Single LADIES and LADS. . .

I won't dissapoint you dearest. Ntautumia ujasiri wako ipasavyo. . . lolz.

Hehhehehehe yani dearest kama mimi tu. Kua siku naamka sijisikii kupika na ntashibda au hata kulala bila kupika, kuna siku najisikia kujifunika tu na blanket nihangaike na tv au mtandao, yani nikifikiria kuwa na mtu mwingine ambae atanilazimu (kama sio mwelewa) nimweke yeye mbele muda wote naishiwa nguvu. Sijui ni ubinafsi au nini, ila napenda kufanya mambo nnapopenda mimi na sio nnapotakiwa kama inavyokua kwenye mahusiano mengi. Tunahitaji maombi aisee. . .lolz.

Yaani dearest, sipendi vurugu vurugu kabisaa, i want to be in control ya maisha yangu....imagine siku umechoka unataka kwenda sehemu kupumzika mumeo anakataa, unataka kulala hadi saa nane,mama mkwe yupo unaogopa mwanae akiamka kuandaa chai atasema umemwekea limbwata...aaaahhhh, my freedom is my disease....nimeshaombewa sana dearest,Mungu ana sababu ya kutuumba hivi bwana,perhaps atatupa wenzi waelewa.....!!
 
Una mpango wa kuoa/kuolewa?
*Kama ni NDIO. . . je ni VIGEZO gani ambavyo vikifikiwa na mkaka/mdada utashawishika/penda kuingia ndoani?
Awe mpole nitampenda sana ila waluwalu inakula kwake.
 
Yaani dearest, sipendi vurugu vurugu kabisaa, i want to be in control ya maisha yangu....imagine siku umechoka unataka kwenda sehemu kupumzika mumeo anakataa, unataka kulala hadi saa nane,mama mkwe yupo unaogopa mwanae akiamka kuandaa chai atasema umemwekea limbwata...aaaahhhh, my freedom is my disease....nimeshaombewa sana dearest,Mungu ana sababu ya kutuumba hivi bwana,perhaps atatupa wenzi waelewa.....!!

Hahahahaha. . . . Mtu unaweza ukawa kama mfungwa bila kuwepo jela dearest. Yani hayo ya sijui nduguze wako pale ndio kabisaaaaaaa. . .bora hata akiwa yeye tu unaweza ukakaidi mara moja moja. Wakiwepo watu wengine unaishia kuamka tu kuepuka maneno na aibu. Inaboa kweli.

Tuombe aisee tuwe tumeandaliwa WATEULE. . . .lol
 
Una mpango wa kuoa/kuolewa?

Kama jibu ni HAPANA . . kwanini?
Kama ni NDIO. . . je ni VIGEZO gani ambavyo vikifikiwa na mkaka/mdada utashawishika/penda kuingia ndoani?
Na ni MASHARTI (usichukulie neno masharti kwa uzito wake, namaanisha vitu ambavyo ni muhimu kuzingatiwa) gani ambayo yakizingatiwa unaamini ndoa yako itadumu?

Me?
Sijaoa,but nategemea kabla ya 2015 niwe nimeoa.

1.Nataka (thought yupo tayari) awe mtu aliye na hofu ya Mungu,na aliye mchagua Yesu
kuwa Advocate wake.
2.Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote kile
3.Awe mvumilivu wa kila hali.
4.Awe tayari kumpenda mtoto wangu na kukubali kuishi nae bila kumpa kero yoyote
(Otherwise hatuta elewana kabisa)
5.Akubalike na mama yangu kwanza.
(She always tell me,sitakuchagulia mke,ila wanawake "tuko" hivi na hivi na hivi,...so ni rahisi kwake kufanya assessment)
6.Awe mtu atakae unganisha familia yangu na ya ndugu zangu (kama tulivyo siku zote),asiwe mtu wa kuja kutu tenganisha.
7.AWE NATURAL AISEE (msisitizo zaidi,nahisi kinyaa nikimuona mtu kajichubua na mi-cosmetics and the like).
8.Asiwe mchaga au mpare please.
9.Asiwe mtembea uchi,....(i.e mtu wa vimini n.k).
10.Asiwe goli kipa (mama wa nyumbani tu kusubiri kuletewa kila kitu)
11.Anizoee sana,.....maana niko very strict.

"conditions" ngumu sana,....ila sio naona niliye nae kazipita zote.
Niliweka bandiko humu majuzi tu kwamba kigezo cha mama kakipita,soon tuta halalisha ndoa.
 
Yaani dearest, sipendi vurugu vurugu kabisaa, i want to be in control ya maisha yangu....imagine siku umechoka unataka kwenda sehemu kupumzika mumeo anakataa, unataka kulala hadi saa nane,mama mkwe yupo unaogopa mwanae akiamka kuandaa chai atasema umemwekea limbwata...aaaahhhh, my freedom is my disease....nimeshaombewa sana dearest,Mungu ana sababu ya kutuumba hivi bwana,perhaps atatupa wenzi waelewa.....!!

hahahahaaaa! U make me fall for you gal......MY FREEDOM IS MY DISEASE!! LOL
 
As far as am not a dictator, basi kuna uwezekano wa mie kutokuwa mbinafsi......lol!!!

Mmmh. . .Kakondoo that's practically impossible, given the fact that you wanna be your own boss even when you are not single anymore. You oughtta let your man manage you. . . . lolz
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom