Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Stop right there.

Umetumia lugha flani ya dharau kama umeshikiwa bango uoe single lady.

Ngoja nikuambie, I am a married womam but I have all the respect for single moms. It aint easy.

And being single does not mean you were loose or a husband snatcher. It means you are single because life made ypu single and you will not cry over spilt milk.

Instead you will pick the pieces, wipe off the dust and strive to make it work so that your kids will have the best to your ability. You were down, but certainly never out of the boxing ring.

Look around you, how many world leaders were brought up by single mamas?

This thread is not a cry out of desparity for marriage. It is an attempt by a single to try and educate people on the woes they go through as a result of their status by your type.

So take a breath and vamoos.

Bravo to all the single ladies in the world.
Karucee Unakunywa kinywaji gani vile nitume mtoto akuletee....... well said
 
Last edited by a moderator:
Sikubaliani na wewe kabisaaaa wanarudianaga hawa kisingizio babawatoto wako wa zamani.

Yaani huo ndio udhaifu mkubwa wa single moms ulipo endapo inatokea anaolewa...yaani lazima inafikia hatua anakumbuka jinsi alivyokuwa anagegedwa...anatamani kukumbushia. Hili jambo linawa-cost sana kumpata mtu wa kuwa-oa...Ni ngumu..kumesa kwa kweli japo wengine ni watamu sana.
 
mi nasoma komenti tu ila kiukwel kwenye kupasha kipolo hilo halina ubishi mi nna ma ex wa enzi hzo toka tuko o level na wengine washaolewa ila kwenye suala la kukumbushia hawanyimi aisee ndo mana ht sijui ntaoa lini mamaeh'
 
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni

Ni kitu kinachogusa sana mtu kama hayajamkuta hawezi kujua uchungu wake,kama sio yeye hata mwanae yaweza mkuta
 
single moms mi ndio ugonjwa wangu. mwanamke akijifungua mtoto wa kwanza katika mazingira yasiyo ya dhiki anakua mzuri kweli. kwasababu kwanza kama alikua kimbaumbau akiishajifungua nyama nyama zinakuja basi raha tupu.
Tatizo ni moja tu wengi wanajiuza au walishawahi kujiuza si unajua mziki wa kulea tena. sasa ukiwa nae ni pasua kichwa wale wateja wake wakiwa wanajaribu kurudi.
Da demu wangu nikimkumbuka natamani kulia ila uvumilivu ulinishinda sasa hivi kapata jamaa ana hela ana simamia show za ada za mtoto nabaki kuumia roho nikicheki status zake kwenye whatsapp na picha zao wenyewe.
Ila sababu nilimpenda basi Mungu aendelee kumbariki na mtu wake mpya ila atulie manake waga bado ananitumia msg za kunitukana na kulialia mi namchunia. sasa akiachwa na hapo navyomjua anaweza akajiiua
 
taratibu tu tutaelewana hapa hapa, hii topic mpaka tupate conclusion maana hizi mada tumezichoka kila siku zinajirudia, ni lazima ukweli usemwe ili anakwenda kupanuwa kiholela k yake kabka hajaolewa ajuwe wazi kabisa kifuatacho itv ni nini, na nini mtazamo wa wanaume walio wengi.

maana sasa hivi kuzaa kabla ya ndoa imegeuka kuwa fasheni, mtu upo kwenye siku za hatari mwanaume anakudanganya atakojolea nje alikudanya nani mwanaume wa kiswahili achomoe boro akojoe nje? sasa kwa wale ambao bado mko fresh someni thread kama dibaji kwenu.

Huu uzi ni somo kubwa kwa ambao bado hawajaitwa mama kama huu ndo msimamo wa wanaume wengi katika jamii mabinti tujitunze sana kusubiri mtu sahihi atakayekufanya uitwe mama ndani ya ndoa kwa heshima zote
single momz nawaheshim sana msikatishwe tamaaa na kina makomana mnayo second chance
 
Huu uzi ni somo kubwa kwa ambao bado hawajaitwa mama kama huu ndo msimamo wa wanaume wengi katika jamii mabinti tujitunze sana kusubiri mtu sahihi atakayekufanya uitwe mama ndani ya ndoa kwa heshima zote
single momz nawaheshim sana msikatishwe tamaaa na kina makomana mnayo second chance

Kujitunza ni kusubiri tendo hadi kwenye ndoa I hope
 
Huu uzi ni somo kubwa kwa ambao bado hawajaitwa mama kama huu ndo msimamo wa wanaume wengi katika jamii mabinti tujitunze sana kusubiri mtu sahihi atakayekufanya uitwe mama ndani ya ndoa kwa heshima zote
single momz nawaheshim sana msikatishwe tamaaa na kina makomana mnayo second chance

nakwambiii kwa maneno ya humu mi hata 'kufanya' nimeacha...
 
kuna watu waajabu sana mkuu.
Yaan mwanamke kwa starehe zake na kiherehere chake na minyege yake akawa anavuavua hovyo chupi huko kisa tu kaahidiwa chips kuku na soseji hakujua kuwa kuna mimba? Hakujua kuna kuolewa? Leo amezalishwa huko anataka et mm ndio nimuoe kudadek peleka kulekule alikokuwa anatanua miguu alaaa! Nataman hata kuyazima makofi ningekuwa nawaona aaaaghrrrr!

Hao masingle mom baba zao walikuwa wanaongea hivi hivi kama wewe unavyoongea! Dunia ni mduara binti zako wanaweza kuwa ma single mom coz ya laana kama hizi. Be careful!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom