General point:
Jambo nililojifunza kwa miaka hii michache niliyoishi duniani hapa;
Love hath no definition nor formula.
Utakapojikuta unampenda mtu, utastaajabu yale uliyokuwa unayaponda ndo yanakuvutia kwake.
Back to topic:
Hivi, hili suala la mama kwenda kuchukua fedha ya matumizi kwa mtu mwingine ilhali kaolewa kwingine linatokeaga wapi? Mimi nimezoea kwamba ukiolewa, anayekuoa anachukua majukumu yote ya kulea nyumba au? Maneno ya oooh sijui vikao vya shule ataenda na baba yake na mkeo, au akiumwa sijui nini...I don't htink ni sahihi ndiyo maana naona vijana wengi wanatoka povu hapa.
My stand is, nimekuoa - nimependa boga na ua lake - nitachukua jukumu la baba kwa mwanao. Mimi ndiyo baba. ALL and I repeat ALL CORRESPONDENCIES (be them to your kid or my wife) zipitie kwangu hadi pale mtoto atakapofika 18 years.
Nje ya hapo hujaoa single parent umekuwa co-parent tu.
Second, raise your kids to respect each other bila kusema huyu wa fulani na huyu wa fulani (it begins with you..parents). Mkianza tu kuwatenga..problems.
Mwisho,
Makomana et al, usitukane mamba na hujavuka mto..am just saying!
Cc:
Mtambuzi - jamii inahitaji tena lecture yako ya kutokuwa defined kama jamii inavyotaka.