Single LADIES and LADS. . .

...ni kujitwisha kabati la matatizo.
...:A S-coffee:
Hahahaha. . . . .
Sasa Mbu ulipewa nguvu za nini za nini kama sio za kubeba mizigo? Ustahilivu nao wa kazi gani kama sio ili usiogope matatizo?
 
...lol....hebu wewe mwenyewe angalia hayo uliyoyaorodhesha
yanayopatikana kwenye ndoa!

  • nguvu ['ajira' hii malipwa yake nini?...]
  • mzigo
  • ustahmilivu
  • kazi
  • matatizo
....utanishawishi kuoa kweli?

Uchumba ni njia ielekeayo ndoani. . .

...na mara nyingi 'njia' hupambwa kwa mashairi, nyimbo, matarumbeta, maua na mandhari zote za kuvutia...
fika uendako uone cha mtema kuni!
 
...lol....hebu wewe mwenyewe angalia hayo uliyoyaorodhesha
yanayopatikana kwenye ndoa!

  • nguvu ['ajira' hii malipwa yake nini?...]
  • mzigo
  • ustahmilivu
  • kazi
  • matatizo
....utanishawishi kuoa kweli?

Hahahaha. , . .

Sasa hayo sindo yanayokamilisha "for better OR WORSE" Mbu? Kama hayakutakiwa kuwamo kwenye ndoa basi watu wangeahidia kuwa pamoja wakati wa kheri tu.

Alafu mi akili ilikua imeanza kukaa pande hii, sasa umeanza kunitisha.
 
Awe jambazi, tuzae watoto wezi, tuishi wote polisi!!! Asiwe mchawi, kutolewa kafara sitaki........yeah! GAME OVER!!!
 
...lol....hebu wewe mwenyewe angalia hayo uliyoyaorodhesha
yanayopatikana kwenye ndoa!

  • nguvu ['ajira' hii malipwa yake nini?...]
  • mzigo
  • ustahmilivu
  • kazi
  • matatizo
....utanishawishi kuoa kweli?

Unaniangusha 'jembe langu'!!
 
Hahahaha. , . .

Sasa hayo sindo yanayokamilisha "for better OR WORSE" Mbu? Kama hayakutakiwa kuwamo kwenye ndoa basi watu wangeahidia kuwa pamoja wakati wa kheri tu.

Alafu mi akili ilikua imeanza kukaa pande hii, sasa umeanza kunitisha.

...mnh, naona for worse imezidi mlingano wa uzito!...
Lizzy wewe una encyclopedia ya mambo haya, worry you not!
 
Hahahaha. , . .

Sasa hayo sindo yanayokamilisha "for better OR WORSE" Mbu? Kama hayakutakiwa kuwamo kwenye ndoa basi watu wangeahidia kuwa pamoja wakati wa kheri tu.

Alafu mi akili ilikua imeanza kukaa pande hii, sasa umeanza kunitisha.

Omwana yoyo.....omulungi mama!!
 
Mimi kwa sasa sina mpango sababu bado nahisi kua najitosheleza emotionaly, sihitaji complement.
Bado najigundua mwenyewe, alafu baadae nitajaribu kuona mtu gani atanifaa (if ever)
 
Duh, kazi ipo?? Kusema ukweli,nilikuwa naweka vigezo,tatizo langu naweza kukutana na mtu hana hata kigezo kimoja nilichoweka na nikampenda vibaya mno.....!! Ngoja nifike 30 ndo akili itakuwa hasa inajua ielekee upande upi....dearest, just curious,why???
 
Mimi kwa sasa sina mpango sababu bado nahisi kua najitosheleza emotionaly, sihitaji complement.
Bado najigundua mwenyewe, alafu baadae nitajaribu kuona mtu gani atanifaa (if ever)

Utakuwa pacha wangu uliyeuzwa na nesi...niliambiwa hivyo...lol....mi pia nafikiri niko kwenye umri wa kujigundua nataka mume wa namna gani huko mbeleni.....!!
 
Back
Top Bottom