Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
kwi kwi kwi mi aje mtu aniambie ohooo baby nibeeee mimba yangu blah blah nahisi nitamnyonga tu lol

yani tena zile eti hadi upate mimba ndo uolewe loh...single moms wana changamoto sana,mi siju kama ntaweza aisee,mana dah kukuza mtoto mwenyewe and with all this stigma uuh,Mungu awape nguvu
 
yani tena zile eti hadi upate mimba ndo uolewe loh...single moms wana changamoto sana,mi siju kama ntaweza aisee,mana dah kukuza mtoto mwenyewe and with all this stigma uuh,Mungu awape nguvu

tena hiyo ndoa ya kupata mimba hadi uolewe ndo mbaya waweza ukabeba na ndoa usipate kama hataki kuoa aendeee zake
siku zote nao single mamz waliwaza hivyo hivyo kwamba mi sitaweza lakini ukishaitwa mama akili lazima ichemke kuhakikisha malaika wako yuko happy kama other kids hata kama sio kwa100%
 
Kama hujaolewa na unaendelea kungonoka bila kinga jua wewe una probability ya kuwa single mom mtarajiwa. Otherwise ujiandae kuwa muuaji. Hapa kuna exception ya wajane,na wale wa domestic violence, na normal divorce.

So ni vyema uache uzinzi maapema au utumie condom
 
kuna watu waajabu sana mkuu.
Yaan mwanamke kwa starehe zake na kiherehere chake na minyege yake akawa anavuavua hovyo chupi huko kisa tu kaahidiwa chips kuku na soseji hakujua kuwa kuna mimba? Hakujua kuna kuolewa? Leo amezalishwa huko anataka et mm ndio nimuoe kudadek peleka kulekule alikokuwa anatanua miguu alaaa! Nataman hata kuyazima makofi ningekuwa nawaona aaaaghrrrr!
Kuna watu mnatuabisha kua group moja la "uanaume"
Yaani unaona kama kila MTU anafanganywa na hvyo vichipsi?
I have to be honest I real hate to have arguments au any kind if discussion na small minds
U a an idiot aisee umeandika utoko mpaka nashindwa kuelewa kama kweli una ubongo kichwani
We umetembea na wanawake wangap mpaka Leo?
Huo usafi we nu uko wp
 
Haya ninayoongea sio kwamba nawavamia Vaislay na Morg peke yao hata dada yangu wa mwisho alipata mimba akiwa kidato cha tatu wakat baba yangu na uzee wake alikuwa anamlipia ada zaidi ya mil1 nikasimamia hlo varangati wakat mzee anampa notice za kumwondoa ktk orodha ta watoto wake na kumfukuza aende anakokujua yeye hata mm nilikubali na kumuunga mkono baba kwasababu aliifedhehesha familia na kuidhalilisha akafie mbele huko na umalaya wake nyamaaf

Na unajisifia kabisa?
 
Last edited by a moderator:
tena hiyo ndoa ya kupata mimba hadi uolewe ndo mbaya waweza ukabeba na ndoa usipate kama hataki kuoa aendeee zake
siku zote nao single mamz waliwaza hivyo hivyo kwamba mi sitaweza lakini ukishaitwa mama akili lazima ichemke kuhakikisha malaika wako yuko happy kama other kids hata kama sio kwa100%

...that's my girl,...asikudanganye mtu hata siku moja., Kama hataki ndoa kabla ya mtoto aende zake!!
 
Kama hujaolewa na unaendelea kungonoka bila kinga jua wewe una probability ya kuwa single mom mtarajiwa. Otherwise ujiandae kuwa muuaji. Hapa kuna exception ya wajane,na wale wa domestic violence, na normal divorce.

So ni vyema uache uzinzi maapema au utumie condom

Pokea like x1000
 
taratibu tu tutaelewana hapa hapa, hii topic mpaka tupate conclusion maana hizi mada tumezichoka kila siku zinajirudia, ni lazima ukweli usemwe ili anakwenda kupanuwa kiholela k yake kabka hajaolewa ajuwe wazi kabisa kifuatacho itv ni nini, na nini mtazamo wa wanaume walio wengi.

maana sasa hivi kuzaa kabla ya ndoa imegeuka kuwa fasheni, mtu upo kwenye siku za hatari mwanaume anakudanganya atakojolea nje alikudanya nani mwanaume wa kiswahili achomoe boro akojoe nje? sasa kwa wale ambao bado mko fresh someni thread kama dibaji kwenu.
HV huo uhalali Wa kusema wanaenda kupanua miguu hovyo unaupata WAP ilhali hata mkeo/mpenzio hujamkuta bikra?
Mbn watu wapuuzi kiasi hcho?
 
