Single mothers, ni nini chanzo?

Single mothers, ni nini chanzo?

Kikubwa ni watu kuwa responsible na kuheshimu natakwa ya familia.

Pia mabinti waache kutumia mimba zisizopagwa kama kigezo cha ndoa hapa ndio huwa future zao zinaharibika.

Nafikiri tutofautishe mapenzi na ngino sio kila unayefanyanae ngono mnaweza kuishi pamoja na kuwa na familia. Sasa unapoenda mpaka mimba basi inakuletea shida maisha yako yote.
 
Chanzo ni single mother wenyewe!

Maringo kwa sana halafu kucare hata hawajui!

Nmewapitia wengi tu ili kuona wanaume wenzangu wanashindwa nini lakin huduma zao ni bure kabisa
Single mothers mwaisikia hii?
 
Na nyie muache kufake, kama unataka ngono tu sema nataka ngono tu!! Sio uongo mwingi alafu mkishatumimba mnatukimbia. Hivi mnajua jinsi hizo tarehe hatari zilivyo korofi?? Muwe mnatuhurumia jamani.
Kikubwa ni watu kuwa responsible na kuheshimu natakwa ya familia.

Pia mabinti waache kutumia mimba zisizopagwa kama kigezo cha ndoa hapa ndio huwa future zao zinaharibika.

Nafikiri tutofautishe mapenzi na ngino sio kila unayefanyanae ngono mnaweza kuishi pamoja na kuwa na familia. Sasa unapoenda mpaka mimba basi inakuletea shida maisha yako yote.
 
nimekataa mialiko huku nikifikiria nitapata mualiko kutoka kwako kumbe nilikua najidanganya
Acha uongo basi, we si nilikualika ukaniambia utakuwa busy!!
 
Kikubwa ni watu kuwa responsible na kuheshimu natakwa ya familia.

Pia mabinti waache kutumia mimba zisizopagwa kama kigezo cha ndoa hapa ndio huwa future zao zinaharibika.

Nafikiri tutofautishe mapenzi na ngino sio kila unayefanyanae ngono mnaweza kuishi pamoja na kuwa na familia. Sasa unapoenda mpaka mimba basi inakuletea shida maisha yako yote.
Mkuu wamaanisha kutanguliza mimba kama tiketi ya ndoa ama?
 
Source kubwa ni kifo cha baba wa mtoto

Hizi nyingine tulaumiane wenyewe kwa wenyewe
 
Acha uongo basi, we si nilikualika ukaniambia utakuwa busy!!
hiii jamani mbona kutiana aibu mbele za watu
jumapili nimelala huku naangalia uwezekano wa kukumbukwa na wewe
 
Mie nililala nawaza huyu mtu huu ubusy nani anambizisha!!! Basi ikabidi niwe tu mpole.
 
Source kubwa ni kifo cha baba wa mtoto

Hizi nyingine tulaumiane wenyewe kwa wenyewe
Hilo la mauti really liko juu ya uwezo wetu .... but hizo other causes ambazo ziko ndani ya uwezo wetu washaur nn kifanyike mamii?
 
Back
Top Bottom