Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,388
- 88,761
its true mkuu,
Na tena sio wote wana regular period,wengine hawajui siku za hatari kwa sababu mizunguko yao inabadilika badilika(irregular periods)
Nadhani wote ,wanaume na wanawake tujifunze kwa hili,mambo mengine hayaepukiki na yakitokea wote wanaume na wanawake tuwe responsible.
Tatizo ni kwamba wanaume wengine hawaelewagi hivyo viti vya calendar kama huwa vinazingua. Wao wakishaloeka mimba ikaingia akili inamtuma ulimtegeshea kumbe hata mimi sikupenda kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
Tatizo likishatokea la kutokea wenzetu wanaume wanatukimbia wanatuacha tuhangaike wenyewe.