Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,904
Hicho ndicho wengi hawataki,mwanamke anazalishwa na unamuoa,akikutana na aliyemzalisha anafanywa chochote,tena na kwenye play list yake,unakuta ana ule wimbo wa Hamisa Mobeto sijui unaitwaje ule ila una maneno ya anayemmiliki ex wangu ni nani.....Yeye akipigiwa simu na ex anaona yeye ni Mzuri sana,hafikirii kwanini aliachwa akaolewa mwingine.Upumbavu mtupu.Niliwahi kumpigia denda mwanamke wangu niliechana nae miaka kadhaa, tena bila hata kumtongoza au kumshawishi kivyovyote vile, yani mazingira yaliruhusu tu.
Nilifanya hivyo kama kumpima baada ya kuniachia nikague simu yake na kuona txt alizokuwa anachat na mpenzi wake aliekuwa nae wakati huo, na kama ningetaka kumla wala asingekataa. Kiufupi ananipenda na kuniheshimu sana, mpaka nashangaa.
Achaneni na Single mothers.
Shida binadamu ni wabishi sanaSingle mama wala hana shida yeye anajua anachotaka. HILO JAMAA LAKO NDILO LIJINGA.
Umeongea kwa uchungu sana,pole sana mkuu kwa yaliyokukuta kwa single mother [emoji28]
Aachwe Apambane na hali yake. Ndoa si ni yake? Au mlioa pamoja?Shida binadamu ni wabishi sana
Wanawake sio wa kuwaamini sana, ukute hapo baba mzazi anatoa kila kitu cha mtoto ila mama mtu anasema hatoi ili avute kotekoteHuyu jamaa tumesoma wote lakini ni mtu mwenye asili ya ubishi lakini pia ni aina flani ya watu wanaojifanya wajuaji anyway sasa twende kwenye mada yetu halisia
Kipindi anataka kuoa washikaji wake wa karibu tulimsihi sana huyu binti ukimuoa huko mbeleni atakuja kukupa shida simply tunawaelewa single mother ni ngumu kuvunja bond kati yake na mwanaume aliyezaa nae lakini msela alijifanya mwamba coz binti alimweleza jamaa aliyeza nae alimtekelekeza na hataki hata kumsikia sababu alikataa mimba na akamtelekeza hivyo hana hata mpango nae
Leo hii ndoa yao ina miaka mitatu jamaa kagundua binti na jamaa wanawasiliana vizuli , wanakutana na kuna kipindi jamaa akitaka mtoto kumuona binti anampeleka kumuona baba yake mzazi.
Jamaa yetu baada ya kugundua hayo amemwambia binti huyu mtoto anaomba ampeleke akalelewewe na baba yake upande wa pili huyu baba wa mtoto ana mke wake na hizo habari za kuletewa mtoto hataki kuzisikia coz hataki mgogoro kwenye ndoa yake kuleta mtoto wa njee ,
Ukienda kwenye kutoa huduma za mtoto huku jamaa hachangii chochote kile kuhusu mtoto wake anadai majukumu ya familia yake yamembana hana uwezo wa kumuhudumia mtoto lakini kila mwisho wa miezi mitatu jamaa kule huwa anataka apelekewe mtoto akamsalimie baba yake kimya kimya bila msela huku asijue
Na mbaya zaidi majukumu yote ya mtoto msela yamemuelemea huku mtoto ana baba yake......
Mpka sasa ndoa yao ina mgogoro mzito jamaa yetu saivi kama kachanyikiwa connection ya kimya kimya kati ya mke wake na jamaa inampa uchungu na majukumu yote ya mtoto wao yapo juu yake
Wanawake tani dunia nzima. Kwani kubadili sh ngapi?
Unataka upelekwe wapi lunch jpili hii nitalipa mimiShida si u single mama , shida ni akili ya uyo single mama
Jianaume lishakutelekeza na mimba alikataa akaenda kuoa kabisa mwanamke mwingne afu gafla unarudisha mawasiliano nae eti kisa ni baba mtoto, wakati uo uo kuna mtoto wa mwanamke mwenzio kaamua kukustiri na ilo toto lako lililokataliwa na uyo baba ake
Hatunaga heshima na misimamo kwa wanaume walioamua kutustiri
Tunajua sana kujisahau kwa kutumia hisia badala ya akili
After all wanawake sisi mwalimu wetu kipofu
Mwanaume anayeoa single maza hana akiliHuyo jamaa Yako ametawaliwa na huyo mkewake
Dawa ya single mother wa namna hiyo mi kwenda naye ktk utalii Ukraine halafu unamtoroka.Huyu jamaa tumesoma wote lakini ni mtu mwenye asili ya ubishi lakini pia ni aina flani ya watu wanaojifanya wajuaji anyway sasa twende kwenye mada yetu halisia
Kipindi anataka kuoa washikaji wake wa karibu tulimsihi sana huyu binti ukimuoa huko mbeleni atakuja kukupa shida simply tunawaelewa single mother ni ngumu kuvunja bond kati yake na mwanaume aliyezaa nae lakini msela alijifanya mwamba coz binti alimweleza jamaa aliyeza nae alimtekelekeza na hataki hata kumsikia sababu alikataa mimba na akamtelekeza hivyo hana hata mpango nae
Leo hii ndoa yao ina miaka mitatu jamaa kagundua binti na jamaa wanawasiliana vizuli , wanakutana na kuna kipindi jamaa akitaka mtoto kumuona binti anampeleka kumuona baba yake mzazi.
Jamaa yetu baada ya kugundua hayo amemwambia binti huyu mtoto anaomba ampeleke akalelewewe na baba yake upande wa pili huyu baba wa mtoto ana mke wake na hizo habari za kuletewa mtoto hataki kuzisikia coz hataki mgogoro kwenye ndoa yake kuleta mtoto wa njee ,
Ukienda kwenye kutoa huduma za mtoto huku jamaa hachangii chochote kile kuhusu mtoto wake anadai majukumu ya familia yake yamembana hana uwezo wa kumuhudumia mtoto lakini kila mwisho wa miezi mitatu jamaa kule huwa anataka apelekewe mtoto akamsalimie baba yake kimya kimya bila msela huku asijue
Na mbaya zaidi majukumu yote ya mtoto msela yamemuelemea huku mtoto ana baba yake......
Mpka sasa ndoa yao ina mgogoro mzito jamaa yetu saivi kama kachanyikiwa connection ya kimya kimya kati ya mke wake na jamaa inampa uchungu na majukumu yote ya mtoto wao yapo juu yake
Kwanini aachwe ?
Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke mwenye akili na anaejiheshimu?
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app