Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Je hujawahi kuzini?au kwa kuwa mwanaume habebi mimba Ndio maana unanyoosha kidole kwa hao?

Hilo swali halina tija hapa, Na wala sijanyoosha kidole kwa single parent yeyote. Kwangu ni mtizamo tu kuwa ni vizuri nikiwa na mtoto basi nitafute kwenye mtoto ili iwe rahisi kuzounganisha familia mbili...
 
Umbuje,summary plz!!
Nini kinaongelewa hapa?

umbuje kama ukisoma post zote kama mimi, na ninavokujua ulivyo na hasira za karibu, kuna watu unaweza kuwatukana hapa.....kuna wananchi wanabeza single mums, bila hata kujua chanzo na umhimu, au historia yao....basi tu, lakini ukimsoma twin wako Vaislay na Morg baasi utaelewa umbuje....sasa sijui hii ni samare au na yenyenyewe ndefu na inakera (wanasemaga fupi tamu eti)
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo mchepuko, Nadhani nimekuelewa sanaaa....am always proud of myself and my kid,Am happy na usingle mama, kwanza ndo kwanza nazidi kupata changamoto za kutafuta kwajili ya mwanangu...Happy mee....

Sweetheart usiumie kwa maneno yao mabovu

Changamoto zipo hta wenye ndoa wanajua
Relationship nazo changamoto zip
Usiseme kwa sis single changamoto laki kumi kuwa ni kicheche
Wanadamu ndo tulivyoumbwa hat ufanye lipi lazima wapo watakaokuponda baby
Puuzia maneno yao stand alone move forward kwa maisha yako na mwanao..

Be proud to be a mom weng wanatafuta wanakosa mshukuru Mungu
 
Kwann ulimuacha kama bado unampenda?
Ujinga huo badala ya kumuheshim jamaa anafanya kazi uliyoishindwa unaleta hzo dharau
Trust me nikioa mwanamke ana mtoto
Mwanae atatibiwa kama wanangu
Atasoma kama wanangu
Hataki ataishi nje ya nyumba yangu
Hzo tiba zako za India sijui japan zilikua wp wakat una kana/unamuacha?

ukisikia utoto ndio huu unaoleta wewe, usifikiri kila waliozaa hawajaoana kwa sababu hawapendania, umri wako bado mdogo ndio maana unadandia vitu kama treni tu.

kaa duniani kwanza uijuwe dunia unadhani aliyetaka kumuoa Vicky kamata hakujuwa kama Vicky ana watoto? mjinga sana wewe acha kuparamia vitu kabla ya kupata historia ya mtu ni kwa nini yupo kama ulivyomkuta?

mimi kamwe siwezi kusomesha mtoto wa mwanaume mwrnzangu over my dead body, mimi siyo UNICEF na kama huruma natoka familia yenye maskini wengi tu ambao nao wanahitaji msaada.

I only understand to care mtoto/watoto ambao baba yao amekufa au hajurikani na ndio maana kuna watoto wanatumia ubini ea mama zao.

hivi demu limezaa na ndama mutoto ya ng'ombe eti wewe ndio ujifanye ndio baba eti unamsomeshea mtoto ipo siku utapigwa boro wewe na huyo uliyedhani ni mke wako. ujinga mwingine hauitaji degree kujiepusha nao. zaa mtoto wako, achana kabisa na damu ya mtu mwingine?

nyinyi watoto viboro dinda kuna wakati lazima tutumie kauli kali kuwaweka kwenye mstari kwa sababu hamna akili mnaongozwa na nyege tu,

ngoja nikupe mkasa mdogo sana my first born alipozaliwa baada muda alipata matatizo ambayo hayana tiba hospital bali yalihitaji mila na kumponya ni shangazi mtu ambaye ni dada yangu na picha mimi na yeye haziivi kabisa, kwakuwa yeye ndio alikuwa amebaki Tanzania na yuko mkoa ilibidi nimtumie ticket ya ndege return ili aje na kweli alichoelekezwa kufanya kilimponya my first born na tangu siku hiyo huyu dada ni mdogo kwangu nilimaliza beef naye na tunacheka mpaka kesho maana sikuwahi kuamini kama kuna siku ningemuhitaji maana mkubwa wake ambaye ndio tunaiva sana yuko Germany, ilikuwa ni gharama kubwa kumleta kwa kitendo cha dakika 10 tu.

hapa jf kuna watu mahodari sana kuropoka emotion zao lakini hawana life experience. nawasikilizaga sana hata wanabongo fleva wakiambiwa watoe shukrani utawaskia tu kwanza mwenyezimungu pili mama yangu, majinga mengine hayajuhi hata baba zao kwamba walifungwa jela ili yeye na mama yake wapate matunzo mema.
 
umbuje kama ukisoma post zote kama mimi, na ninavokujua ulivyo na hasira za karibu, kuna watu unaweza kuwatukana hapa.....kuna wananchi wanabeza single mums, bila hata kujua chanzo na umhimu, au historia yao....basi tu, lakini ukimsoma twin wako Vaislay na Morg baasi utaelewa umbuje....sasa sijui hii ni samare au na yenyenyewe ndefu na inakera (wanasemaga fupi tamu eti)
Hilo la kutukana mtu nililiona mapema niliposoma mtu akiwaita single moms wazinzi!!!
Nikaona niombe summary kabla sijapewa ban ya milele.
Shukran umbuje,ila kuna siku wataelewa. Yasipowakuta Wao basi jamaa zao.
Mungu hayuko likizo.
 
