Single mothers, ni nini chanzo?

Single mothers, ni nini chanzo?

Unajua hata ujue siku za hatari bado hakukufanyi uwe safe. Unaweza subiri siku za hatari zikapita na bado ukapata mimba. Kuna factors zingine zinafanyaga calendar method isiwe effective.

its true mkuu,

Na tena sio wote wana regular period,wengine hawajui siku za hatari kwa sababu mizunguko yao inabadilika badilika(irregular periods)

Nadhani wote ,wanaume na wanawake tujifunze kwa hili,mambo mengine hayaepukiki na yakitokea wote wanaume na wanawake tuwe responsible.
 
Uko sahihi kabisa mamii ... maana hao wanaume waso jitambua na wasio responsible hata mie mwenyewe siwaungi mkono kabisa
Hili suala tukiacha wale walofiwa,au walobakwa. Yaani lawama ni kwa pande zote, msiwasakame tu wanawake jamani, tena inabidi wapongezwe, maana mlipokimbia wao walibaki kulea watoto wao kwa shida zote, akawa baba akawa mama.

Na msidhani kila single mom basi ana nyodo,kiburi nk, wanaume mnajijua akili zenu, we soma tu ktk uzi huu(na jf kwa ujumla)then utajua ni aina gani ya wanaume tunadeal nao, so wanawake wanastahili pongezi sio hizi dharau.

Mimba zisizotarajiwa zipo hadi kwenye ndoa, seuse asie na ndoa!!! Tusijitoe ufahamu ati!!
 
Nimekupenda bure.
 
Tuwe twawahurumia au muwe makini na tarehe zenu na mimba zisizotarajiwa mziepuke maana ndizo has a huleta single mother.
Tusilaumiane kwenye hili la MTU kuwa single mother asilimia Kubwa ni wenyewe kujisahau wachache sana huwa wamedanganywa au kuwa na mtazamo Wa kutaka ndoa kupitia mimba.

Wadada wabadilike waanze kufikiria kwamba suala la kuwa na mtoto ni la kujipanga sio wewe unaona Siku za habari unampekekea Jamaa halafu unakuja kulaumu.
Nimependa hapo uliposema "tusilaumiane" ila nikashangaa ukaendelea kuwalaumu wanawake!!

Sasa wewe kama hautaki lawama basi ukianzisha mahusiano basi ikiwezekana tengeneza na kalenda kabisa, ili uujue mzunguko wa mwenzio, then kuwa responsible.
 
Na kama hataki lawama basi ajitahidi kutumia condom ili kuzuia mimba isiyotarajiwa. Maana unapopiga kavu tegemea lolote kwsbb pia wakati wa tendo ht mwanaume anakuwa na akili timamu. Na anapomwaga ndani anajua kbs nn matokeo ya hiyo kitu.
 
Mkikosa cha kupost mnaona mpost kuhusu single mothers ili kupata comment nyingi kweli mna kazi aisee kwanini msiwaache tu watu na maisha yao.
Wakiwaacha si ndio watakuwa wamekosa cha kupost!! Acha wapost maybe inawapa some sort of a relief.
 
Na kama hataki lawama basi ajitahidi kutumia condom ili kuzuia mimba isiyotarajiwa. Maana unapopiga kavu tegemea lolote kwsbb pia wakati wa tendo ht mwanaume anakuwa na akili timamu. Na anapomwaga ndani anajua kbs nn matokeo ya hiyo kitu.
Ni upuuzi tu, maybe huwa wanahisi wanakojoa maziwa kwahiyo hayana madhara.
Huwa hawakosi excuse, utasikia wanawake hawapendi condom!
 
Mwanamke wa siku hizi hata um-treat vipi bado anataka na nje, mfano mzuri jana kuna member humu kaandika kuwa mkewe kamuaga anaenda kumsalimia mgonjwa but mwisho wa siku analetwa nyumbani akiwa hoi kisa kapigwa baada ya kukamatwa ugoni. Imagine.
Hiyo inategemea huenda ikawa chanzo ni huyo mwanaume mwenyewe.
 
Kulazimisha mambo, na kuyachukulia kirahisi rahisi...
 
Kufanya ngono zembe, kujiachia kwa mtu ambaye badi hujamjua vizuri hasa nia yake na wewe likitokea ndio anakupa ukweli, kukataa kutoa mimba, talaka, elimu finyu juu ya kujamiiana na kujilinda, kudanganyika kuwa kumpa wakati wowote ndio upendo, kubakwa(kwachache) n.k
 
Tena unakuta anaepost kuhusu single moms ni product ya hilo au nae katelekeza mtoto huko alafu anajiona mjanjaaaa!!

Na wanajua ndio aina ya post zinazopataga comments sana.
Mm wananiboa sana, of course ni single mom lkn sipendi kbs hz topic maana ht nilivyompata huyu mtoto sivyo km wanavyocomments maujinga humu.
Hatupumui, kutwa kusemwa as if tulishawahi kulia shida humu na kuomba msaada. Yaan humu jf wanaume ni wachache wengi ni wasengenyaji na waongo tu wasio kaa kufanya yao.
 
Hata kumdate hadi ifikie kumbebea mimba ni bora ujisokomeze hata biringanya.

Hahaahahaa. Yani huyu kwa akili yake inaonekana kabisa anadate vilaza wenzie. Mwanaume anapenda kuongelea vibaya mwanamke ujue ubongo wake hauko sawa.
 
Hahaahahaa. Yani huyu kwa akili yake inaonekana kabisa anadate vilaza wenzie. Mwanaume anapenda kuongelea vibaya mwanamke ujue ubongo wake hauko sawa.
Na ukichunguza sana utagundua ana tabia za uongo uongo, usengenyaji, uchoyo yaan zile za roho ya kwanini!
 
Back
Top Bottom