Stop right there.

Umetumia lugha flani ya dharau kama umeshikiwa bango uoe single lady.

Ngoja nikuambie, I am a married womam but I have all the respect for single moms. It aint easy.

And being single does not mean you were loose or a husband snatcher. It means you are single because life made ypu single and you will not cry over spilt milk.

Instead you will pick the pieces, wipe off the dust and strive to make it work so that your kids will have the best to your ability. You were down, but certainly never out of the boxing ring.

Look around you, how many world leaders were brought up by single mamas?

This thread is not a cry out of desparity for marriage. It is an attempt by a single to try and educate people on the woes they go through as a result of their status by your type.

So take a breath and vamoos.

Bravo to all the single ladies in the world.

Duuuu we mwanamke
mungu akubariki sana
 
Kama hujaolewa na unaendelea kungonoka bila kinga jua wewe una probability ya kuwa single mom mtarajiwa. Otherwise ujiandae kuwa muuaji. Hapa kuna exception ya wajane,na wale wa domestic violence, na normal divorce.

So ni vyema uache uzinzi maapema au utumie condom

Ulisubiria mpaka ndoa?
 
Huu uzi ni somo kubwa kwa ambao bado hawajaitwa mama kama huu ndo msimamo wa wanaume wengi katika jamii mabinti tujitunze sana kusubiri mtu sahihi atakayekufanya uitwe mama ndani ya ndoa kwa heshima zote
single momz nawaheshim sana msikatishwe tamaaa na kina makomana mnayo second chance

siwakatishi tamaa ila nawaambia ukweli...
..........nikiwapa moyo ni sawa na kumwambia mgonjwa wa ukimwi kuwa utapona na wakat ukweli ni kifo..........
 
nakwambiii kwa maneno ya humu mi hata 'kufanya' nimeacha...

ni heri nichukiwe na wengi lakin lazma niseme ukweli ambao upo kwa wanaume dhid ya single mums.......
Tusilee ujinga yaani sku hiz kila kischana cha miaka 22-25 kina mtoto.
Tunasifia watu waendekeze uzinzi shiiiit!
 
Well said mkuu, lakini angalia kwa upande mwingine ikiwa wewe ulishakuwa na mtoto na mwanamke mwingine, je huyo mpenzi wako akubali kuolewa na wewe au naye awe wa mwisho kuolewa na mwanaume mwenye mtoto before mariage?
ofcoz mimi sijawahi kuwa na mtoto, na pia najitahidi nisipate mtoto na mtu ambaye si mtarajiwa wangu. kama ikitokea, will try my best nimuoe huyo mama wa mtoto wangu, hata kama ni kwa sababu ya mtoto poa tu. kama ikitokea nimeshindwa kumuoa mama wa mtoto wangu, ndo naweza kuchagua kumuoa mwanamke alozaa na mwanaume mwingine. hapo itakuwa ngoma droo, na si vinginevyo.
 
kwi kwi kwi mi aje mtu aniambie ohooo baby nibeeee mimba yangu blah blah nahisi nitamnyonga tu lol

komaa kama umri wako bado unadai, usikubali mimba kabla ya ndoa.

ni bora uwe senior bachelor kuliko kuzaa kama chura. nitakuelewa ukiwa single mom kama klyn wa bwana machache. pale hata dada yangu nitamshauri do it worry not.
 
Kuna watu mnatuabisha kua group moja la "uanaume"
Yaani unaona kama kila MTU anafanganywa na hvyo vichipsi?
I have to be honest I real hate to have arguments au any kind if discussion na small minds
U a an idiot aisee umeandika utoko mpaka nashindwa kuelewa kama kweli una ubongo kichwani
We umetembea na wanawake wangap mpaka Leo?
Huo usafi we nu uko wp

yaani ww ndio naweza kukuita ni mnafiki mkubwa.
Kama unawapenda mbona hujaoa single momz?
Usiupotoshe umma kwa kuuficha ukweli ww mwenyew hata kama hujaoa huwez kuoa single momz.
Sasa hvi unawapa moyo ili waendelee kuzini na kuzaa.
..........acha kuwa mzigo nanga.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom