Single LADIES and LADS. . .

...mnh, naona for worse imezidi mlingano wa uzito!...
Lizzy wewe una encyclopedia ya mambo haya, worry you not!

Yeahhh inalemea kwakweli.
Ila unaweza ukajikuta unafanikiwa kupata yenye balance nzuri tu.

Hahahaha. . .Mbu usinidanganye mtoto wa watu. Theoretically naweza nikafanikiwa ila practically, pachungu hapo.
 
Mimi kwa sasa sina mpango sababu bado nahisi kua najitosheleza emotionaly, sihitaji complement.
Bado najigundua mwenyewe, alafu baadae nitajaribu kuona mtu gani atanifaa (if ever)
I see. . .

Duh, kazi ipo?? Kusema ukweli,nilikuwa naweka vigezo,tatizo langu naweza kukutana na mtu hana hata kigezo kimoja nilichoweka na nikampenda vibaya mno.....!! Ngoja nifike 30 ndo akili itakuwa hasa inajua ielekee upande upi....dearest, just curious,why???

Pure curiosity dearest. . .
Siunajua ukitaka dhahabu lazima uchimbe sana.
 
Utakuwa pacha wangu uliyeuzwa na nesi...niliambiwa hivyo...lol....mi pia nafikiri niko kwenye umri wa kujigundua nataka mume wa namna gani huko mbeleni.....!!
Nashangaa watu wanakimbilia, kumbe wanakimbilia mlango wa kutoka, sio wa kuingia. Kumbe na wewe una mapacha aliuzwa? tukumbushane besdei usikute na sisi ni kulwa na doto kama Afrodenzi na Lizzy. lol
 
Yeahhh inalemea kwakweli.
Ila unaweza ukajikuta unafanikiwa kupata yenye balance nzuri tu.

Hahahaha. . .Mbu usinidanganye mtoto wa watu. Theoretically naweza nikafanikiwa ila practically, pachungu hapo.

...lol...inategemea na malengo yaliyokupelekea kuchukua maamuzi hayo (kuolewa)...
 
Mbu malengo yangu hayawezi kunifikisha popote kwenye hiyo taasisi ikiwa ya mwenzangu yatakua hayaendani na yangu.
 
I see. . .

Pure curiosity dearest. . .
Siunajua ukitaka dhahabu lazima uchimbe sana.

Ok dearest, keep it up...i see a lot of similarities and differences here(of the types/qualities of partners we prefer), which is good! Am learning and waiting to see yours!
 
Nashangaa watu wanakimbilia, kumbe wanakimbilia mlango wa kutoka, sio wa kuingia. Kumbe na wewe una mapacha aliuzwa? tukumbushane besdei usikute na sisi ni kulwa na doto kama Afrodenzi na Lizzy. lol

Acha wakimbilie tu, haya maisha usipokanyaga kwa akili,utajikuta umejiwekea kitanzia peke yako mapema kabisaaa kwenye maisha..!
Nina pacha wangu aliuzwa, na tangu siku ya kwanza nilipokuona,nahisi tu unaweza kuwa wewe....tutaenda pima DNA if hutojali...lol
 
Ok dearest, keep it up...i see a lot of similarities and differences here(of the types/qualities of partners we prefer), which is good! Am learning and waiting to see yours!

Hehehe mimi mbona nilishafunguka kwa Gentleman dearest? Au unaongelea kama napanga au la?
 