Last edited by a moderator:
Hilo swali halina tija hapa, Na wala sijanyoosha kidole kwa single parent yeyote. Kwangu ni mtizamo tu kuwa ni vizuri nikiwa na mtoto basi nitafute kwenye mtoto ili iwe rahisi kuzounganisha familia mbili...
Kuna kauli ulisema kuhusu kukitembeza Ndio maana nikakuuliza hili swali. Unaona halina tija coz vidole vitatu vimekuelekea. Okay bye enjoy responsibly
 
Kaizer umesema kweli mkuu...mi nawapongeza sana single moms and fathers pia,wanajua thamani ya watoto,
mi itokee nipate ujauzito nitamtunza mwanangu kwa kweli kwa hali na mali ,ila uhh naogopaa esp baba mtu akigoma lohh,
Makomana haki vile usitukane mamba hujavuka mto,kuoa bado hata hujui kama mkeo ataweza zaa,ungemkuta na mtoto usingempenda huwezi jua kasha sacrifice wangapi

nakupenda sana nataka uwe mke wangu..........
Suala la sacrifice ya huko nyuma atajua yeye na Mungu wake. Hata hao waliozaa wengne wamezaa baada ya mimba kugom kutoka na wengne wamezaa baada ya kutoa mimba nyingi mno. Hilo msitetee mtu naweza kuwaombea Mungu na kuwahurumia wale wajane tu
 
Last edited by a moderator:
nimeona picha tu lakini sijafuatilia story yenyewe mkuu!!

Basi hebu ukipata muda pitia ule uzi, kuna na mwingine umeanzishwa poa siasani kumhusu, kisha urudi hapa kiroho safi kiongozi
 
Inaonekana bado kuna stigma kubwa sana na single moms, hadi watu wanashindwa kuangalia upande wa pili wa sarafu. Na hii stigma inawafanya baadhi ya wanawake kung'ang'ania failed relationships kwa kuogopa kuwa single parents. Unaongeleaje wale ambao wamekuwa single parents labda baada ya kuwa in an abusive relationship wakaamua kutoka, na wale waliobakwa na kutelekezwa je? sizani kama wote ni wabaya Tatizo ni hawa ambao wamezaa na waume wa watu, au wale waliozaa na watu wenye pesa na kutumia watoto wao kama mitaji. Everybody deserves a second chance in life, na kila mtoto anahitaji father figure Single moms don't lower your standards just to be with anybody, you deserve better


Asante mjasiriamali......nimeshindwa kumalizia
 
Dawa ni kuongeza kuwasusia ili mrudiko huko, make mna ka mtindo ka kuendeleza mgegedo.
 
Vaislay n Morg hongeren kwa kuwa single mom
Nashangaa watu wanaowaponda single mom oooh huolewi or sprepa or umeshashusha injini kakuambia nani?
Maneno tu ya wakosaji

Wadada kbao tunawafahamu hawajazaa ila wametoa mimba laki kumi hadi kizazi kimelegea....
Wanaume kibao wanasindikiza na kutoa pesa za kutoa mimba....ila kwa kuwa sisi binadamu tunaona pouwa ila aliyezaa ndo mbaya

Ama kweli kunya anye kuku akinya bata bhasi kaharisha
Nina mifano ya single dady n mom wanalea watoto wao vzur tu

Hawa ni wanawake mashujaa kama wanatambua wanachokifanya hasa kwenye malezi na kutokurudia kosa kwa means most of single mom wanapata shida sana

Sweetheart achana nao...hawajui hata wanachokiongea hao
 
Last edited by a moderator:
Sweetheart usiumie kwa maneno yao mabovu

Changamoto zipo hta wenye ndoa wanajua
Relationship nazo changamoto zip
Usiseme kwa sis single changamoto laki kumi kuwa ni kicheche
Wanadamu ndo tulivyoumbwa hat ufanye lipi lazima wapo watakaokuponda baby
Puuzia maneno yao stand alone move forward kwa maisha yako na mwanao..

Be proud to be a mom weng wanatafuta wanakosa mshukuru Mungu

My kipenzi,mie tena niyumbe na comments za watu? wanajua nlikotoka na nilikopita mpaka leo hii niko hapa?
Am strong enough ,ndo mana nikaweza kusema kabisa mimi ni singo mamaa,
Namshukuru Mungu kila siku kwa kunipa uwezo wa kumiliki dume la shoka...
Am so fine darling
 
Unajua wanawake mnatupasua kichwa sana, hivi unamuongeleaje Mwanamke ambae alipendwa, tena kwa dhat na Mwanaume wa mtaani kwao, Ofisin ama hata college, kisha kwa sababu tuu ya hali duni ya mshkaji, mdada akamkataa kata kata, na badala yake akatanua miguu kwa Mwanaume mwingine kisa tuu huyo yy anapesa za kumzidi jamaa, kufika huko baada ya kutumika, dhaman yake ikashuka, akapata Mimba, jamaa akaikataa, kisha mama kajifungua mwana. Technically huyu ni single Mama, nae akirudi kwa Yule jamaa wa zamani, afu mshkaj akamchukulia kama Mfa Maji anaetapa tapa kutafuta baba wa pili, Utamlaumu Mwanaume?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom