kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,482
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wenye IQ kubwa tunaelewa zaidi ya maandishi yako yanavyosema ngoja nidadavue ,umezungumzia Kwenda church hiyo ni market strategy kuwa we ni mcha Mungu,ukazungumzia unaofanya nao kazi hii ina manisha we una ajira ambayo ni urimbo kwa wanawake wa siku hizi haswa enzi hizi za jpm so nakutakia kilala heri kwenye tangazo lako.