1,mke awe mcha mungu...akiwa mlokole sifa ya msingi
2,awe anajielewa na kujihamini
3,awe na akili ya hela...katika hili sinto angalia sura
4,awe mcheshi axee napenda mdada mcheshi
5,sitegemei mke kilaza nataka awe anatoa changamoto
6,asiwe vuvuzela coz sipendi mwanamke muongeaji yan makelele kila saa
7,awe rafiki sana kuliko mke
8,asiwe mbinafsi,asiwe na wivu kupitiliza
9,asiwe sista duu,nitaoa nikiwa na miaka 35 mungu akipenda
 
Dada lizzy ulokole wana imani za ajabu anaweza akarudi nyumbani ghafla akasema kupika ni kufuga mapepo si unajua makanisa yana mengi siku hizi, au ghafla akapotea kwenda porini kumpokea mwokozi, nazani ulisikia yale ya airport watu walioenda kutaka kusafiri kwenda kuhubiri injili bila ticket wala viza,

Kuhusu interest zake as long as we are friends nitashare na zake, but ziwe na respect to manhood, i like to have fun and being happy so kila jambo linalotupa furaha wote, i mean mutual benefits nitajoin but isiwe kucheza taarabu...
Mkuu, lbd kama neno mlokole limepata maana nyingine mpya! Vinginevyo huwezi kupata sifa hata moja kati ya hizo ulizoelezea hapo kwa mlokole. Jiulize walokole wamekuwepo miaka na miaka lkn hakukuwa na hivyo vichekesho ulivyoweka hapo. Halafu ni funny kweli kuwa mtu anatanguliza kabisa kuwa hataki mlokole lakini hataji mshirikina ambao wamejaa wala mlevi!!! Kama maana ya mlokole haijabadilika nitaiweka ya kwanza kabla ya sifa nyingine yoyote! Maana mcha Mungu wa kweli ndiye mlokole hasa...
 
Mbu malengo yangu hayawezi kunifikisha popote kwenye hiyo taasisi ikiwa ya mwenzangu yatakua hayaendani na yangu.

...pheeewww, mpoakja sasa tunazungumza lugha moja...Lizzy, mnh! "Gentleman" anabahati kweli :A S-coffee:...
malengo yako, malengo yake na makubaliano yenu....ukiondoa moja hapo utajua sababu yangu yakuikimbia
taasisi hii kwa sasa...

...vitu ambavyo ni muhimu kuzingatiwa...
 
...pheeewww, mpoakja sasa tunazungumza lugha moja...Lizzy, mnh! "Gentleman" anabahati kweli :A S-coffee:...
malengo yako, malengo yake na makubaliano yenu....ukiondoa moja hapo utajua sababu yangu yakuikimbia
taasisi hii kwa sasa...

Hahaha. . . ana bahati wapi bana wakati kaangukiwa wakati yeye hajaanguka.

Uko sahihi kabisa Mbu, kama mkiweza kuwa na malengo yenu badala ya yako na yake, interest/hobby zenu badala ya zako na zake, mahitaji yenu badala ya yako na yake, makubaliano yenu na maamuzi yenu badala ya yako na yake mnaweza mkatamani msife ili hata " 'till death do us part" isione ndani.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hehehe mimi mbona nilishafunguka kwa Gentleman dearest? Au unaongelea kama napanga au la?

He he he he, eti nilikuwa nimesahau....ukishapenda vile ni ngumu kuwa hupangi....mipango utakuwa nayo and i can't wait for it!!
 
me binafsi kama ikitokea leo napewa chance ya kuweka vigezo vya my huby kwakweli nitatulia sana na kumuomba Mungu aniongoze sababu usidhni vyote ving'aavyo ni dhahabu.
 
Hahahaha. . . if only that was the reality dearest. . . ningemsainisha hata cheti kwa bunduki.Lolzz

Kiukweli dearest SIPANGI.
For one simple reason, sijui kama ntampata Gentleman huku uraiani. Kwahiyo bora nisipange ili asipopatikana niendelee kama kawa, badala ya kupanga baadae na mimi niwe wale wanaoingia kwasababu tu ipo kwenye 'MUST do list'.
 
Kila la kheri mwaya, utakachoomba na upewe.
 
Hahahaha. . . if only that was the reality dearest. . . ningemsainisha hata cheti kwa bunduki.Lolzz

Kiukweli dearest SIPANGI.
For one simple reason, sijui kama ntampata Gentleman huku uraiani. Kwahiyo bora nisipange ili asipopatikana niendelee kama kawa, badala ya kupanga baadae na mimi niwe wale wanaoingia kwasababu tu ipo kwenye 'MUST do list'.

