Natumai hao wote ambao hawajazaa kama sisi wametulia sana , wanawasubiri nyie tu,ndo mana pia hamlalamiki na micharuko wala magumegume..unakumbuka ulivyokuwa unarukaruka kama kinda la ndege ulivyokuwa hujazalishwa. Sasa hvi umekutana na vidume vya kazi vimekushona mimba umezalishwa nyumban unajifanya umetulia kumbe ni dunia imekufundisha uache kuruka ruka.
Ulifikir kula chips yai, chipsi kuku na soseji na bagga ni mchezo?
Matokeo yake ndio hayo kuzaa ukiwa nyumban
Kashfa na dharau katika maisha ya sasa hayaitajiki,bado unaishi hujajua nini kipo mbele yako,watch ur mouthww ndio huna uelewa unajua tupo na nani wenye msimamo huo? Nikiwataja unawaju??
Haya mm na Hamisi pamoja baba yako mdogo hatutaki kuoa single mom. Je umeridhika??
Kama ulizaliwa na single mom ww sema tu mm ntakuwa baba yko kwa kipindi hiki.
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...
Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako
Wewe unaweza kulea mtoto wako ila wengi wao huwa wanataka mtu awasaidie kulea watoto wao
Jamaa aliekuzalisha anaweza kuwa bado anakula tunda mkikutana hii inawatua wanaume wengi mashaka wakitaka kuoa wanamama wenye watoto
Childish boooooooooooooooooooooooooooooooooooooo:baby::baby:ahahahaaaaa! Huna uwezo wa kunilisha ww hata kidogo. Mm sio mtoto kama unavyofikir na pia sio mtu mzee ila ni mtu ambaye najiweza na nina uwezo wa kukusitiri ww pamoja na mwanao pamoja jamaa yako aliyekukimbia sawa!......
Ungekuwa na uwezo ww usingedanganywa kwa chips kuku na soseji mpaka ukapata mimba.
I have three kids, na ni majuzi tu, kuna mtu alinipendaaaaaaa na hakujali issue ya watoto, ten anilimdanganya am divorced, mbona alikwenda ofisini kwa dad wangu kutak akutoa posa, baba nusu aaanguke kwa kiifafa maana anajua bado mie ni muke ya mutu!
Nataka kukwambia dadangu kuwa na subira, na wote mlio single moms, wanaume wapo, tena wa maana tu, imagine tena huyo kaka tumepishana mwaka tu, na amedata mbaya, hataki kuamini that am married!
mbona kama unaongea bila kufikiria ndugu.?
Nimekupenda bure sweetheart....unaongea vitu adimu hadi nasisimka. Nakuombea maisha marefu na wengine wanufaike zaidi na zaidi kwa busara zako...
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...
Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako
Naomba nikueleweshe kitu kimoja mdogo wangu,Single mama sio lazima awe amezaa na mtu af wakaachana,anaweza akawa hata yule ambaye kafiwa na mume analea watoto au mtoto mwenyewe..unakumbuka ulivyokuwa unarukaruka kama kinda la ndege ulivyokuwa hujazalishwa. Sasa hvi umekutana na vidume vya kazi vimekushona mimba umezalishwa nyumban unajifanya umetulia kumbe ni dunia imekufundisha uache kuruka ruka.
Ulifikir kula chips yai, chipsi kuku na soseji na bagga ni mchezo?
Matokeo yake ndio hayo kuzaa ukiwa nyumban
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...
Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako