Sioni uhusiano wa baba kucheat so as mtotoChanzo ni michepuko,..................
Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................
Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......
Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.
Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
I agreeUsawa chanzo cha kila kitu! Paka anataka aende sawa na chui, kweli? Lazima mambo yaende kombo kama awamu hii inavyoenda
Ukisoma vyema statement yako utaona alichoandika jamaa ni sahihi sababu ushaprove kitu ambacho wanawake wengi wanakoseaMnh labda kama huna watoto,ukiwa nao hao ndio wawe important,sio mabishano ya kijinga na mkeo,paka anaenda na paka,mpaka umemuingiza ndani/kumuoa huyu ni paka mwenzio ,lol.
WordKikubwa ni watu kuwa responsible na kuheshimu natakwa ya familia.
Pia mabinti waache kutumia mimba zisizopagwa kama kigezo cha ndoa hapa ndio huwa future zao zinaharibika.
Nafikiri tutofautishe mapenzi na ngino sio kila unayefanyanae ngono mnaweza kuishi pamoja na kuwa na familia. Sasa unapoenda mpaka mimba basi inakuletea shida maisha yako yote.
Ukisoma vyema statement yako utaona alichoandika jamaa ni sahihi sababu ushaprove kitu ambacho wanawake wengi wanakosea
Ushaanza kutafuta so called haki sawa au kubishana ilimradi use mshindi
Hiyo hali itabadilika tu Vale wangu, leo utajisikia hutaki stress za wanaume lakini niamini, kesho utatuhitaji tu. Wanaume ni kama maji, umewahi kumaliza siku bila kutumia maji (kwa hali yoyote ile?)Nahamu tu ya usingo maza. Staki stress za mwanaume mie
Aiseeee!!!Kuishi na mwanamke inahtajika akili kubwa sana; wanakera na wanaboa sana. Ni kumfunua na kumwacha tu akizingua; na ndo hali hii wanajikuta wapo single mamas. Wajinga mno! wanawaza hata visivyowezekana.
Unanikumbusha wimbo waNa nyie muache kufake, kama unataka ngono tu sema nataka ngono tu!! Sio uongo mwingi alafu mkishatumimba mnatukimbia. Hivi mnajua jinsi hizo tarehe hatari zilivyo korofi?? Muwe mnatuhurumia jamani.
Hata siujui, unahusu nini?Unanikumbusha wimbo wa
The Weekend _I feel it Coming [emoji442]
Heee unataka nishushe tena na lyrics.... Tabia mbaya... Nenda utube tu easyHata siujui, unahusu nini?
Chaaaah!!Heee unataka nishushe tena na lyrics.... Tabia mbaya... Nenda utube tu easy
Huhuhuhu chaafyaaa[emoji36]Chaaaah!!