Lol, make it the reality...umeshindwa wapi dearest??

Ma- gentleman wapo ila ni wachache sana na wengi kuwapata yahitaji u-date kama kumi hivi kupata mmoja...date with no strings...no sex hadi muamue kuwa pamoja!!
Usipange kutokuingia, kumpata mwenzi ni kitu kinakuja chenyewe usipotarajia,kwahiyo kama unavyoishi sasa endelea hivyo hivyo,akitokea sawa,asipotokea pia sawa maisha yanaendelea...kosa tunalofanyaga ni kuona hakuna maisha bila ndoa,na hili ndo linafanya watu wanakosa raha au kuwa desperate sana mpaka huruma....Ndoa is not a must,binafsi zaidi ya ile tu nataka watoto na ningependa watunzwe na baba yao pia,sidhani kama naona sana maana ya kuishi na mwanaume ndani...ni kazi sana,na hivi nimezoea kuwa huru na kuishi nitakavyo,naona kama ndoa itakuwa kikwazo kwangu na kubadilika sitaki....lol
 
Hehehhee kissing frogs ain't easy dearest. . . inabidi nikuombe ujasiri wako nichanganye na wangu.Lolzz

Uko sawia kabisa dearest. . . Motto yangu ni "Usipange wala usipangue haya mambo." That way ikitokea au isipotokea yote sawa, no dissapointments.

Hahahahaha. . . . waogopa kupoteza uhuru weye? Mi mwenyewe napenda uhuru wangu ila nadhani ukimpata yule haswa hata huo muda utakaokua wako mwenyewe utatamani muutumie pamoja. Tatizo litakuwepo pale utakapokua na mtu ambae sie hivyo hufurahii sana kuwa karibu nae japo waweza jidanganya/tamani iwe hivyo, zaidi ya hapo ni full starehe.
 
he he he he, ujasiri wangu kidogo nimekupa Lizzy, unachotakiwa kufanya ni kuchunguza if that frog is available, we are not home breaker's....ukishajua,then unamsoma kidogo then tumia ujasiri wangu na wako combined kufikia lengo....lolest!!

Usimwambie unampenda,aseme kwanza,then usimfanye yeye kuwa kila kitu,jipende wewe zaidi na kuwa tayari na lolote,if he doesn't feel the same,its not the end of the road....the journey continues....lol

Uhuru naupenda,sasa nikiangalia, hata ule uhuru wa kulala mwenyewe sina,napata shida sana....yaani natamani sijui awe mwelewa vipi, awe kama mimi, aelewe siku sijisikii kuamka kupika chai, kuweka maji bafuni,kupasi,kufanya usafi,ku-make love,yaani aelewe tu na aniache nikatembee zangu siku nikitaka na nimtembelee yeyote tu....sipendi vikwazo...dissapointment ni jinsi unavyoamua kuona jambo,mi siku hizi najichekea tu,kitu hakiendi kama nilivyopanga nasema the best is yet to come,i keep my head up high and life goes on happily ever after...lol
 
I won't dissapoint you dearest. Ntautumia ujasiri wako ipasavyo. . . lolz.

Hehhehehehe yani dearest kama mimi tu. Kua siku naamka sijisikii kupika na ntashibda au hata kulala bila kupika, kuna siku najisikia kujifunika tu na blanket nihangaike na tv au mtandao, yani nikifikiria kuwa na mtu mwingine ambae atanilazimu (kama sio mwelewa) nimweke yeye mbele muda wote naishiwa nguvu. Sijui ni ubinafsi au nini, ila napenda kufanya mambo nnapopenda mimi na sio nnapotakiwa kama inavyokua kwenye mahusiano mengi. Tunahitaji maombi aisee. . .lolz.
 
Back
Top Bottom