Single mothers nawaibia siri nyingine

Wengi wao wana inferior visirani vyao wanawaletea wapenzi wao wapya
Halafu jambo dogo tu utakuta machozi hayoooo.

Ma ex wangu waliniacha kwa mbwembwe na vifijo,nikakaa kimya kijana wa watu.Aisee wameenda huko wamezalishwa halafu no future no matunzo,saa hii wanahangaikia tu na kanitafuta kila saa.Ninachowafanya Mungu anisamehe
 
Vipi unawatusua na kuwabutua na kuwapalanga mwisho wa lami
 
naunga hoja mkono.
 
SOMETIME huwa wanadai matumizi kwa nguvu mpaka unajiuliza au huyu mtoto ni wangu
Akimuona baba wa mtoto ana demu mwingine anakununua wewe [emoji26][emoji26]
 
Umefanya yote sawa lakini hapo kwenye kuhudumia mtoto asiye wako umebugi.

Tulishasema kikaoni kuwa singomaza akaoneshe kaburi la baba wa mtoto kwanza na barua ya usajiri wa vifo ndo uhudumie..
Some time tunatumia UTU tu lakini ndio hivyo wanatuona mafala
 
Umenichekesha hapa " ningejuta kumpoteza yule single mother japo alienda kuolewa na taira" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukurukakara kimaisha nikatembea na singo Maza watatu kwa mahusiano ya Muda mrefu, mmoja akiwa mjane... nilikuja kujiwekea kanuni ya kutotembea tena na mjane... kutokukuwa na mahusiano ya kudumu na singo Maza,,,,, Neva na eva again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…