Aah labda nipate wa dizain yako aiseHiyo hali itabadilika tu Vale wangu, leo utajisikia hutaki stress za wanaume lakini niamini, kesho utatuhitaji tu. Wanaume ni kama maji, umewahi kumaliza siku bila kutumia maji (kwa hali yoyote ile?)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] Nimecheka sana!!Aah labda nipate wa dizain yako aise
Wacheka nini sasa jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] Nimecheka sana!!
Kwani bado mpendwa nianze kuchukua mazoezi ya kukufuata.Mi mwenyewe nampango wa u single mom...
Sasa kama mimi utampataje, labda mimi kabisa[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wacheka nini sasa jamani
Wote mwanaume na mwanamke wanakuwa irresponsible afu anayekuwa "victimized" ni mmoja tu .... that's isn't fairNikisema chanzo ni wanawake nitakuwa nawahukumu, na nikisema chanzo ni sisi wanaume nitakuwa najikandamiza. Kinachoonekana hapa chazo ni sisi wenyewe (wanaume na wanawaje) kuanzisha mahusiano bila pasipo na uhakika kama uhusiano ule utafika mwisho. Wakiwa katika kutokujua huko unakuta ndani yake wanafanya tendo pasipo kujilinda, kujikinga ama kuepuka mimba zisizo tarajiwa. Ni katika kujisahau huko ndipo husababisha haya tunayoyajadili hapa. Wewe hukuwa tayari na yeye hakuwa tayari, lakini kwa upuuzi na upofu wetu husababisha hilo na tukifika kikomo cha mahusiano basi kila mmoja huchukua hamsini zake kitu ambacho huwaacha wanawake kuwa single mothers kutoka na upuuzi wetu sote
Huo ndio ukweli mkuu! Kila paleWote mwanaume na mwanamke wanakuwa irresponsible afu anayekuwa "victimized" ni mmoja tu .... that's isn't fair
Umemaliza mkuuKujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
Na hilo ndio kosa kubwa ambalo mwisho wa siku wao (wasichana) ndio wanakuwa WahangaHuwa kuna kipindi vijana both girls and boys huwa wanataka eti kutest kama vizazi vyao vizima. Hapo ndipo shida inapoanza.
Kama mmeamua ku-test ni vyema mkajiandaa kuchukua jukumu la kulea pamoja pia kama jaribio likiwa positiveHuwa kuna kipindi vijana both girls and boys huwa wanataka eti kutest kama vizazi vyao vizima. Hapo ndipo shida inapoanza.
Hii ni sehemu ndogo sana ya chanzo japo nayo ni moja ya sababu,Chanzo ni michepuko,..................
Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................
Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......
Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.
Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
Hawa watu wamejaa visa vya makusudi,nyodo,staha hawana,macho yao juu mtaani,washari,wasiopenda kubeba majukumu yao,wanaopenda mashindano na la zaidi wamejaa gubu,Wanawake wa sasa si waolewaji kabisa, wana majanga makubwa yasiyoweza kuvumilia hata kidogo. Na ni ngumu kwao kuvumilia kwenye ndoa.
Noo...asikupate wewe...Sasa kama mimi utampataje, labda mimi kabisa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Naona hiyo ya kutegesha mimba inawa-cost wengi .... by the way pole ziwaendee waloondokewa na wenzi waoKuna wanandoa waliofiwa nA waume zao...wanalea wnyw...wapo waliochoshwa nA ndoa wakaamua kumove on nA wtt wao...afu wapo nyumba ndogoz wazee WA kutegesha mimba. ....