Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
haipendezi bana kwani huyo ulonaye sio mzazi mwenzako?? wakat mwingne unakuta na wewe unamtoto lakini bado tu utasikia naenda kwa mzazi mwenzangu inachosha sana hii

nyoosha maelezo unataka aitwaje? nguruwe?
 
mi nakunywa juice tu ichana
Kaizer mwambie mhudumu ampe huyu juice anazotaka ....party iendelee
Naona anajichanganya baadae atadai Bavaria ...akicheza kidogo atataka wine or reds lol
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ni kamanda wangu, japo yupo teamB Na Mie teamR....usijali mpe company jumaa hii...si ulikataa kuja pande zangu!!

eli jamani pande zako panya road wengi na kaizer team b anaweza kunigeuza kitoweo you know
 
Last edited by a moderator:
Kaizer mwambie mhudumu ampe huyu juice anazotaka ....party iendelee
Naona anajichanganya baadae atadai Bavaria ...akicheza kidogo atataka wine or reds lol

kuna kawaini nilipewa zawadi kamenishinda hapa kapo kama pambo room kwangu lol
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi tuwakamate mkatusaidie kuisaka aiseee
si tulijificha kwenye kiloba cha mzigo si unajua mambo ya kuzamia kwenda beijing,tukajkuta tumeangukia tz tena,hao wengine sijui walielekea wapi
 
Mshaharibu Uzi kwa stori zenu za kichitchat....kwaherini hadi hapo tutakapokutana tena kwa mada nyingine. By the way Ninampango wa kufungua club ya single moms kwa DSM ikiwa na lengo la kutiana moyo kuhusu kukabiliana na changamoto zote tulizoziona hapa, pia kuielimisha jamii kuhusu kuwakubali na kutowaona wa ajabu. Nikiwa tayari nitawajulisheni wale SMs wa hapa JF ili mje kuunganisha nguvu ktk hili
 
Kaizer mwambie mhudumu ampe huyu juice anazotaka ....party iendelee
Naona anajichanganya baadae atadai Bavaria ...akicheza kidogo atataka wine or reds lol

halafu imagine akishakunywa iyo makitu atataka nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom