tarehe hatari zilivyo korofi?? Muwe mnatuhurumia jamani.
They are delicate!!! Teh teh teeeh!!!
Kama ni single mom basi tambua na upande wa pili ni single dad.
Kukimbia damu yako hakukufanyi uwe hauna mtoto au mjanja sana, bali mpumbavu kiwango cha lami, hebu muwe responsible jamani, hao malaika mnaowatelekeza laiti mngejua mateso mnayowapa kisaikolijia nk walaaa msingejitapa humu eti natia then nasepa!!!
MWANAUME kamwe hawezi ongea upuuzi huo, and if thats the case,bora tu wawe single moms maana wanaume wenyewe ndio hawa tunaoona comment zao humu.