Hapa wote watakuwa na makosa ..... a) mtegeshaji kwa kufanya vile pasi na kujua matokeo ya hicho akifanyacho kama yatakuwa "positive" ama "negative"Naam hili ndo tatizo, mwanamke unajua Leo ni siku zako za hatari alafu unakaa kimya unamtegeshea mtu huku ukijua hauna uwezo wa kulea. Alafu baadae unalaumu ovyo ovyo kana kwamba ulibakwa. Dawa ni kuachwa tu hamna namna
Hongera sana kwa kuwapitia mkuuChanzo ni single mother wenyewe!
Maringo kwa sana halafu kucare hata hawajui!
Nmewapitia wengi tu ili kuona wanaume wenzangu wanashindwa nini lakin huduma zao ni bure kabisa
Me naomba kuwauliza kuna single mom yeyote alishakuja kuomba msaada wowote kwenu either kumsomeshea mwanaye kama sivyo ninyi kinachowauma hasa ni nn?Imeonekana hili la kutegeshea ni tatizo kubwa
Makunga wasikupe shida hao tulishawazoea coz wao family zao dada zao mama zao wakubwa kwa wadogo mashangazi zao wote wameolewa kwa ndoa takatifu so Lea mwanao coz hawaju ulimpataje huyo mtotoMm wananiboa sana, of course ni single mom lkn sipendi kbs hz topic maana ht nilivyompata huyu mtoto sivyo km wanavyocomments maujinga humu.
Hatupumui, kutwa kusemwa as if tulishawahi kulia shida humu na kuomba msaada. Yaan humu jf wanaume ni wachache wengi ni wasengenyaji na waongo tu wasio kaa kufanya yao.
Exactly dearMie sio single mom ila hakuna kitu kinanikera kama hiki, maybe kuna single mom aliwahi kufungua uzi akiomba msaada humu wa kulea mtoto!!
Ndio hawa hawa akina baba diamond, wanajikuta sperm donors alafu baadae anaanza kulia lia kwenye media!!
No wonder wanawake siku hizi wanajionelea bora wazae tu kuliko kuwa na haya mafurushi.
Pole dia ndio changamoto za dunia mengine yanatokea katika maisha yetu ili tujifunze mm alijitambulisha hadi home alipopotelea sasa nikasema Mungu simama na mm now ana miaka 7na nimembadilisha majina anatumia yangu ukikataa mimba nalea sasa hivi vivulana visipende kuropoka maneno ya hovyoYaan, mie wangu alikataa mimba na akasema nisimjui tena. Nikapiga moyo konde nikasimama imara nikaamua kulea. Baada ya kujifungua mtoto copy right baba ake, siku moja akaoneshwa mtoto na rafiki yangu hapo akiwa na miaka miwili. Ndio akajileta, Aiseeee nilimwambia umekosea njia. Fanya yako, yangu hayakuhusu.
Maana wakati ananiacha aliniacha kwa jeuri sana na maneno kibao ya kashfa.
Hayo unayowaombea jua pia dada zako wanafanyiwa the sameKuishi na mwanamke inahtajika akili kubwa sana; wanakera na wanaboa sana. Ni kumfunua na kumwacha tu akizingua; na ndo hali hii wanajikuta wapo single mamas. Wajinga mno! wanawaza hata visivyowezekana.
Mamii hii thread sikuianzisha kwa kusudio la kumbeza "singo mum" yeyote LA HASHA ..... bali kuruhusu mawazo mbalimbali ambayo yaweza kuwa msaada kwa mtu flani either kuepuka masahibu yawapatayo wale "walotelekezwa" au kuwa "strong" na kusonga mbele ....Me naomba kuwauliza kuna single mom yeyote alishakuja kuomba msaada wowote kwenu either kumsomeshea mwanaye kama sivyo ninyi kinachowauma hasa ni nn?
Wasalaam wana jukwaa,
Posts na majadiliano mbalimbali juu ya hawa ndugu zetu waitwao "single mothers" katika mitandao ya kijamii "social networks" zimeonekana kuwa nyingi nowadays ....
Kando na "discussions" hizo huko mitandaoni hata huku katika maisha halisi "single mothers" pia waonekana kuongezeka afu wengi wao waonesha kuinjoi kweli life yao ...
Swali: Ni nini kisababishi (source) kubwa ya uwepo wa familia hizi?
Naungana na ww tatizo vivulana na si wanaume wanachangia as if single mom alitaka mwenyewe kuwa hivyo alivyo hujui alipitia misukosuko gani hadi kuwa alivyo so kinachotakiwa ni heshima na si dharau coz hawajawahi kuwaomba msaadaMamii hii thread sikuianzisha kwa kusudio la kumbeza "singo mum" yeyote LA HASHA ..... bali kuruhusu mawazo mbalimbali ambayo yaweza kuwa msaada kwa mtu flani either kuepuka masahibu yawapatayo wale "walotelekezwa" au kuwa "strong" na kusonga mbele ....
Fuatilia posts zangu ....
"Critical ideas" katika maisha ni "unavoidable" .... unachotakiwa kufanya ni kuwa FIRM kwa unachokiamin
Wajaribu mkuuHongera sana kwa kuwapitia mkuu
Ht mm wa kwangu anatumia majina ya kwetu na ubini wa kwetuPole dia ndio changamoto za dunia mengine yanatokea katika maisha yetu ili tujifunze mm alijitambulisha hadi home alipopotelea sasa nikasema Mungu simama na mm now ana miaka 7na nimembadilisha majina anatumia yangu ukikataa mimba nalea sasa hivi vivulana visipende kuropoka maneno ya hovyo
Hahah nimekupenda bureMakunga wasikupe shida hao tulishawazoea coz wao family zao dada zao mama zao wakubwa kwa wadogo mashangazi zao wote wameolewa kwa ndoa takatifu so Lea mwanao coz hawaju ulimpataje huyo mtoto
hivi babrah hassan wa pb ya clouds fm naye ni single mother? maana sielewei wakina masudi kipanya wanavyoongea mule asubuhi.. ila nimemuelewa.Wasalaam wana jukwaa,
Posts na majadiliano mbalimbali juu ya hawa ndugu zetu waitwao "single mothers" katika mitandao ya kijamii "social networks" zimeonekana kuwa nyingi nowadays ....
Kando na "discussions" hizo huko mitandaoni hata huku katika maisha halisi "single mothers" pia waonekana kuongezeka afu wengi wao waonesha kuinjoi kweli life yao ...
Swali: Ni nini kisababishi (source) kubwa ya uwepo wa familia hizi?
Watuache tuwalee watoto wetu kwa amani kama walikimbia majukumu ndo wajue sisi ni wanawake wa nguvu that's why tumewezakusavive mpaka leo hii na kwa uwezo wa Mungu tutaendelea kusimama imara na watoto wetuHahah nimekupenda bure